Mara: Askari watano JKT washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

HAMNA WATU WAPUMBAVU NCHII HII

KAMA HAWA MBWA WA JWTZ

NI WAPUMBAVU SANAA.

siku chache zilizopita, huko mkoani. Wamesababisha ajali barabaran kwa upuuzi tu wa kutofata Sheria za usalama barabaran.

Hawa jamaa ni wapumbavu sanaa. Wanajiona ni kila kitu
Hili bango lipeleke kwenye kambi ya jeshi, ambayo ipo karibu yako, watabadilika
 
Ulidosolewa vilivyo?
Kwanza nina hamu mie?
Kuna afande km wa 3, wawil wa kiume na m1 wa kike, walikua wananichukia hataree, hata sijui niliwakosea nn, walinitesa mie had nilijuta kuwafahamu.

Siku ya mwisho ya maagano na kukabidhi combat, wanajifanya kuomba msamaha na kuniambia nisiwe na moyo wala roho ya kisasi, huenda tutaktan sehem nyingne nikashindwa hata kuwapa msaada, jaman yan wale watu siwasamehe kamweeh.
 
Hapana unasamehe tu, kuna kichwa kimoja cha ukuryani huko kiliwahi kuniletea unaa wa maana baada ya afande mmoja Lt wa kike kunichomea nilijikuta hospital sitasahau zile 45min.

Yule sister nilikutana nae dom tena kwenye shida maeneo ya kikuyu wana wanataka kumkalisha kuchukua alivyonavyo nikawasomesha wahuni huyu sista wetu watu wakawa wapole sista akatoka mtegoni.

Tangu hapo heshima. Ni sehemu tu ya maisha wengine walipiga ma intake magumu mfano ya 21 unakuta wameungulia wao ni jeshi tu akilini na battle.
 
Vijana wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu wanalidhalilisha jeshi kule wanafundishwa nidhamu na kila siku wanaambiwa wazingatie kilichowapeleka ila wao wanarukwa akili wanajifanya majeshi kunoga, watumikie ujinga wao sasa
 
HAMNA WATU WAPUMBAVU NCHII HII

KAMA HAWA MBWA WA JWTZ

NI WAPUMBAVU SANAA.

siku chache zilizopita, huko mkoani. Wamesababisha ajali barabaran kwa upuuzi tu wa kutofata Sheria za usalama barabaran.

Hawa jamaa ni wapumbavu sanaa. Wanajiona ni kila kitu
Kiukweli nadhani elimu inachangia,,(kule wengi na darasa la saba na form four failure) na ndo wanakuwa mara nyingi wanatumia nguvu kuliko akili,ukifatilia maisha ya maafisa wa jeshi(ambao wengi wao ni educated)ni watu wanaopenda kutumia akili kuliko nguvu na pia wanapenda kureason
 
Dah, mtu kuuliwa kwa kipigo anakuwa amekufa kikatiri sana. Mungu aturehemu
 
Kwanza nina hamu mie?
Kuna afande km wa 3, wawil wa kiume na m1 wa kike, walikua wananichukia hataree, hata sijui niliwakosea nn, walinitesa mie had nilijuta kuwafahamu.

Siku ya mwisho ya maagano na kukabidhi combat, wanajifanya kuomba msamaha na kuniambia nisiwe na moyo wala roho ya kisasi, huenda tutaktan sehem nyingne nikashindwa hata kuwapa msaada, jaman yan wale watu siwasamehe kamweeh.
Wacha roho ya korosho we mamaaa😅😅 wasamehe wakufunzi wako kuna waliyokuwa wanakufunza ukae ukijua hata hivyo nina imani ulikuwa mng'ao afu una slay ndio maana uliwengwa.
 
Back
Top Bottom