Mara: Askari watano JKT washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Kiukweli nadhani elimu inachangia,,(kule wengi na darasa la saba na form four failure) na ndo wanakuwa mara nyingi wanatumia nguvu kuliko akili,ukifatilia maisha ya maafisa wa jeshi(ambao wengi wao ni educated)ni watu wanaopenda kutumia akili kuliko nguvu na pia wanapenda kureason
Huwa wanafundishwa ujinga sana eti wenyewe ndo wenye nchi huku mfukoni hawana hata buku.
 
Kiki hizo, yn achana na hyo avatar yko ila just by reading between the lines kwny uandishi wako unaonekana fala
Askari wa miguuu..achana na mambo ya btn the lines na usenge senge kama huoo


Wake zenu ninawatombaa, sasa kama kijana wangu mmoja wa boda, keshawatomba wake wa wanajeshi watano

Sembuse mimi????

Kwa ufupi, wanawake zeni, wanatombwa mbayaaa yaaan sanaaaaa tuuuu.
 
Mifumo mingi kwenye hili taifa ni mfu haifai na yakizamani inabidi ibadilishwe,utatuzi wa jumla ni katiba itakayokidhi haja na wajibu wa kila sekta.
 
HAMNA WATU WAPUMBAVU NCHII HII

KAMA HAWA MBWA WA JWTZ

NI WAPUMBAVU SANAA.


siku chache zilizopita, huko mkoani. Wamesababisha ajali barabaran kwa upuuzi tu wa kutofata Sheria za usalama barabaran.

Hawa jamaa ni wapumbavu sanaa. Wanajiona ni kila kitu
anaongea kuhusu JKT mkuu
 
Mzee hujui kule tunafunzwa ubabe,kudharau raia na polisi wote pia kulima kwa sana.

Kweli wanajeshi wanadharau sana raia na askari polisi ,yaani wao ndio wanajiona kila kitu ,mwanajeshi bora umtukane tusi jingine lakini sio umwite yeye ni raia.

Inabidi kwasasa wasichukue wenye elimu za hapa na pale wachukue wasomi walioelimika,kuokoteza mabaunsa mitaani na kuwapeleka jeshini ndio tatizo hilo.
 
Mzee hujui kule tunafunzwa ubabe,kudharau raia na polisi wote pia kulima kwa sana.
Jkt nao ni askari toka lini?
Kumbe hata mimi naweza kuwa askari ila sijijui emh?
Nimepita OP sensa miaka hiyo ila sikulijui hili la leo kuwa kuruta na service wa jkt nao ni askari eti
 
Mifumo mingi kwenye hili taifa ni mfu haifai na yakizamani inabidi ibadilishwe,utatuzi wa jumla ni katiba itakayokidhi haja na wajibu wa kila sekta.
We mataga leo nawewe umebadilika unakiri katiba mpya ni suluhisho?
Duh shetani akizeeka huwa malaika.
 
Hao mbwa huwa wanajikuta spesho na keki Sana,kama wanajua kuua waende Somalia na Kongo .

Ngoja wanyee ndoo ndio akili zitawakaa sawa
 
Mzee hujui kule tunafunzwa ubabe,kudharau raia na polisi wote pia kulima kwa sana.
Mafunzo ya kijeshi hayo yamepitwa na wakati. Mbona nchi nyingine wanajeshi ni watu wapole sana? Kuna sehemu nilifanya kazi yenye wanajeshi wa USA. Ni wapole na waungwana kweli kweli japo muda wote walikuwa wanatembea na silaha kiunoni. Mkipishana mlangoni ni lazima asuburi upite kwanza.
 
Hapana unasamehe tu, kuna kichwa kimoja cha ukuryani huko kiliwahi kuniletea unaa wa maana baada ya afande mmoja Lt wa kike kunichomea nilijikuta hospital sitasahau zile 45min.

Yule sister nilikutana nae dom tena kwenye shida maeneo ya kikuyu wana wanataka kumkalisha kuchukua alivyonavyo nikawasomesha wahuni huyu sista wetu watu wakawa wapole sista akatoka mtegoni.

Tangu hapo heshima. Ni sehemu tu ya maisha wengine walipiga ma intake magumu mfano ya 21 unakuta wameungulia wao ni jeshi tu akilini na battle.
Kiukweli hapana siwezi kuwa mnafiki ktk hili, wale watu siwa samehe kamweeh. Hapana kwa kweli.
 
Wacha roho ya korosho we mamaaa wasamehe wakufunzi wako kuna waliyokuwa wanakufunza ukae ukijua hata hivyo nina imani ulikuwa mng'ao afu una slay ndio maana uliwengwa.
acha tu yaan, kule kambini kuna mateso sana, ubinadamu haupo kabisa.
Niwe muwazi wale watu siwezi kuwa samehe kamweeh.
 
Back
Top Bottom