Marekani na Israel kuishambulia Iran punde

Ukiachana na ndege, Ina maana Israel ingeamua kuishambulia Iran kwa makombora(ballistic missiles) yote yangezuiliwa?
Sidhani na sijui maana sijawahi kuona makombora ya Israel yakifanya kazi tofauti na ya Iran yameonekana mara kwa mara na nchi tofauti yakifanya kazi.
Pia ulisema ndege zipo more precise sasa kama ndege mashambulizi yalizuiliwa je kombora la masafa marefu ingeshindikana mkuu?
 
Yeah na pia Wana Bavar ambazo ni nzima.
Wala tusijiapize sana, hakuna mfumo wa anga upo perfect 100%

Hata uwe na mfumo Bora kiasi gani bado kuna ndege zitafanikiwa kuruka na kupiga na bado kuna drones na missiles zitafanikiwa kupenya na kupiga
 
Sidhani na sijui maana sijawahi kuona makombora ya Israel yakifanya kazi tofauti na ya Iran yameonekana mara kwa mara na nchi tofauti yakifanya kazi.
Pia ulisema ndege zipo more precise sasa kama ndege mashambulizi yalizuiliwa je kombora la masafa marefu ingeshindikana mkuu?
Mkuu nchi zote kubwa kijeshi zina hayo makombora ya masafa marefu. Nilikueeza kuwa kwnye vita hutumika best option kulingana na mazingira ya muda huo

Pia hapo nimekupa mfano tu wa missiles, sikumaanisha kama ndege zitashindwa kabisa. Hakuna mfumo wa anga ulio perfect kwa 100%
 
Wala tusijiapize sana, hakuna mfumo wa anga upo perfect 100%

Hata uwe na mfumo Bora kiasi gani bado kuna ndege zitafanikiwa kuruka na kupiga na bado kuna drones na missiles zitafanikiwa kupenya na kupiga
Sijasema kuwa shambulizi 100% litazuiliwa ila kwa larger percentage litakuwa contained. Mathalan mwaka jana October Israel aliposhambulia sio kwamba shambulizi lilizuiliwa lote nooop,ila kwa kiasi kikubwa kwa ukubwa wa shambulizi la kutumia ndege nyingi na maafa yaliyotokea ya kuharibika ADS tatu na kufa makamanda wanne ni shambulizi lilizuiliwa kwa ukubwa.
 
Mkuu nchi zote kubwa kijeshi zina hayo makombora ya masafa marefu. Nilikueeza kuwa kwnye vita hutumika best option kulingana na mazingira ya muda huo

Pia hapo nimekupa mfano tu wa missiles, sikumaanisha kama ndege zitashindwa kabisa. Hakuna mfumo wa anga ulio perfect kwa 100%
Linafahamika ila kinachotizamwa ni upunguzaji wa maafa.

Aisee kama utumiaji wa ndege ndio ulikua best option kwa Israel sawa,ila ni too costly.
 
Sijasema kuwa shambulizi 100% litazuiliwa ila kwa larger percentage litakuwa contained. Mathalan mwaka jana October Israel aliposhambulia sio kwamba shambulizi lilizuiliwa lote nooop,ila kwa kiasi kikubwa kwa ukubwa wa shambulizi la kutumia ndege nyingi na maafa yaliyotokea ya kuharibika ADS tatu na kufa makamanda wanne ni shambulizi lilizuiliwa kwa ukubwa.
Hapo nimekuelewa, maana nilisoma nikaelewa kuwa ndege zitazuiliwa kuingia kabisa.

Pili kuhusu shambulizi ulilotolea mfano, shambulizi kuleta madhara makubwa inategemea na ukubwa wa shambulizi lilivyofanyika. Mwaka jana shambulizi la Israel kwenda Iran halikua kubwa kulinganisha na kilichotokea mwaka huu

Hivyo hivyo kwa Iran, Iran mwaka jana pia walirusha makombora kwenda Israel, lakini halikua shambulizi kubwa hivyo halikuleta madhara kulinganisha na mashambulizi waliyofanya mwaka huu
 
Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel
Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran
Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa
Regime change ilifeli mwanzo,je kufanikiwa safari hii?..
Trump alisifu wingi wa mafuta na madini ya lithium ndani ya iran
netanyahu ni mshindi na ataendelea kuwa mshindi,amepambana na mataifa mengi na makundi mbalimbali pale mashariki ya kati na bado anaendelea,wanaosema iran alimpiga israel hivi wanatumia data gani ??,au ndio ule upande ambao hawatumii akili??,

VIVA ISRAEL,VIVA NETANYAHU
 
Linafahamika ila kinachotizamwa ni upunguzaji wa maafa.

