Marekani na Israel kuishambulia Iran punde

Marekani na Israel kuishambulia Iran punde

Bora umtaje China hasa katika ule mtifuano wa majuzi kati ya India na Pakistan na bado pia kuna walakini mwingi hapa.

Urusi nafkiri apumzishwe tu. Tulimkuza sana kuliko uhalisia wake. Mostly ya ADS zake zimeshapigwa katika hiyo Military Operation aliyoanzisha dhidi ya Ukraine.

Zilipigwa AD zenyewe hadi maeneo yanayolindwa kabisa na hizo S400 na takataka zingine. Ikafika wakati hadi wakawa wamezipandisha juu ya maghorofa. ADS za Russia zimechemsha sana tu.
Wacha uongo wako eti "ADS zili kuwa zinapandishwa ghorofani !!!" Hivi unajua battery moja ya an integrated air defense system in comprise sub assemblies ngapi na zenye uzito gani? Chukulia S350 na S400 kwa mfano,
wewe ulicho ona ni Pantisir missile system which is the family of self propelled,medi-range surface-to air missiles and anti-aircraft artillery system,Pantisir ni rahisi kubebeka mpaka ghorofani lakini siyo heavy duty stuff kama S-300, S-350, S-400 au S-500.

Kitu kingine watu wanacho sahau ni kwamba Jeshi la Ukraine walikuwa na substational number za S-300 ADS walizopewa au kununua kutoka Urusi miaka ya nyuma, katika vita hii Urusi ilihakikisha ADS za S-300 nchini Ukraine zina haribiwa karibu zote, kesho yake Ukraine inatujia na picha eti za kuonyesha eti jinsi S-300 zilivyo harobiwa na jeshi LA Ukraine, kumbe wanaleta mambo ya usanii tu, zinateketezwa za kwao, wao wanadai ni za Urusi kwa bahati mbaya bado kuna watu wana amini hadaa za Zelensky na jeshi lake.
 
S300 hadi S400 zote hizo zilishapigwa. Kumbuka hata ile MS MOSKVA meli kubwa ilokuwa ikiishambulia Ukraine ilikuwa na mifumo hiyo tajwa hapo juu na bado ikadondoshwa.

Hizo S300 hadi S400 na other equipements bora za ulinzi za Russia zimeshapigwa sana saana hapo Russia unless hii vita hujaanza nayo kuifatilia toka February 22, 2022.
Ile meli ilipigwa na drone ya kwenye maji
 
Ufadhili wa ugaidi, hawa magaidi wote wakubwa duniani, vile vikundi vikubwa vya ugaidi kama HAMAS, HOUTH, HEZBOLAH n.k mfadhili wao mkuu ni Iran.

Sasa wewe jiulize mfano HAMAS walimuulia nini yule Mtanzania? Kijana akawa mpaka anawaomba msamaha analia wasimuue ila wakamuua. Yule kijana ana nini anakijua kuhusu ugomvi wao na Israel hadi wamuuwe.

Yeyote anayefadhili ushenzi kama huu anapaswa kuangamizwa. Sasa Iran anataka amiliki Nuclear, akimiliki Nuclear ni hatari kwa dunia tena sana. Israel yeye hataki Iran amiliki Nuclear sababu Iran alishaapa kuifuta Israel ktk uso wa dunia. So anahakikisha Iran hamiliki hizo silaha.
IT IS too COMPITECTED, it is not easy to comprehend

View: https://www.tiktok.com/@veritasnova__/video/7521233864296008967?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
Jana tu waziri wa fedha wa Syria alikua moscow,na sidhani kama kaondoka, kasema wanaihitaji russia upande wao
:1Head:it is too complicated for u to fully comprehend
Speculation swirls online and in conversations over which countries — Turkey, Arab and Gulf states, Ukraine, even the CIA or Israel — may have helped them with cash, weapons or training.
Hayat Tahrir al-Sham (HTS) and its leader Abu Mohammed al-Jolani, also known as Ahmed al-Sharaa may have benefitted indirectly from Turkish, Israeli and U.S. support for other anti-Assad rebel groups. Its leader, Ahmed al-Sharaa — formerly known by his nom de guerre, Abu Mohammed al-Jolani — had contact with U.S. officials through intermediaries in the past.
 
Irani ndyo ilichapika, cream ya top military commanders walifyekwa, israel ni taifa la kivita, hawaogopi chochote, na kwa sababu mossad wapo Iran, utaona matokeo

Huo sio ushujaa no cold blooded murder, we mtu na akili zako timamu unakwenda kuvizia familia usiku WA manane unaua familia nzima ie Baba,Mama na watoto - watoto na mama zao wana hatia gani? Kama siyo uwenda wazimu tuiiteje!! Halafu watu wanachekelea eti Israel inajilinda dhidi ya Ugaidi - hivi magaidi wa kutaka kuidhuru Israel huwa yanajificha kwenye Closet??
 
:1Head:it is too complicated for u to fully comprehend
Speculation swirls online and in conversations over which countries — Turkey, Arab and Gulf states, Ukraine, even the CIA or Israel — may have helped them with cash, weapons or training.
Hayat Tahrir al-Sham (HTS) and its leader Abu Mohammed al-Jolani, also known as Ahmed al-Sharaa may have benefitted indirectly from Turkish, Israeli and U.S. support for other anti-Assad rebel groups. Its leader, Ahmed al-Sharaa — formerly known by his nom de guerre, Abu Mohammed al-Jolani — had contact with U.S. officials through intermediaries in the past.
People switch alliances,no wonder israel tried to assassinate him lately
For the matters on the ground, he's probably turkey's make
 
Iran ilipeleka MOTO mpaka muda wakusitisha Vita.

Vitu viko ewani Netanyahu akadai japo Iran imekiuka makubaliano lkn mm nitanyuti kufatana na makubaliano ya kusitisha Vita.

Kiburi kilimwisha Netanyahu.
Kobazi mudi aliwafanya kitu kibaya sana.
 
Huwa najiuliza kwani haya mataifa kama China Urusi na wengine wenye mlengo kama huo hawawezi kuamua kushambulia baadala ya kurinda nchi maana marekani atatusumbua mpaka lini yaani kila siku ni kujilinda dhidi ya marekani na washiraka wake hii haiko sawa bana ifike kipindi nawao wapigwe tukio
Kuanzisha vurugu ghali
 
lakini naona Israel inaenda kufutwa kwenye ramani ya dunia maana kwa alinusurika kidogo kwenye zile siku 12 baada ya trump kuomba pooo ila kwa sasa sidhani kama Iran itakubali kusamehe
Iran itakuja kimoja, hakuna cha kusema sijui tumsalie NANI kwanza??
 
Back
Top Bottom