Ni miezi inapita Iran ikipigwa na Marekani, inajibu kwa kulenga Saudi Arabia, Bahrain, Kuwait na Jordan kwa sababu tu kuna kambi za Marekani huko.
Lakini kuna swali moja lina viulizo vingi, Israel ikiwa hapo jirani kabisa na Jordan, kwanini hairushiwi makombora ya wastani kwa idadi kama wenzake...
ghafla
iran
israel
jordan
kambi
karibu
kiislam
kuishambulia
kupitia
kushambulia
kuwait
marekanimarekaninaisrael
mashambulizi
mpole
n.k
nchi
nchi za kiislam
saudi
saudi arabia
ubabe
waislam
wake
wenzake
wote
Jeshi la Marekani linajiandaa kuimarisha uwepo wake nchini Israeli na kote Mashariki ya Kati katika wiki zijazo huku Washington ikiweka vikosi vya ziada kwa ajili ya uwezekano wa kuongezeka upya kwa Iran.
Karibu wanajeshi 3,000 wa Marekani kwa sasa wako Israeli, wakiendesha mifumo ya ulinzi wa...
Niaje waungwana
Ule msemo wa wahenga wa zamani kwamba kila "kwenye UKWELI, UONGO hujitenga" pembeni, umeanza kufanya Kazi vizuri nchini Israel, ambapo kura za maoni zilizofanywa na raia wa nchi hiyo zinaonesha kwamba Iran ilishinda vita yao kwa 92%.
Hawa waliohusika na mchakato huu wa kura ni...
Katika malengo ya vita iliyoanza February mwaka huu, Lengo mojawapo lilikuwa kubadili safu ya uongozi, na hilo limekamilika kwa kiasi kikubwa, viongozi wengi wa sasa wameshika nafasi hizo ndani ya miezi hii michache baada ya wale wa zamani kushambuliwa.
Kwa jinsi utawala uliofutwa ulivyokuwa...
Majuzi viwanja vyote vya ndege vya Kuwait vimepigwa makombora
Hii ni baada ya base zilitumika kuchakazwa na makombora,
Baada ya hapo wakaja na ndege za kujaza mafuta angani nazo zikashushwa kwa sasa wakajifanya kutumia civilian airport nazo hapo majuzi kule Kuwait nazo zimepondwapondwa.
Kwa...
Mnamo FEBRUARI 28,2026 Mzee wetu mwenye hekima Ayatollah Ali Khamenei akiwa na umri wa miaka 86 tayari akiwa ameshiba siku akisubiri muda wake kwa amri ya Mungu wake aliuawa.
Uamuzi wa kumuua katika umri huo haukuwa ushujaa bali ni ukatili na aibu kubwa kwa majeshi yenye nguvu kama...
Wanaukumbi.
Hivi karibuni tutajibu wizi wa kijeshi wa baharini unaofanywa na Marekani
Marekani, kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano na kushiriki katika uharamia wa baharini, ilifyatua risasi kwenye moja ya meli za kibiashara za Iran katika maji ya Bahari ya Oman, ikazima mfumo wake...
Rais wa Marekani Donald Trump alifanya mkutano wa usalama wa faragha leo na Mwenyekiti wa Wakuu wa Majeshi wa Pamoja, Jenerali Dan Caine na Katibu wa Vita, Pete Hegseth.
Chanzo cha habari cha ujasusi cha Marekani kimesema kwamba maandalizi yanafanywa ili kurudi vitani na Iran ikiwa hakuna...
KIBRI KITAANGAMIZA MAREKANI NA ISRAEL
Tatizo kubwa la Marekani ni kibri.
Hiki kibri kimewaelemea kiasi hawawezi kuwaza kama binadamu mwenye uwezo uliokuwa na kikomo.
Hata hapa walipofikishwa kutafuta amani kwa mazungumzo na diplomasia bado hawajatambua kuwa wao si washindi.
Halikadhalika...
(CHANZO CHA PICHA, REUTERS)
Mkuu wa huduma za dharura anasema idadi ya watoto waliouawa nchini Iran tangu vita kuanza Februari 28 imeongezeka hadi 208.
Katika taarifa ya video iliyochapishwa na mtangazaji wa kituo kinachomilikiwa na serikali IRIB, Jafar Miadfar alisema kwamba kati ya watoto 208...
https://youtu.be/zHhj_gxjcY8
Operation Rooster 53 was a bold Israeli special forces mission on December 26–27, 1969, during the War of Attrition, where commandos stole an advanced Soviet-made P-12 radar system from Ras Ghareb, Egypt. Using CH-53 helicopters, they airlifted the 7-ton radar to...
Uthabiti wa kimfumo na kiutawala ndani ya serikali ya jamuhuri ya Iran. Uthabiti huo utawawia vigumu mno Marekani na mshirika wake Isarael kubadili kabisa utawala wa sharia za kiislam unaotumika na kuimpose utawala wa kidemokrasia. Ili kufanikisha hilo, ni sharti kwanza pawepo na vikosi vya...
ardhini
bila
imara
iran
irani
israel
kidini
kubadili
kutoka
kutokana
kuweka
marekanimarekaninaisrael
mfumo
mfumo wa utawala
ndani
sharia
utawala
vikosi
Juzi kati hapo sisi Tanzania, tuliwaita wazungu Who are you! Siyo kwamba tunaweza kabisa kabisa kuwadunda, la sivyo, ila wajue tu kwamba, na sisi ni wanaume, na wakija juu watake kutupiga, tunazo meza kibao za mazungumzo ili tu tubaki kwenye uanaume wetu!
Inatosha kuwa mwanaume hata...
Miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa
1. Russia wapo vizuri sana ni Taifa la kutisha sana. Tumeona washirika wake wote wakitendewa uhanithi.
1. Assad
2. Maduro
3. Khamenei
Yeye anahangaika na yule mchekeshaji wa Ukraine mpaka leo na anatumia mpaka mamluki wa...
Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
Trump anatumia sana ubabe.
Naona wakati wowote atatuma Makomandoo ili wakamate viongozi wa mataifa ya Afrika mashiriki ambao wanapiga raia risasi hovyo.
Nini kitatokea?
Kila wakipiga jicho wanaona Muiran amekodoa macho akisubiri apate sababu ya kuingamiza Israel
ukweli ni kwamba hata wao Marekani wanafikiria je ikitokea moja ya meli zao kuzamishwa je aibu hii wataificha wapi
Kila Nchi imekataa kutumika anga lake kuwa kama kificho ,wamezoea mtindo wao wa...
Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel
Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran
Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.