MarkHilary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 1,849
- 2,288
Wakuu tunapaswa kufahamu pesa inahitaji maarifa makubwa kuitawala, la sivyo, italeta madhara makubwa sana
Katika harakati zetu za utafutaji, maarifa na nidhamu ya hali ya juu inahitajika sana. Si katika kutafuta tu, bali kutawala fedha nyingi ulizotafuta
Watu wanaokuzunguka wanapaswa kuwa na maarifa na nidhamu hiyo pia la sivyo utawatia matatizoni
Marehemu Erasto hakujua wale kuzingatia haya, ndio sababu kubwa ya huu msururu wa matukio
Unafikiri alikua bilionea zaidi ya Mo, Mengi na Bakhresa? La hasha! Alikosa maarifa na nidhamu inayopaswa kuitawala pesa