hata siku moja hutomsikia muislam anamtukana jesusEti nasikia mud alikuwa mwizi?
hata siku moja hutomsikia muislam anamtukana jesusEti nasikia mud alikuwa mwizi?
ayatollah kuwa marehemu si habari nzuri kwa wayahudi fakeTunaweza amka asubuhi kimenuka na ayatollah marehemu
What a good news, tusubiri sasa mtifuano wa Iran na washirika wake wa masuala ya zana za kisasa za China na Urusi zinazo husu ADS, tuone Israel na USA kama watatia pua katika anga la Iran, wakikumbuka jinsi ndege za Ufaransa aina za Mirage zilivyo tunguliwa na missiles za Uchina kutoka mamia ya kilometers from designated targets, French flying machines fell victim of Chinese no nonsense fire and forget air to air missiles as well as air to ground missiles - sioni kama Israel na Merikani watakubali kuaibika kwa ndege zao kutunguliwa mchana kweupe kwa kujitia ujuwaji!!Ameshampatia ADS batteries.
Irani ndyo ilichapika, cream ya top military commanders walifyekwa, israel ni taifa la kivita, hawaogopi chochote, na kwa sababu mossad wapo Iran, utaona matokeoKwa jinsi Israel alivuochapika hadi akamuomba basha wake USA amuombee amani sidhani kama anaweza kurusha hata jiwe kwa Iran, akijaribu safari hii Israel inageuka majivu
mbona SYRIA hao wote unao wataja (russia, china, Iran) walikuwa ni wadau muhimu wa Bashar al-Assad?, walichoweza kufanya ni kumwokoa Assad tu, CIA wakamweka rais mpya Ahmed al-Sharaa, mshirika wa zamani wa al-QaedaWhat a good news, tusubiri sasa mtifuano wa Iran na washirika wake wa masuala ya zana za kisasa za China na Urusi zinazo husu ADS, tuone Israel na USA kama watatia pua katika anga la Iran, wakikumbuka jinsi ndege za Ufaransa aina za Mirage zilivyo tunguliwa na missiles za Uchina kutoka mamia ya kilometers from designated targets, French flying machines felled victim of Chinese no nonsense fire and forget air to air missiles as well as air to ground missiles - sioni kama Israel na Merikani watakubali kuaibika kwa ndege zao kutunguliwa mchana kweupe kwa kujitia ujuwaji!!
Nikikubuka jinsi Bombers za Kimerikani aina ya B-52 zilivyo kuwa zinatunguliwa huko VietNam kwa kutumia ADS zilizo undwa Urusi, hapo ndipo niliwavulia kofia jamaa hawa, hawana mchezo hata kidogo! That was then how about NOW??

Bora umtaje China hasa katika ule mtifuano wa majuzi kati ya India na Pakistan na bado pia kuna walakini mwingi hapa.What a good news, tusubiri sasa mtifuano wa Iran na washirika wake wa masuala ya zana za kisasa za China na Urusi zinazo husu ADS, tuone Israel na USA kama watatia pua katika anga la Iran, wakikumbuka jinsi ndege za Ufaransa aina za Mirage zilivyo tunguliwa na missiles za Uchina kutoka mamia ya kilometers from designated targets, French flying machines felled victim of Chinese no nonsense fire and forget air to air missiles as well as air to ground missiles - sioni kama Israel na Merikani watakubali kuaibika kwa ndege zao kutunguliwa mchana kweupe kwa kujitia ujuwaji!!
Nikikubuka jinsi Bombers za Kimerikani aina ya B-52 zilivyo kuwa zinatunguliwa huko VietNam kwa kutumia ADS zilizo undwa Urusi, hapo ndipo niliwavulia kofia jamaa hawa, hawana mchezo hata kidogo! That was then how about NOW??
Ile ya kuua Top military leaders ni hatari sana kwa taifa la Iran.Irani ndyo ilichapika, cream ya top military commanders walifyekwa, israel ni taifa la kivita, hawaogopi chochote, na kwa sababu mossad wapo Iran, utaona matokeo
Huwa najiuliza kwani haya mataifa kama China Urusi na wengine wenye mlengo kama huo hawawezi kuamua kushambulia baadala ya kurinda nchi maana marekani atatusumbua mpaka lini yaani kila siku ni kujilinda dhidi ya marekani na washiraka wake hii haiko sawa bana ifike kipindi nawao wapigwe tukioUrusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel
Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran
Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa
Regime change ilifeli mwanzo,je kufanikiwa safari hii?..
