City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,093
"..Trump kathibitisha Israel kapigwa kipigo ambacho hajawahi kuona.."Chawa wa Netanyahu unatapatapa Trump alithibitisha Israel kapigwa kipigo ambacho yeye mwenyewe hajawahi kuona we myahudi wa kazuramimba ambae hujawahi kuskia hata sauti ya Ak 47 unasemaje hajapigwa?
Trump hajawahi kusema hayo uliyosema. Trump anachoweza kusema ni kuwa hii Vita imeleta athari kote, zipo sehemu Israel zimepigwa na missiles na kuharibiwa hasa majengo. Hivyo hivyo kwa Iran zipo sehemu zimeharibiwa kwa makombora
Kusema hujawahi kuona huo ni uongo, kombora likitua popote iwe ndani ya Iran au ndani ya Israel, basi lazima litaharibu hiyo sehemu
Pili, Trump huyuhuyu ambae alikua mara zote akisema amemsaidia kumuepusha ayatollah kutokufa kifo kibaya?
Mwisho, mm sio chawa but kuna vitu siwezi kukubaliana navyo sababu uhalisia upo wazi. Hata akitokea mtu akisema Israel kashinda bado sitakubali nina sababu za msingi kukataa hilo, hivyo hivyo kwa Iran