Aisee kama utumiaji wa ndege ndio ulikua best option kwa Israel sawa,ila ni too costly.
Kitu kuwa na gharama lakini ukaweza kumudu wala sio shida, ili mradi kinaleta matokeo makubwa uliyotarajia.

Unafikiri, Tanzania tukipigana vita na misri, ni nchi gani itatumia gharama kubwa?

Au marekani akipigana vita na Nigeria, unafikiri nchi gani itatumia gharama kubwa?

Hoja yangu ni kuwa hata Kama nchi yenye nguvu kubwa ikipigana vita na nchi dhaifu, bado nchi yenye nguvu kubwa ndio itayotumia gharama kubwa
 
Hapo nimekuelewa, maana nilisoma nikaelewa kuwa ndege zitazuiliwa kuingia kabisa.

Pili kuhusu shambulizi ulilotolea mfano, shambulizi kuleta madhara makubwa inategemea na ukubwa wa shambulizi lilivyofanyika. Mwaka jana shambulizi la Israel kwenda Iran halikua kubwa kulinganisha na kilichotokea mwaka huu

Hivyo hivyo kwa Iran, Iran mwaka jana pia walirusha makombora kwenda Israel, lakini halikua shambulizi kubwa hivyo halikuleta madhara kulinganisha na mashambulizi waliyofanya mwaka huu
Masahihisho mkuu, Israel mwaka jana alitumia ndege 100+ zilizofanya mashambulizi kwa kupokezana.
Ni duru ya Times of Israel ndio iliyosema.
Ndege 100+ ni nyingi sana kwa kufanya shambulizi na kiufupi hilo ni shambulio kubwa,ila matokeo ADS 3 na makamanda wanne ndio wamekufa.
Inamaana ADS za Iran tuzisifu ziliweza kupambana kwa ukubwa wake.
Ni sahihi shambulizi la mwaka huu ni kubwa kuliko mwaka jana ila la mwaka jana sio shambulizi dogo pia ni yanazidiana ukubwa tu.
Maana la mwaka huu ndege nyingi zaidi zilitumika pia hadi drones ndani ya Iran zilitumika.

Hata la Iran pia lilikua shambulizi kubwa mkuu kwa mwaka jana, Ballistic missiles 300 sio shambulizi dogo.
Sema utofauti na mwaka huu ni kuwa Iran ilitumia makombora makali zaidi ya mwaka jana.
 
Kitu kuwa na gharama lakini ukaweza kumudu wala sio shida, ili mradi kinaleta matokeo makubwa uliyotarajia.

Unafikiri, Tanzania tukipigana vita na misri, ni nchi gani itatumia gharama kubwa?

Au marekani akipigana vita na Nigeria, unafikiri nchi gani itatumia gharama kubwa?

Hoja yangu ni kuwa hata Kama nchi yenye nguvu kubwa ikipigana vita na nchi dhaifu, bado nchi yenye nguvu kubwa ndio itayotumia gharama kubwa
Inamaanisha mkuu Israel ni nchi yenye nguvu na Iran ni nchi dhaifu!?
Hapo mie naona ni ukinzani wa technology ndio uliotokea.
Maana tusiwe wanafiki, strategy aliyotumia Iran imewashangaza wengi.
Pia Iran sio kama hana ndege ila hana anga la kuweza kuruhusiwa kama Israel apitishe ndege.
Nani angemruhusu?
Jordan au nani?
 
Masahihisho mkuu, Israel mwaka jana alitumia ndege 100+ zilizofanya mashambulizi kwa kupokezana.
Ni duru ya Times of Israel ndio iliyosema.
Ndege 100+ ni nyingi sana kwa kufanya shambulizi na kiufupi hilo ni shambulio kubwa,ila matokeo ADS 3 na makamanda wanne ndio wamekufa.
Inamaana ADS za Iran tuzisifu ziliweza kupambana kwa ukubwa wake.
Ni sahihi shambulizi la mwaka huu ni kubwa kuliko mwaka jana ila la mwaka jana sio shambulizi dogo pia ni yanazidiana ukubwa tu.
Maana la mwaka huu ndege nyingi zaidi zilitumika pia hadi drones ndani ya Iran zilitumika.

