Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

To a sababu za kutishiwa bastola NA ulichukua hatua gani Jf HII sio ya majungu kuinama....ulimfikisha wapi.....
haikuhusu ?............................ wala siendelezi hapo ndo nimefikia mwisho japo ninayo mengi tu ya kusema hapa,

hapo nimejaribu kusema machache ili msishangae sana mkisikia wake zenu wanakuja kuwatoa uhai ishi na mwanamke kwa akili
na wewe ndo unataka nianze majungu shindwa kuanzia kiunoni kuelekea chini
 
Mshana Jr

SRC ya huuyo wifiyaoo pesa za kakayaooo

Tafutaa mda kaana mmoja wa wanafamilia

AMA watoto upate kilichotokea baada ya msiba wa erasto. N shida kubwa ...ndugu wanahaha NA Mali za kaka ambazo awajui mke alifanya nn wakazipata

Kinachofanyika sasa n kumuingixa wakitarajia hizo Mali azitakuwa NA msimamizi infact ningumu kufanikiwa nawalipoyaonaa hayo walijiandaa NA wanasheria kuhusu maliza mumewe

Mwenye akili niwakumbushe tu mwanamke ana Mali nyingi sana hakuna mazingira ya yeye kumfanya amuue wifiyake kamwe kwa lipi??kilakitu kipo official kwa mjane .......NA nisahahihishe Huyo WiFi(marehemu) alikuwa akifwatilia Yale mauwaji ya kakayake nasio maliza kakake

Then amwoni mke ndie angetakiwa kuwana umoja NA wifie kwann akamuue???....

Shida kubwa ya malumbano n Mali za marehemu NA nahisi zitawamaliza kwa style HII ..nawatakia Amani ya Bwana ikawatangulie KWENYE uchunguzi wao......

Huyu bibie
Kaka mshana Jr alishindwa hats kwenda kuzika wifiee sababu yavitisho alivyopigiwa NA MTU mmoja akijihusisha NA ukaribu wa msiba

Hats mm nisingeendaa kamanatishiwa tuwaachie police wafanye uchunguzi wakweli
hahahaha hapana .................... hata sisi tuanmfahamu mama sg
 
ID extra.naamini ukweli utajulikana kwa shida sana maana kuna hela inatembea hapo#ila kuplan tukio la mauaji huwa ni ngumu sana kwa hiyo sio jambo la kufanya
Hata ulaya penyewe huwa wauaji wanaishia kukamatwa sana tu hasa ukiangalia Chanel zao maana muuaji hata awe makini vipi huacha evidence hii ni kwa sababu tukio lenyewe huwa sio la kawaida labda police waache tu kufatilia kwa makusudi.
 
Ukwelii uko hivyooo hataaa wewee ulieshikiwa bastola elezea sababu za kushikiwa NA ulichofanyaaaaaaa ulimshitaki wapi ili WATU wasiamini majungu

Labdaa nikushirikishe kama wewee n mmoja waoo baada ya kutoka pale msibani naamini ulikiwepo huyuu mama amejitenga NA kuiogopa kabisa hip familiaaaaa...

NA mpakaa sasa amekuwa hapendwi kabisa NA familiaaa hasaa ndugukadhaaa ambaoo wamekuwaa wakimiminika kuomba omba misaada kwahuyo mamaa NA HII n baada ya kupewa info usiwachekee hao awana jema NA wewee

mimi sina ukoo na hao jamaa nimewahi kuwa manager wa sg resort kitambo kidogo lakini huyu mama alituhangaisha na kutunyanyasa endelea kuona ni bmajungu kijana sawa tu..................
 
UNAWEZA KUFANYA YOOTE LAKINI UWEZI KU PLAN MAUWAJI YA MTU KIRAHISI UKAMHUSISHA MTU...

PAMOJA NA MALUMBANO NA PESA ZOTAKAZOTEMBEA MWISHO WA SIKU TUKOHAPA UKWELI UTADHIHIRIIKAAA

WAZO TU
MUMEOO AKIWA NA PESA NA MALI JITAHIDI SANA MUANDIKISHANE MAJINA YA WATOTO ..HILI N MSAADA MKUBWA KWAKO HUKO BADAE BILA KUJIJUA..MTAPOTEZA HAKI ZA WATOTO.SOO KILA NDUGU ANAEKUCHEKEA ANAKUTAKIA MEMA SUBIRI BAADA YA KIFO CHAKO UONE
kwani sg ni nini si majina ya watoto simon and gloria?
 
Nasikia hakuhudhuria maziko ya wifi yake (Marehemu Aneth).
Najiuliza...Aneth ndio alikuwa mstari wa mbele katika kesi ya mauji ya kaka yake.
Kama wifi yake huyo anahusika katika mauaji yake (Aneth) probably anahusika katika mauaji ya mumewe (Erasto)
Hatari sana.
acha kumwongezea kuni mwenzako kwenye moto ambao tayari unamuunguza
 
Back
Top Bottom