Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Halafu wanamficha hajulikani kawekwa wapi maana hayupo kituo chochote cha police ndugu zake wameenda kumuona ila alikuwa ndani ya taxt kioo kikashushwa kidogo amejaa makovu akauliza watoto wake wanaendeleaje ile tu ndugu yake anamuuliza mbona unamakovu wakamwambia haruhusiwi kuongea tena wakawasha gari wakaondoka tangu ijumaa yupo na nguo zilezile walikataa asipewe hata nguo za kubadili
makovu tena?.,so watakuwa wanamtoture ili akiri,
procedure za polisi wa bongo bana..
 
Itakuwa ndio hivyo na afya yake imedhoofika sanaaaaa sasa wewe fikiria ni sheria gani unaruhusuu mtuhumiwa aonane na ndugu zake kwenye taxt hao mapolice wanahela gani ya kumkodia mtu taxt
 
Inasemekana huyo mschana ANETH alimchukua kwa Mamaake Mzazi ndio alikuwa anafanya hapo

Baada ya kupitia maelezo ya baadhi ya wachangiaji inaonekana mke wa Msuya hausiki na mauuaji ya Aneth - mke wa Msuya hana sababu ya msingi ya kula njama za kumuua wifi yake na if anything ndio maana alihamua kuolewa na bwana mwingine baada ya kuchoshwa na gubu la mawifi wake na mama mkwe - watu wa kuhojiwa kwa kina ni wifi zake na mama mkwe, hata baba mkwe ahojiwe mikono yake uliungua kwa sababu zipi, si alisema kila kitu amenwachia Mungu sasa kwa nini alikuwa anakwenda kwa waganga wa kienyeji je kulikuwa na ugomvi wa kifamilia/ukoo wa kimya kimya wa kugombania urithi/mgao wa mali za Msuya hasa hasa mawifi/mamamkwe - wanatafuta njia ya kuwadhulumu mke wa Msuya na watoto, oh yes mawifi na mamamkwe ndio walionekana kushupalia sana mali za maheremu Msuya
 
Nikweli kwa macho ya kawaida tuliowengi tunaamini hahusiki lkn Jicho la udadisi...linatakiwa kupita kila mahari panapoonekana kuna jani linatikisika...Sema atataabika kukaa ndani hadi upelelezi ukamilike...ndio shida ya kesi za mauaji
 
Itakuwa ndio hivyo na afya yake imedhoofika sanaaaaa sasa wewe fikiria ni sheria gani unaruhusuu mtuhumiwa aonane na ndugu zake kwenye taxt hao mapolice wanahela gani ya kumkodia mtu taxt
which means hao polisi wanaweza kuwa wanaoperate under private contract chini ya mwamvuli wa kuwa wanafanya homicide investgation.
Inatakiwa wakili wake asizubae
 
M
Itakuwa ndio hivyo na afya yake imedhoofika sanaaaaa sasa wewe fikiria ni sheria gani unaruhusuu mtuhumiwa aonane na ndugu zake kwenye taxt hao mapolice wanahela gani ya kumkodia mtu taxt

Mary, anika kila kitu adhalani - kumbuka familia ya Msuya wana hela za kufa mtu i.e wana uwezo mkubwa wa kufanya lolote kwa kupindisha mambo - si ajabu tuka ambiwa mke wa marehemu alipata mshituko wa moyo wakati anahojiwa na Polisi na kupoteza maisha - chunga sana.

Procedures za kukamatwa kwa mama huyo na kuhojiwa kunatia shaka sana, kwa nini anakataliwa kushirikisha wakili wake wakati wa mahojiano na polisi, kwa nini Polisi wasombe mikufu ya dhahabu na magari ya kifahari ya marehemu, hayo yana mahusiano gani na mauuaji yaliyo tokea Kigamboni Dar, je, tangu lini a tinted taxi ikatumika kama chumba cha Polisi kwa ajili ya mahojiano, is this normal?