Hata la Iran pia lilikua shambulizi kubwa mkuu kwa mwaka jana, Ballistic missiles 300 sio shambulizi dogo.
Sema utofauti na mwaka huu ni kuwa Iran ilitumia makombora makali zaidi ya mwaka jana.
Mkuu Israel alilipiza kwa lengo la kupiga millitary targets kadhaa na sio nchi nzima. Hivyo haliwezi kuwa shambulizi kubwa, ilikua ni retaliation tu
Kama mifumo ingekua inafanya kazi vizuri basi katika hizo ndege, ingeangushwa hata moja.

Iran mwaka Jana hakufanya shambulizi kubwa ndani ya israel, Kama angekua anataka kufanya shambulizi kubwa basi angetumia hayo makombora makali Kama aliyotumia mwaka huu
 
Inamaanisha mkuu Israel ni nchi yenye nguvu na Iran ni nchi dhaifu!?
Hapo mie naona ni ukinzani wa technology ndio uliotokea.
Maana tusiwe wanafiki, strategy aliyotumia Iran imewashangaza wengi.
Pia Iran sio kama hana ndege ila hana anga la kuweza kuruhusiwa kama Israel apitishe ndege.
Nani angemruhusu?
Jordan au nani?
Sijamaanisha hivyo, Iran sio nchi dhaifu. Iran Ni nchi yenye nguvu
Hoja yangu ilikua Kama nchi yenye nguvu inaweza kutumia gharama kubwa kupambana na nchi dhaifu, basi vilevile lazima itatumia gharama kubwa kupambana na nchi yenye nguvu kama Iran

Hilo la kwa nn Iran hakutumia ndege nilikueleza siku ile, uzuri leo unasema kile kile nilichokueleza hiyo siku. Iran hawakutumia ndege sio sababu hawataki bali ni kukosa anga la kupita kwenda kufanya mashambulizi.
 
Ona huyu mataqo mwingine anaropoka.
Kwa analysis za kivita zilizofanyika Israel kashindwa na hata Trump alisema wazi Israel alipigwa wewe nani hadi ubishe!??
Hadi sasa maelfu ya waisrael wamekimbilia Cyprus.
Ushajiuliza kwanini walikimbilia Cyprus kama Israel alikua mahindi?
Hii Vita ukiniambia Israel kashindwa nitakataa, pia ukiniambia Iran kashidwa nitakataa.

Kushindwa au kushinda Vita inategemea na malengo. Je malengo ya Israel yalikua ni yapi na malengo ya Iran yalikua ni yapi?

Israel alikua na malengo ya kuzuia nuclear programs ndani ya Iran(hili kafanikiwa kwa asilimia kubwa sababu ni kweli program imerudi nyuma)
Israel alikua na malengo ya kupiga millitary facilities zote, hili kashindwa sababu bado zipo millitary facilities nyingi hazikuguswa.

Israel alikua na lengo la regime change, hili nalo kafeli sababu bado regime ipo.

Hivyo kwa ujumla Israel hakushinda.

Tukija kwa Iran, lengo lake ni kuizuia Israel isiendelee kuikalia gaza kimabavu, lakini bado Israel anaikalia. Hivyo Iran kashindwa.

Lengo kubwa la Iran ni kuifuta Israel, lakini wameshindwa kufanya hivyo. Kama Iran ingekua imeshinda au inaeelekea kushinda basi wasingekubali ceasefire, sababu wangekua wanaenda kutimiza lengo lao la miaka yote la kuifuta Israel.

Hivyo kiujumla Iran nae hakushinda
 
Mkuu haufai kudanganya embu acha uongo.
Lengo la Iran kwenye vita ya siku 12 haikuwa kuzuia Israel isiikalie Gaza.Bali lengo lake Iran ilikua kujilinda.
Na ndio maana Israel aliposhambulia Iran aliapa kulipiza kisasi,hata Abbas Araghchi alikua akisema Iran italipiza kadri Israel atakavyoshambulia.
Usipotoshe mkuu.

