Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,878
Nikusaidie acha hizo appartmendHilo linajulikana na liko wazi....walipewa apartments nane ziko ngulelo ila naona hawaridhiki tu
Haelewi hataalichoandika msameheKalale ukue
Nikusaidie acha hizo appartmendHilo linajulikana na liko wazi....walipewa apartments nane ziko ngulelo ila naona hawaridhiki tu
Haelewi hataalichoandika msameheKalale ukue
Na ishu za mapenz zinahusika sanaNasikia hakuhudhuria maziko ya wifi yake (Marehemu Aneth).
Najiuliza...Aneth ndio alikuwa mstari wa mbele katika kesi ya mauji ya kaka yake.
Kama wifi yake huyo anahusika katika mauaji yake (Aneth) probably anahusika katika mauaji ya mumewe (Erasto)
Hatari sana.
Ndivyo ulimwengu ulivyo..... kufa kufaana ukiumwa unakwenda kumlipa Doc... ukiwa na kesi unamlipa wakili.....and the likeKuna watu wanaendesha maisha yao kupitia matatizo ya wengine
Haya majina ya kichaga chaga, wanaweza kuwa watu wa machame hawa..hatari sana
Sio mchaga aisee Msuya ni mpare.Chezea wanawake wa kichaga, pesa mbele
Si kwa hii comment nimecheka mpaka basDon't trust a woman even a dead one.
Kwanini hutaki kuweka? Kwani walikuwa wake wenza hao?Aiseeeee huwezi kujua wanawake wanataka au hawataki nini sasa hg kamtaja mke wa msuya kama mshiriki wa mauaji na fukuto linasema walianza kugombea Mali na kuna tetesi nyingine sitoiweka hapa
Ni August 9, 2016 ambapo stori inayochukua headlines kwenye magazeti ya Tanzania ni kuhusiana na kukamatwa kwa mke wa marehemu wa bilionea Erasto Msuya.
Kwa mujibu wa gazeti la Tanzania Daima limeripoti kwamba Miriam Msuya alikamatwa
juzi na Jeshi la Polisi nyumbani kwake Sakina Arusha kisha kusafirishwa hadi Dar es Salaam kwa uchunguzi zaidi kuhusu tuhuma za mauaji ya Aneth Msuya ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya.
Gazeti la Tanzania Daima leo August 9 2016 limeripoti kuwa mke wa Msuya alikamatwa baada ya msichana wa kazi wa marehemu Aneth Msuya kumtaja kuhusika. Mfanyakazi huyo wa ndani ni mmoja kati wa watu wanaoshikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji
hayo.
Sasa millardayo.com & Ayo TV imempata kamanda wa polisi Arusha Liberatus Sabas na kayaongea haya;
"Nadhani kama mtakuwa mnakumbuka hilo tukio lilitokea jiji Dar es Salaam
kwahiyo hapa baada ya uchunguzi kufanyika jeshi la Polisi likamkamata mke wa marehemu Erasto Msuya ambae ni Miriam Msuya na kusafirishwa Dar es Salaam kwa ajili ya uchuguzi wa kina, alikamatwa Alhamisi iliyopita. "
Atiii .......yeeewiii ..... Yesu na Maria sisi wanawake baadhi yetu tunataka nn jamani! Tuombe Mungu sana alainishe mioyo yetu ieifikie huku kwa kutishia uhai wa watu kwa sababu ya pesa kwa kweli,tulizaliwa tupu tutakufa tupu yatayowekwa ni madoido tuHUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................
Nifah naomba uniruhusu kuendelea na threads nyingine!Nasikia hakuhudhuria maziko ya wifi yake (Marehemu Aneth).
Najiuliza...Aneth ndio alikuwa mstari wa mbele katika kesi ya mauji ya kaka yake.
Kama wifi yake huyo anahusika katika mauaji yake (Aneth) probably anahusika katika mauaji ya mumewe (Erasto)
Hatari sana.
ni mchagga huyo?HUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................
watu wanaongea kama vile hiyo familia imezijulia hela kwa ErastoTusihukumu kabla ya ukweli kujulikana.
Mburra! Ndoa za rasha rasha zina kuwa na haya mauza uza.HUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................