Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

nilisikia baada ya mazishi akatoa 20% ya mali ya mumewe akawapa ndugu pamoja na babake Erasto halafu akawapiga stop
 
Malipo hapa hapa tu...wanadhani shetani ni jidudu flan lenye Sura yakutisha kumbe Shetani ni MTU wakawaida kabisa daaah..
hahaa huyu mwanamke alikuwa katili anasura inayosomeka kabisaa............
thiough erasto alikuwa mtu wa watu japo alikuwa na mapungufu yake ...... mke sasaa ghrrrrrrrrrrrrrrr
 
OK, KUMBE MPARE ILA SISHANGAI CKU HIZI HATA WANAWAKE WA KIGOGO WANAUA SHAURI YA MALI...
kuna wanadamu wengine wapuuzi sana ............ hata hivyio kalizaliwa kwenye umasikini sana naona kaliona katazikwa na hizo mali...........,ali zenyewe za kishirikina ptyuuuuuuuuuuuuuuuuu mbaka
 
kuna wanadamu wengine wapuuzi sana ............ hata hivyio kalizaliwa kwenye umasikini sana naona kaliona katazikwa na hizo mali...........,ali zenyewe za kishirikina ptyuuuuuuuuuuuuuuuuu mbaka
NGOJA AKAOLEWE BILA HATA SHILINGI NA HUKO JELA.....
 
Hapo mwisho rekebisha kuna shida kidogo. Aliyekamatwa sio dada wa marehemu bali mke kufuatia maelezo aliyotoa binti wa kazi wakati wa mahojiano na polisi
Soma vizuri usikurupuke Kama unaoga nje
 
Nasikia hakuhudhuria maziko ya wifi yake (Marehemu Aneth).
Najiuliza...Aneth ndio alikuwa mstari wa mbele katika kesi ya mauji ya kaka yake.
Kama wifi yake huyo anahusika katika mauaji yake (Aneth) probably anahusika katika mauaji ya mumewe (Erasto)
Hatari sana.
Chezea wanawake wa kichaga, pesa mbele
 
haha atashaa .................... maisha ya uraiani huku ni mazuri sana ......... hata kama aunakula ugali wa kulumangia
NGOJA AKAJIFUNZE HUKO KWANN KUKU HAKOJOI NA KWANN MLENDA HAUOSHWI.....
 
Nasikia hakuhudhuria maziko ya wifi yake (Marehemu Aneth).
Najiuliza...Aneth ndio alikuwa mstari wa mbele katika kesi ya mauji ya kaka yake.
Kama wifi yake huyo anahusika katika mauaji yake (Aneth) probably anahusika katika mauaji ya mumewe (Erasto)
Hatari sana.
Ni kwel hakuhudhuria ila ni baada ya mama mkwe kukutaa akidai kua akimuona atapata presha na anaweza kufa lkn pamoja na kuzuiwa kwenda alitoa wafanyakaz wa hotel yake na rambirambi shs million 3,,hiyo yote inasemekana wakwe na mawifi wanazitaka mali za marehemu ndo mana wanamsumbua mke wa bilionea Erasto,pia ndugu wa Erasto wamekuwa wakimletea watoto wa nje wakidai ni wa marehemu ili awape urithi na huyo dada anatoa tu hapo police wafanye uchunguz wa kina kuna kitu kinatafutwa
 
Hapo mwisho rekebisha kuna shida kidogo. Aliyekamatwa sio dada wa marehemu bali mke kufuatia maelezo aliyotoa binti wa kazi wakati wa mahojiano na polisi

sawa mkuu

Ndio habari ilivyosema, aliyekamatwa ni mke na sio dada. Sioni pakurekebisha.

Mwenye post alishaona na kurekebisha asante kwa kuja

Mshana Jr ulichokisema mbona muhandishi hajaandika hivyo au umesoma story vibaya jaribu kusoma tena

Alisharekehisha asante kwa kuja

Hahahaha poa brother

S

Soma vizuri usikurupuke Kama unaoga nje
jjmm jifunze kufuatilia mjadala kabla hujakurupuka kumjibu mtu
 
Poleniiii Sana'a msioelewa amkutakiwa kuelewa

.walioelewa wameanza kutafutana kwa msg nbox.............
Mkuu kauli yako ina habar kubwa mno hebu weka wazi
 
Back
Top Bottom