platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,517
.......Huu mziki ndio umeanza yetu macho ila mama mkwe na dada wa erasto ndio tatizo kubwa....mauaji ya erasto na mauaji haya ya anneth hayana uhusiano hata chembe....huyu mama cdhani kma anahusika mana mariam mali yote ni yke alitafuta yeye n mumewe