Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

Ndo maana ni muhimu kutumia akili.

Usianze kuwatangazia watu kuwa wewe na flani ni couple wakati hata hamjuani.

Ila pia kuna wengine wanalika kirahisi mno.

Mnakutana leo..kesho mnakulana halafu eti mnaanza uhusiano.

Baada ya wiki mbili tatu, mnatemana.

What The ***!
After hitting that Ass unexpectedly don't try relationship may be Friendship with Benefit. Ahahahah
 
Ila pia kuna wengine wanalika kirahisi mno.

Mnakutana leo..kesho mnakulana halafu eti mnaanza uhusiano.

Baada ya wiki mbili tatu, mnatemana.

What The ***![/QUOTE]

After hitting that Ass don't try Relationship unless you real feel it. Friendship with Benefits make sense!
 
After hitting that Ass unexpectedly don't try relationship may be Friendship with Benefit. Ahahahah

You are right.

And you know why? The same way you smashed it quickly, others have and probably will in the future.

It's mighty important to use that gray matter inside the cranium.
 
Ila pia kuna wengine wanalika kirahisi mno.

Mnakutana leo..kesho mnakulana halafu eti mnaanza uhusiano.

Baada ya wiki mbili tatu, mnatemana.

What The ***!

After hitting that Ass don't try Relationship unless you real feel it. Friendship with Benefits make sense![/QUOTE]
Hiyo ndiyo nzuri inaitwa shake before use if you see it didn't meet your expectations then unashukuru kwa kuonjeshwa
 
After hitting that Ass don't try Relationship unless you real feel it. Friendship with Benefits make sense!
Hiyo ndiyo nzuri inaitwa shake before use if you see it didn't meet your expectations then unashukuru kwa kuonjeshwa[/QUOTE]
Damn u must be a player man!
 
You are right.

And you know why? The same way you smashed it quickly, others have and probably will in the future.

It's mighty important to use that gray matter inside the cranium.
Damn real! Sex have become to easy to get, so cheap, it's not interesting anymore.
 
Nani anakuruhusu kuwa deep na upepo? Maisha are meant to be enjoyed not to be taken very seriously!
haa aa sasa hapo ndio wengi tuna differ namna tunavyo view hayo maisha... btw kwani ukichukulia maisha serious huwezi ku enjoy
 
  • Thanks
Reactions: BAK
INATOKEAGA SANA ATA NJE YA JF. UNAWEZA UKAWA KARIBU NA MTU AKAHISI UNAMPENDA KUMBE NI URAFIKI TU WA KAWAIDA. AT THE END ANAANZA KUKUCHUKIA KISA TU UJAMTONGOZA.
Huyu anatamani kupendwa! Raha kukitokea mkanganyiko wa aina hiyo, ni kuongea ukweli, wewe ni rafiki yangu, naheshimu hilo na kukipenda hivyo, si zaidi ya hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom