Marekani na Israel kuishambulia Iran punde

Marekani na Israel kuishambulia Iran punde

Hivi punde inaashiria wakati wowote kuanzia sasa sana sana nyakati za karibu.
Ukomo wa "hivi punde" ni muda wa saa ngapi, siku ngapi, wiki ngapi au miezi mingapi au miaka mingapi? Nisaidie kwa hili ili niweke alarm kusubiri shambulizi la Muamerika na Iziraeli kwa Muajemi
 
Ukomo wa "hivi punde" ni muda wa saa ngapi, siku ngapi, wiki ngapi au miezi mingapi au miaka mingapi? Nisaidie kwa hili ili niweke alarm kusubiri shambulizi la Muamerika na Iziraeli kwa Muajemi
Dah mkuu hapo kwenye ukomo wa muda,siku ama saa ndio pagumu.
Ila ni kitu kinachotarajiwa kutokea wakati wowote ule kuanzia sasa.
 
1000051467.jpg
1000051470.jpg
 
Kwa jinsi Israel alivuochapika hadi akamuomba basha wake USA amuombee amani sidhani kama anaweza kurusha hata jiwe kwa Iran, akijaribu safari hii Israel inageuka majivu
israel haishindwagi mjuba, yuaja wakati iran itachapika tu, ni suala la muda
 
China, Korea na Russia wanakosea sana Wafia dini kama Iran wanaodai DINI nyingine ni mavi yakwako ndio DINI na yeyote asiyeifata anastahili kuuliwa hawapaswi kusaidiwa
WAtu mnapenda sana kujazwa ujinga kama sio upumbavu!! Iran yenye Makanisa na Masinagogi ya Kiyahudi, na Israel inayopiga mabomu makanisa, ni nani hapo mfia dini?
 
Walimfyekelea mbali yeshu usijisahaulishe ewe KAFIRI
huyo Yesu atakapokuja mara ya pili kila goti litapigwa kwa hao wayahudi, hukumu yao ipo. mzee kobazi tulia huko msikitini uone kubwa la makobazi likidodoshwa na kusimikwa utawala mpya
 
huyo Yesu atakapokuja mara ya pili kila goti litapigwa kwa hao wayahudi, hukumu yao ipo. mzee kobazi tulia huko msikitini uone kubwa la makobazi likidodoshwa na kusimikwa utawala mpya
Makafiri wote nawaona najisi
 
Irani ndyo ilichapika, cream ya top military commanders walifyekwa, israel ni taifa la kivita, hawaogopi chochote, na kwa sababu mossad wapo Iran, utaona matokeo
Swali hapa ni,je,walifyekwa kwenye mazingara gani, kwenye uwanja WA vita/warfront au waliviziwa kwenye nyumba wanazo ishi wao na familia zao, hivi kweli unaweza kuona huo ulikuwa ni ushujaa au wonga tu.

Binafsi nilichukulia kitendo hicho kama dalili za woga, na siyo ushujaa hata kidogo.
 
Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel
Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran
Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa
Regime change ilifeli mwanzo,je kufanikiwa safari hii?..
Trump alisifu wingi wa mafuta na madini ya lithium ndani ya iran
FB_IMG_17502178278845793.jpg
 
Hakuna vita kwa sasa itayoipiganwa...labda mbeleni huko
 
Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel
Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran
Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa
Regime change ilifeli mwanzo,je kufanikiwa safari hii?..
Trump alisifu wingi wa mafuta na madini ya lithium ndani ya iran
viva israel,viva america,forever christian
 
Back
Top Bottom