Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Of course mm simuhusishi moja kwa moja kwa Na mauaji ila naunga dots tu tabia zake mimi nilipewa nyumba ya kuishi Na erasto wakati nasimamia kazi zake yaani nilikuwa naishi hovyo huyu mama alikuwa ananivizia madirisha anachungulia anatuma watu Yani alinibugudhi sana acha alipe alichopanda...... sitaki kukumbuka kabisaa. Kama ni yeye aumbuke maana Wafanyakazi wake alikuwa anatuletea umafya wa kimaandazi
Nimekusoma pengine hilo tishio la bastola ilikuwa ukiri kama unatembea na Erasto. ...ama sivyo.
 
Nimekusoma pengine hilo tishio la bastola ilikuwa ukiri kama unatembea na Erasto. ...ama sivyo.
Nope..... Niseme namemletea Na nawafahamu wanawake zake of course dakika hiyo walikuwa 3 kwenye vyumba tofauti hotel hiyo Na walinzi ndo walikuwa wanajua hizo habari mimi nilikuwa mtazamaji Na nilikuwa naona kila kitu as a manager nilikuwa nalipwa hesabu za vyumba kila siku kama 7au nane Na hela za zaidi.... Hahaha
 
Kwanza mm kama hilo zoezi la mariamu kuumua wifi yake sio kweli kabsa kwangu nakataa hadi siku ya kiaama,,kwanza ebu kila mtu ajiulize baada ya mazishi mamake aneth alitoka mererani kwenda dar na hadi leo hajarudi pili yule mfanyakazi wa ndani kukamatwa nikwanini mama aneth na dadazake aneth waliomba wamhoji faraga? Je hayo maongezi yalilekodiwa na kujua walizungumza nini? Je polisi inajua hiyo faraga walizungumza nini na huyo mfanyakazi wa ndani?kwasbbu huyo msuchana kutoka kwao hadi nyumbani kwa mamake aneth kuna umbali wa 149mt nikama jurani na usitoshe yy mamaaneth ndie waliomtafuta huyo housegiry kwenda kufanya kazi kwa aneth,na lingine ukiangalia mkewa wa erasito anakaa arusha na kutoka arusha hadi nyumbani kwao mererani ni 64km,je mwenye ukaribu wa kushawishi ubaya kwa house girl ni nani kati ya mama erasto na mke wa erasto? Jamni yaani usilolijua ni usiku wa giza!! Mbona swala liko wazi jamni ebu vyombo vya dola nawaomba tumieni akili saana kwenye hii pointi kuna tagerti iko hapo!! Chazo cha hayo yote nikwamba kwanza babake marehemu aliapa mahakamani kwamba baada ya erasto kufa amemwachia mungu! Na mkewa erasto akawambia mawifi km mnataka gari kwaajiri ya ushahidi mahakamni mbona baba mkwe amekataa na amesema amemwachia mungu basi na Mimi pia nimesema naachana na hiyo kesi,ss hapo ndipo mawifi wakachachamaa!! Na mkewamarehemu akaona aolewe na mwaume mwingine,na waliposikia kwamba mke wa marehemu ameolewa na mtu mwingine sasa ikawa ni kero hadi kwa mama aneth, hasra zikapanda kwa ndugu hususani mawifi, na ndio maana walimpiga marufuku kuja kuzika wifi yake siokwamba yy ndo aliktaa apana,mamakemarehemu alisema kabla ya aneth hajafikwa na mauti akimuona mke wa marehemu anatamni hata ampigie ukunga kisa ana bwana mwingine ambae anakula Mali ya mwanae erasto,ndo chazo cha kutohudhulia msiba wa aneth sio vingunevyo,na baba yake baada ya kusema amemwachia mungu kwa ajiri ya mauaji ya erasto na akakiuka na kuanza kwenda tena kwa waganga sasa kilichompata tena mzee wa watu nimungu anajua,sijui kafanyeje mikono yote imeungua na moto hata wiki haijaisha,je na hiyo ni mkewa erasto ndo alimuunguza???? Jambi kumi ni kumi lkn ukitoa sufuri inabaki moja sio kumi tena!!!! hausegirl amesomeshwa na mama aneth na dadazake aneth wa sio vinginevyo wadau,mamaaneth aruwadi tu mererani aje ampeleke bwanake hospitl kaungua mikono
Pesa za madini ....watu kutolewa kafara na masikini zeruzeru wetu wanavyo teseka! Acha tu! Malipo ni hapa hapa duniani. ...MWENYE ENZI MUNGU ATUONGOZE MILELE
 
