KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Mzusho KINOOOOMAAAAAAAA,yaani mademu kwa uzushi?Mzusho hakika hahaha!
Mzusho KINOOOOMAAAAAAAA,yaani mademu kwa uzushi?Mzusho hakika hahaha!
kwanza ukiangalia kuuawa kwa Aneth na Maelezo tuliosoma sehemu mbali mbali inaonekana wauaji Marehemu anawafahamu ndio maana walipofungua geti yeye akakimbilia chumbani akimuacha mtoto sebuleni.
Pili hata kutoweka kwa house girl bado kunaonyesha haya mauaji hayamuhusu huyu mama. House girl amemtaja huyu mama kutokana na mateso ama kushurutishwa na watu.
Mama utasaidia police hivi pundeNasikia hakuhudhuria maziko ya wifi yake (Marehemu Aneth).
Najiuliza...Aneth ndio alikuwa mstari wa mbele katika kesi ya mauaji ya kaka yake.
Kama wifi yake huyo anahusika katika mauaji yake (Aneth) probably anahusika katika mauaji ya mumewe (Erasto)
Hatari sana.



Tatizo nyie Wagogo mnapenda kukana kabila lenu.Wanawake wa Kaskazini ni hatari saana! Mie ni mmeru natambua ndugu zangu walivyo... wachaga ni hatari sana ila wapare ni zaidi ya hatari.
Naapa sitokuja kuowa kaskazini milele.
Hakuna nilijualo mama.Mama utasaidia police hivi punde![]()
Nimewaona Ila unasikitishaHakuna nilijualo mama.
Ni mawazo tu.
Wahusika siwajui zaidi ya kuwasikia tu kupitia mitandao ya kijamii.
Soma posts humu,utawaona wa kusaidia police.
Ninasikitisha kwa yepi?Nimewaona Ila unasikitisha
Weee Erasto mtu wa wafu wapi? Alimkana mwanae wa kuzaa mwenye kufanana nae mpaka matege na hakuwahi kumtunza licha ya DNA kuprove ni wake? Alikua maarufu kwa kutembea na wake za rafiki zake, na alikua ni mgeukaji mkubwa sana katika biashara. Hizi ndo sifa halali za Erastohahaa huyu mwanamke alikuwa katili anasura inayosomeka kabisaa............
thiough erasto alikuwa mtu wa watu japo alikuwa na mapungufu yake ...... mke sasaa ghrrrrrrrrrrrrrrr
Najua zote Kaka namjua sana..... Kuna vilaz.a humu nikimsema wanamtetea yeye Na mkewe ni mamafya by the way arv zilizagaa nyumba nzima ya huyu baba..... n way kifo chake kinaweza kutokana Na mambo mengi sana dhulma Na kuwaambukiza watu hiv of coz sasa naunga dotz Na alitembea Na wanawake hata 7 daily shkamoo pesa.Weee Erasto mtu wa wafu wapi? Alimkana mwanae wa kuzaa mwenye kufanana nae mpaka matege na hakuwahi kumtunza licha ya DNA kuprove ni wake? Alikua maarufu kwa kutembea na wake za rafiki zake, na alikua ni mgeukaji mkubwa sana katika biashara. Hizi ndo sifa halali za Erasto
Yeah hayo ndio Maelezo ya mtoto ambayo yamenukuliwa alipokuwa akielezea tukio zima.Yaani mama alikimbilia chumbani akamwacha mwanae sebuleni? Ni nani aliyetoa hayo maelezo? Huyo mtoto?
Hapo nami ndo pananipa shaka kidogo na kuniacha na maswali kadhaa. Huyo mdada wa kazi yuko credible kiasi gani?
Maana isije ikawa anataja tu watu under duress to save her own hide!
Licha ya hivyo, nadhani wengi wetu humu, kama siyo wote, hatuko privy na details za uchunguzi na shauri zima.
Tunatoa tu maoni na hisia zetu kulingana na kinachosemwa mitaani na kinachoandikwa magazetini na kwenye vyombo vingine vya habari.
Usitishwe na kitu wengi wanadhani hii issue ni ndogo. Wengi wanadhani hii issue IPO kiudaku. Hapa tunazungumzia Roho za watu na damu zinaZoendelea kumwagwa kwa sababu zisizowekwa wazi. Ili kuwasaidia hao nilazima tuongee tunachokijua bila kutishwa na MTU. Hii issue ni kubwa kuliko sisi tunavyodhaniNinasikitisha kwa yepi?
Jamani mimi pia demu. ...sasa? OoopsMzusho KINOOOOMAAAAAAAA,yaani mademu kwa uzushi?
Kusaidia polisi si tatizo, si unawapa tu mawazo yako katika kuboresha utendaji na kupanua wigo wa ufikiri tu.Hakuna nilijualo mama.
Ni mawazo tu.
Wahusika siwajui zaidi ya kuwasikia tu kupitia mitandao ya kijamii.
Soma posts humu,utawaona wa kusaidia police.
Basi bro si unajua tena hiyo avatar inaleta mkanganyiko?Jamani mimi pia demu. ...sasa? Ooops
Nafikiri alikuwa anamaanisha"INASIKITISHA"Ninasikitisha kwa yepi?
inapaswa uelewe kuwa hii familia tayari ina visasi na mke wa marehemu, kama kuna mengi yanaendelea kugombea mali upande mwingine kutoridhika, yawezekana huyo mama hakwenda kwa sababu ya ugomvi, vaa viatu kama umeolewa kwenye familia kama hii ungrfanyaje. Kumbuka binti anapoolewa kaka yake alikuwa hai, marehemu kipenzi cha kaka na familia wewe ni mke, upende husipende kulinda familia wanao utakuwa mstari wa Mbele kushiriki kwa upendo hata wa kinafiki, si husiki si wajui, najibu kwa logic za matukio na muendelezo wa taarifa
kama si @marrymvungi tungejuaje kuwa polisi walienda kukagua na kuchukua mikufu ya dhahabu ya mtuhumiwa pamoja na magari mawili?,
Mkuu Masunga za siku bhana.