Israel malengo yake yote yamefeli,hususan lengo la nuclear enriched uranium bado ipo.
Licha ya Fordow kusitisha shughuli ila Kuna Isfahan na Natanz ambazo zinashabihiana miundombinu na Fordow.
Kiufupi Iran alifanikiwa kujilinda ila Israel alifeli malengo,hence Iran alishinda hiyo vita.

Hili lengo la kusema Iran inataka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia na kuiondoa Gaza uliitolea wapi!?
Mbona hatukumsikia Abbas Araghchi Wala Masoud akisema haya!?
Mkuu hapo kwenye malengo ya Iran umepotosha pakubwa.
Iran ilikua ikijilinda na imefanikiwa kujilinda.
 
Mkuu, lengo kuu la Iran kwa Israel ni lipi?

Iran kwa miaka yote imekua ikisema kuwa itaifuta Israel, hivyo kosa lolote Israel watalofanya dhidi ya Iran,basi Iran itatumia kosa hilo kutimiza azma yake.

Hoja yangu ni kuwa Kama Iran ingekua imeshinda basi wangetimiza azma yao ya siku zote.

Wakati vita inaanza, haya yalikua ni matazamio, kuwa sasa ni muda Iran huenda ikatimiza azma yake ya siku zote

February mwaka huu General wa jeshi la Iran Ebrahim Jabar alisema kuwa wataifuta Israel kwa wakati sahihi, hii Vita Israel aliyoanzisha ilikua ni rahisi kwa Iran kutimiza azma yake kama wangekua wameshinda

Turudi kwenye sense, mfano wewe una adui yako ambae siku zote unatamani umuangamize, wewe una nguvu kuliko huyo adui yako. Alafu inatokea huyo huyo adui yako anajichanganya kuanza kukushambulia, nini kitakachofuata Kama sio wewe kumuangamiza moja kwa moja?

Unataka kuniambia Iran wamekubali ceasefire sababu wanaionea huruma Israel??
 
Hii Vita ukiniambia Israel kashindwa nitakataa, pia ukiniambia Iran kashidwa nitakataa.

Kushindwa au kushinda Vita inategemea na malengo. Je malengo ya Israel yalikua ni yapi na malengo ya Iran yalikua ni yapi?

Israel alikua na malengo ya kuzuia nuclear programs ndani ya Iran(hili kafanikiwa kwa asilimia kubwa sababu ni kweli program imerudi nyuma)
Israel alikua na malengo ya kupiga millitary facilities zote, hili kashindwa sababu bado zipo millitary facilities nyingi hazikuguswa.

Israel alikua na lengo la regime change, hili nalo kafeli sababu bado regime ipo.

Hivyo kwa ujumla Israel hakushinda.

Tukija kwa Iran, lengo lake ni kuizuia Israel isiendelee kuikalia gaza kimabavu, lakini bado Israel anaikalia. Hivyo Iran kashindwa.

Lengo kubwa la Iran ni kuifuta Israel, lakini wameshindwa kufanya hivyo. Kama Iran ingekua imeshinda au inaeelekea kushinda basi wasingekubali ceasefire, sababu wangekua wanaenda kutimiza lengo lao la miaka yote la kuifuta Israel.

Hivyo kiujumla Iran nae hakushinda
Chawa wa Netanyahu unatapatapa Trump alithibitisha Israel kapigwa kipigo ambacho yeye mwenyewe hajawahi kuona we myahudi wa kazuramimba ambae hujawahi kuskia hata sauti ya Ak 47 unasemaje hajapigwa?
 
Israel kama alipigwa vile na Waajemi walikua hawajajiandaa wakijiandaa kama sasa hivi wamepewa siraha za kutosha kutoka Russia,Korea Kaskazini na China si itakua balaa naona Iran wao baada ya kupata siraha nyingi ndio wanamkubusha Israel aende wakati Israel hata jiwe hatarusha kwa kipindi hiki cha karibuni kumbukumbu nzuri bado anayo kichwani.
 
Mwenye utaalamu na mambo ya nyakati atujuze neno "hivi punde" ni wastani wa kitambo gani au neno hilo lina ukomo mpaka muda gani?
Hivi punde inaashiria wakati wowote kuanzia sasa sana sana nyakati za karibu.
 
Back
Top Bottom