Pesa sio shetani,hilo namtetea shetani sio pesa kivipi?....kwanini utawale pesa au kwanni pesa ikutawale? Jibu unalo na sio shetani!!! Sawa Mr ngege john
NAKUBALIANA NA WEWE KABISA .....Amen
 
Commiting a perfect murder.
Sina imani na polisi wetu. Ukiangalia IDx suspect halazimishwi kukiri hata kama polisi wanahisi kabisa huyu ndiye muuaji watamwachia huku wakiendelea kukusanya evidences.
Ni mara nyingi sana unakuta wanayemuhisi siye kabisa wakati dalili zote zilionyesha ndiye.
Sasa polisi wetu wakikuhisi kwa mateso na mikwara utakayopewa unaweza kukiri umeua.
Mkuu wenzetu wameona na wanaona umuhimu wa kufunza watu wao forensic investigation and not virungu ngumi investigation
 
Erasto Simon Msuya aliuawa tarehe 07/08/2013.

Aneth Simon Msuya aliuawa tarehe 27/05/2016.

Huyu Erasto alishafariki na hana uwezo wa kujieleza kuhusu hayo anayotuhumiwa kuwa aliyafanya. Mimi nilibahatika kuzungumza nae kuhusu hiyo tuhuma yangu "incest". Nakumbuka alinijibu hivi "kaka katika jambo linaloniuma roho katika maisha yangu ni kupewa kashfa kuwa natembea na dada yangu. Lakini ipo siku Mungu atawadhihirishia hao mahasimu wangu ukweli kuhusu hilo jambo. Hebu chukulia picha wewe utembee na dada yako wa kuzaliwa nae, utaanzaje na wanawake wamejazana kila kona? Nilianza kushika pesa nikiwa mdogo wakati niko Advance, Makumira Sec, nilikuwa nikitoka shule kipindi cha likizo naenda kuzama mgodini kama nyoka wa viongozi wa MAREMA, nikawa napata hela, isipokuwa watu wanaona kama nilipata pesa ghafla kumbe nimefight sana ila Mungu ndiye anayejua".

Kwahiyo moyo wa mwanadamu ndio unaojua kilichpo ndani. Tuache kuzungumza maneno ambayo hayana ukweli wala faida. Tuzungumzeni tunayoyafahamu na tusiyoyafahamu tusitunge uongo ili uonekane unajua.
Mkuu umeongea ukweli wote hapa istoshe mawe ya lemakoo ndio yalimyanyua mpka akajenga sg hotel.baadae ndio akaanza kupata mawe ya bomu kutoka tanzaniteone ambayo ndio yalimuweka juu kiuchumi...watu wanaongea hapa ila kiundani hawajuikua jamaa kapambana sana kimaisha ingekua hela yke inashida cdhani kma hiyo mali leo hii ingebakia
 
Hayo ni maagano ya familia yao ya wasuya wala mama saimon hakushiriki ni kweli antuja alikuwa anatembea na kaka yake na hayo maagano yao itakuwa wanayaendeleza ndio maana wanakufa na wewe chunguza tarehe aliyokufa erasto ndio aliyokufa anathe
Duh. ...hii kali Walahi
 
HUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................
duuuh
 
Mama saimon hajaolewa na hao ndugu hata wakipewa Mali hawatawasaidia watoto wa kaka yao coz walishawakana kuwa hawawatambui kama watoto wa familia wakipewa hizo Mali watoto wa marehemu watateseka na pia erasto alitafuta Mali kwa ajili ya familia yake mkewe na watoto na sio ukoo mzima wa wasuya mirathi yao walishapewa Mali zilizobaki erasto aliandika ziwe chini ya uangalizi wa mke wake kwa ajili ya watoto wake
Huyu ni ndugu wa marehemu, subiri mali ndio mumchinje mwenzenu kama kuku, nenda kamteteee police Sasa, na wewe utakuwa mmojawapo
 
hata kama ni mimi ndugu wa erasto nisingekubali mali za ndugu yangu ziliwe na mwanaume mwingine....Hizo mali za erasto zirudi kwa ndugu zake pamoja na watoto wake ...mama saimoni aende akatunzwe na huyo mume wake mpya
Kabisaaaaa arudishe mali, ziwekewe watoto, yaani limwanaume lingine ndio lije lifaidi mali ya mwenzake.alafu na wewe tukuulize ulijuaje house gal aliitwa Chemba, na umejuaje hayo mambo yote ya familia ya kina msuya yanayoendelea na wakati hamko karibu na ndio maana hata kwenye msiba hamkwenda nyie ndugu wa mke. Inamaana nyie ndio mnaofutilia hii familia Kwa ukaribu.police shikeni hii mtu ikaisaidie police bwana
 