Trump alisifu wingi wa mafuta na madini ya lithium ndani ya iran
Kwa jinsi Israel alivuochapika hadi akamuomba basha wake USA amuombee amani sidhani kama anaweza kurusha hata jiwe kwa Iran, akijaribu safari hii Israel inageuka majivu
Utasubiri mpaka hayo makalio yataota kutu hapo ulipokaa.
Ahmed alsharaa kishahama kambi,sasa hivi kulia Turkey kushoto urusi,leo palikua na ziara nzito baina ya urusi na syriambona SYRIA hao wote unao wataja (russia, china, Iran) walikuwa ni wadau muhimu wa Bashar al-Assad?, walichoweza kufanya ni kumwokoa Assad tu, CIA wakamweka rais mpya Ahmed al-Sharaa, mshirika wa zamani wa al-Qaeda![]()
Ukamuue mwakibolwa,mkunda sijui general gani,haikusaidii kushinda,ni vita vya kizamani vya kutafuta kichwa cha mkuu, ndiyo maana Iran wakaonya 'remember..we didn't initiate it' kichapo kikafuata, israel akamwambia babaake aombe Iran asitishe vitaIle ya kuua Top military leaders ni hatari sana kwa taifa la Iran.
Kwahiyo wewe una akili ya vita kuliko MOSSAD na CIA?Ukamuue mwakibolwa,mkunda sijui general gani,haikusaidii kushinda,ni vita vya kizamani vya kutafuta kichwa cha mkuu, ndiyo maana Iran wakaonya 'remember..we didn't initiate it' kichapo kikafuata, israel akamwambia babaake aombe Iran asitishe vita
ADs gani za russia zilipigwa?.. maana hata za iran hazikupigwa na ndege bali drone toka ndani ya Iran,umbali mfupi tuBora umtaje China hasa katika ule mtifuano wa majuzi kati ya India na Pakistan na bado pia kuna walakini mwingi hapa.
Urusi nafkiri apumzishwe tu. Tulimkuza sana kuliko uhalisia wake. Mostly ya ADS zake zimeshapigwa katika hiyo Military Operation aliyoanzisha dhidi ya Ukraine.
Zilipigwa AD zenyewe hadi maeneo yanayolindwa kabisa na hizo S400 na takataka zingine. Ikafika wakati hadi wakawa wamezipandisha juu ya maghorofa. ADS za Russia zimechemsha sana tu.
Trophy hunting ni ujinga,wame-achieve nini baada ya kuuwa wazee ndani ya jeshi la Iran!?..Kwahiyo wewe una akili ya vita kuliko MOSSAD na CIA?
S300 hadi S400 zote hizo zilishapigwa. Kumbuka hata ile MS MOSKVA meli kubwa ilokuwa ikiishambulia Ukraine ilikuwa na mifumo hiyo tajwa hapo juu na bado ikadondoshwa.ADs gani za russia zilipigwa?.. maana hata za iran hazikupigwa na ndege bali drone toka ndani ya Iran,umbali mfupi tu
Trump nilikuwa nadhani yuko tofauti na wengine walio pita, kumbe hawa mabwana leo ni moja. Hivi shida yao kubwa na Iran ni nini?Maneno ya vijuweni. Iran soon itakuwa kama Iraq au Libya.
Ahmed alsharaa kishahama kambi,sasa hivi kulia Turkey kushoto urusi,leo palikua na ziara nzito baina ya urusi na syria
Ufadhili wa ugaidi, hawa magaidi wote wakubwa duniani, vile vikundi vikubwa vya ugaidi kama HAMAS, HOUTH, HEZBOLAH n.k mfadhili wao mkuu ni Iran.Trump nilikuwa nadhani yuko tofauti na wengine walio pita, kumbe hawa mabwana leo ni moja. Hivi shida yao kubwa na Iran ni nini?