Ben-adam
JF-Expert Member
- Jun 2, 2023
- 1,132
- 2,529
Cheza muziki upunguze sumu mwilini wewee!![emoji41]
Unapenda kucheza muziki?
Unacheza ukiwa wapi, nyumbani/disco au bar?
Unapenda kucheza na nani: mke|mume wako/mpenzi/mtoto wako?
Mara ya mwisho kucheza/kudance/kukata mauno/kufyenkula ni lini?
Cheza muziki, furahia maisha![emoji41][emoji41]
Asalamaleko