Duh unazidi kukata mbuga, kama mliyajua haya unayodai...kwanini hamkumuondoa mama saimoni?... Kwani dumba sijui nini hazikumpata ndani ya nyumba au kitandani...iweje hasishiriki hata msiba wa wifi/mwanae mlezi... Ikampatie huko msibani? Kwa mumewe na pichani alimpapasa ka vile oooh kumbe walikumaliza lweli...na kwa jeneza oooh ka vile yaishe nile zangu...nakutania nawe ucheke kidogo.
inapaswa uelewe kuwa hii familia tayari ina visasi na mke wa marehemu, kama kuna mengi yanaendelea kugombea mali upande mwingine kutoridhika, yawezekana huyo mama hakwenda kwa sababu ya ugomvi, vaa viatu kama umeolewa kwenye familia kama hii ungrfanyaje. Kumbuka binti anapoolewa kaka yake alikuwa hai, marehemu kipenzi cha kaka na familia wewe ni mke, upende husipende kulinda familia wanao utakuwa mstari wa Mbele kushiriki kwa upendo hata wa kinafiki, si husiki si wajui, najibu kwa logic za matukio na muendelezo wa taarifa
 
Hapo umeongea ukweli na ukiangalia km huyo Dada wa kazi kweli ameshauliwa na akajidanganya sasa kule kunakoelekea hao waliomshauli huyo mtoto itakula kwao,pili aliempeleka huyo msichana wa kazi kwa aneti ni nani? Je ni mamake aneth? Au ni mkewa wa erasto, au ni mawifi zake mke wa erasto, au ni nani baada ya kupata jibu ilikuwa waanze nae,alfu kati ya hao wote nani ana ukaribu mkubwa na yule mfanyakazi wa ndani na aneth mbona jibu litatoka km jipu la kwapa
Inasemekana huyo mschana ANETH alimchukua kwa Mamaake Mzazi ndio alikuwa anafanya hapo
 
Kabisaaaaa arudishe mali, ziwekewe watoto, yaani limwanaume lingine ndio lije lifaidi mali ya mwenzake.alafu na wewe tukuulize ulijuaje house gal aliitwa Chemba, na umejuaje hayo mambo yote ya familia ya kina msuya yanayoendelea na wakati hamko karibu na ndio maana hata kwenye msiba hamkwenda nyie ndugu wa mke. Inamaana nyie ndio mnaofutilia hii familia Kwa ukaribu.police shikeni hii mtu ikaisaidie police bwana
Acheni mfume dume, hivi mnamaana wanawake hawana power za mali katika familia? Kuna wanaume wangapi hawana Uwezo wake zao ndio wanaowafichia siri wakiwaweka Mbele na kuwanyanyua waume zao? Lazima tafakari ifanyike, alipoelewa kuna kilichokuwepo, hicho ndio haki ya kuzungumza tena labda, baadae ni mali ya Mke, baba na watoto, hauna right ya eti hasiolewe, so what, uamuzi ni wake. Mwanamme akifiwa na mke mbona sijasikia akioa lete mali upande wa mke ukaanze upya na mke mpya.
Acheni kuunderrate wanawake bwana, wako economically fit and sound
 
Commiting a perfect murder.
Sina imani na polisi wetu. Ukiangalia IDx suspect halazimishwi kukiri hata kama polisi wanahisi kabisa huyu ndiye muuaji watamwachia huku wakiendelea kukusanya evidences.
Ni mara nyingi sana unakuta wanayemuhisi siye kabisa wakati dalili zote zilionyesha ndiye.
Sasa polisi wetu wakikuhisi kwa mateso na mikwara utakayopewa unaweza kukiri umeua.
Hapana ndugu ukikuta Polis wanafanya usanii basi ujue hiyo issue inamkono wa mkubwa lkn Polis wetu wakiamua kufanyakazi Utafunguka tu Believe mi
 
Erasto alikuwa anatembea Na dadake mke alijua alipoenda kushtaki familia ikamwambia atulie ndio lexus Na mapesa yanapotoka
Hii familia ina uchafu wa kutisha
Duh...kwahiyo inaonekana ni Vita ya Mke mkubwa na Mdogo...nawaambiaga watu...hakunaga utajiri bila maagano
 
Back
Top Bottom