Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Wakuu tunapaswa kufahamu pesa inahitaji maarifa makubwa kuitawala, la sivyo, italeta madhara makubwa sana

Katika harakati zetu za utafutaji, maarifa na nidhamu ya hali ya juu inahitajika sana. Si katika kutafuta tu, bali kutawala fedha nyingi ulizotafuta

Watu wanaokuzunguka wanapaswa kuwa na maarifa na nidhamu hiyo pia la sivyo utawatia matatizoni

Marehemu Erasto hakujua wale kuzingatia haya, ndio sababu kubwa ya huu msururu wa matukio

Unafikiri alikua bilionea zaidi ya Mo, Mengi na Bakhresa? La hasha! Alikosa maarifa na nidhamu inayopaswa kuitawala pesa
Nimejifunza kitu muhimu sana kuhusu nidhamu. Ahsante kwa shule mkuu.

Kaka ...
 
Screenshot_2016-08-09-19-37-15_1.jpg


erasto10_1.jpg


Picha mtandaoni: Tanzaniasasa
 
watu wanaongea kama vile hiyo familia imezijulia hela kwa Erasto

wakati udalali wake katolewa na baba yake aliekuwa akimiliki mgodi
Wewe ndio utakua hujui hela iliyomtoa ni mawe ya lemakoo mmasai ndio akajenga sg ile ya kwanza akiwa n corrola 90.....mawe ya mgodi wa mzee kikaango hakupata mengi.....pia mawe ya tanzaniteone ndio yamejenga sg hii ya leo na kununua meza luna .....mawe ya bomu ndio yamemjenga kiuchumi hata kifo chake kimechangiwa na bomu la tanzaniteone
 
tangu nianze kuangalia investigation discovery nimejifunza mambo mengi sna kuwa unatakiwa ufatilie kwa dna hayo mambo tanzania hakuna tatizo ni kwamba unaweza ukamuhisi mtu kumbe siyo forensic muhimu MUNGU ndo anajua ukweli aingilie kati
 
Millard ayo ameandika kuwa aliyekamatwa ni dada wa Marehemu Msuya!
 
HUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................
Huyu mama basi ni shida sana,ataozea jela.Haijawahi tokea ubaya kuushinda wema
 
Hii itabidi tuitolee Season maana inakuwa kama movie za muendelezo
 
Hivi nimaoni yangu lakini.... Hivi hawa wanawake yaani cji wanamatatizo gani? na cjui wanafaida gani? Yaani mwanaume anatafuta riziki kwaajili ya watoto na mama watoto ila tamaa za hawa viumbe ni potofu... Yaani hawatoshekagi na kamwe hawatawai tosheka tumbaka!!!!!!!!!!
 
Ninacho amini nduguzangu ni kwamba malipo huwa ni hapa hapa duniani hata ufanyeje utalipia tu,na kama sio wewe basi ni kizazichako,pia dhuruma haifai unakuja kuwates hata wasio husika kabisa
 
Huu mziki ndio umeanza yetu macho ila mama mkwe na dada wa erasto ndio tatizo kubwa....mauaji ya erasto na mauaji haya ya anneth hayana uhusiano hata chembe....huyu mama cdhani kma anahusika mana mariam mali yote ni yke alitafuta yeye n mumewe
MDA UNAFIKAA SOOONA WASIOKUAMINI

WATAKUAMINI KTK ROHO NA KWELI
 
Polisi wakiamua kufanya kazi hakuna atakayesalimika. Hawakosei
Umenifurahisha imebidi nikanywe dompolight

Unakumbukaaa alietangazwa NA Kamanda wetu kuhusu alirtaka kumuua Dk ulimboka sijuikama utakuwa ulisharudi bongo enzihizo
Walitutangazia MTU mkenya badae wakatuambia amekwenda kukiri kanisa la uffuufuo NA uzima kwa GWAJIMA hahaaa sijui niendeleee

Gwajima akakanaa ajawahikumsikia huyokijana ..akafikishwa mahakamaani..hahaaa.mahakama ikamwachiaa huru hahusiki hatakidogo

Tafuta mwishoo wahiikesi uelewe nao n binadamu
 
Wewe ndio utakua hujui hela iliyomtoa ni mawe ya lemakoo mmasai ndio akajenga sg ile ya kwanza akiwa n corrola 90.....mawe ya mgodi wa mzee kikaango hakupata mengi.....pia mawe ya tanzaniteone ndio yamejenga sg hii ya leo na kununua meza luna .....mawe ya bomu ndio yamemjenga kiuchumi hata kifo chake kimechangiwa na bomu la tanzaniteone
Mambo ya watz bhana mkuu vipi unaundugu na msuya?
Mnakomalia utafikir alikokuwa anatafuta Mlikuweko..

Yanini kushupalia mambo ya watu na kujifanya ww ndio mchambuzi Wa utajiri wake?
Mnatia aibu
 
Back
Top Bottom