IGP anapashwa kuingilia sakata hili fasta kabla ya watu wabaya hawajapoteza ushahidi baada ya kumtesa/kumdhulu/jeruhi/potezamaisha ya mama wa watu bila sababu, na kuwa acha free wahusika wakuu wa ukatiri huu husio na kifani wakiponda raha kwa mali zilizo chumwa na marehemu Msuya na mkewe.
 
yap najua anaweza hata asihisikue lakini pia anaweza kuwa ni muhusika inategemea tu............. mioyo yetu wanadamu ni vichaka kwa mfano kama mimi nina roho ya kisasi ukiniudhi leo naweza kukulipa miaka mitano ijayo ..........hatuwezi jua kabisa wala sijui
Ila kwa ustahili wa mauaji hii style ya Moshi-Arusha aisee, wauaji lazima walitokea pande hiyo tu wakaja dar kutekeleza mauaji
 
Kugawana mali inawezekana,kwanini mtu asizungumzie kugawana mpaka aue?mwishowe wote hawatazila hizo mali,wamachame wameacha wapare ndiyo hatari.
Inakuwa hadithi ya"MTAKA YOTE KWA PUPA,HUKOSA YOTE"
Wamachame wameacha nini? Naona unatetea kabila lako. Waamchame chinja chinja mbele ya Pesa
 
M

Mary, anika kila kitu adhalani - kumbuka familia ya Msuya wana hela za kufa mtu i.e wana uwezo mkubwa wa kufanya lolote kwa kupindisha mambo - si ajabu tuka ambiwa mke wa marehemu alipata mshituko wa moyo wakati anahojiwa na Polisi na kupoteza maisha - chunga sana.

Procedures za kukamatwa kwa mama huyo na kuhojiwa kunatia shaka sana, kwa nini anakataliwa kushirikisha wakili wake wakati wa mahojiano na polisi, kwa nini Polisi wasombe mikufu ya dhahabu na magari ya kifahari ya marehemu, hayo yana mahusiano gani na mauuaji yaliyo tokea Kigamboni Dar, je, tangu lini a tinted taxi ikatumika kama chumba cha Polisi kwa ajili ya mahojiano, is this normal?

IGP anapashwa kuingilia sakata hili fasta kabla ya watu wabaya hawajapoteza ushahidi baada ya kumtesa/kumdhulu/jeruhi/potezamaisha ya mama wa watu bila sababu, na kuwa acha free wahusika wakuu wa ukatiri huu husio na kifani wakiponda raha kwa mali zilizo chumwa na marehemu Msuya na mkewe.
Yes wao wanachotaka ni Mali na wao miradhi walishapewa wazazi tu wakipewa karibia million 200 wadada zaidi ya million 80 wote, familia yao ina hela ila familia ya mke wa msuya wanamuamini mungu na naamini kila amuaminiaye mungu hata muacha huyo mama hajala Chao chochote, na pia baba yake anathe aliuunga mikono na machine akiwa shambani na huyo mfanyakazi alikuwa Anafanya kazi kwao ndio akaenda kwa anathe na mara ya mwisho mke wa msuya kumuona anathe ni siku waliyokuwa wanapewa mirathi baada ya hapo hajamuona tena
 
Wamachame wameacha nini? Naona unatetea kabila lako. Waamchame chinja chinja mbele ya Pesa
We bint wa chato mimi natikea kusini,sisi hatujui pesa wala mali,what we do best is to make women feel the taste,and our women are also good in the bed sport!
 
Damu ya Erasto na Aneth Msuya iwafike wauaji wote na wapangaji wa mauaji hayo. Yesu wadhihirishe. Ni kwa Majira yako ukweli utajitenga na uongo.
 
nyani haoni makalio yake,mbona na wewe umeandika kimombo??🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Maria a across a as maria aaarosaaaa am sorry

Mariaaaa rosaaa mariaaaaaaa rosaaa amsorrymariaaaaaaaa aaaaah
 
M

Mary, anika kila kitu adhalani - kumbuka familia ya Msuya wana hela za kufa mtu i.e wana uwezo mkubwa wa kufanya lolote kwa kupindisha mambo - si ajabu tuka ambiwa mke wa marehemu alipata mshituko wa moyo wakati anahojiwa na Polisi na kupoteza maisha - chunga sana.

Procedures za kukamatwa kwa mama huyo na kuhojiwa kunatia shaka sana, kwa nini anakataliwa kushirikisha wakili wake wakati wa mahojiano na polisi, kwa nini Polisi wasombe mikufu ya dhahabu na magari ya kifahari ya marehemu, hayo yana mahusiano gani na mauuaji yaliyo tokea Kigamboni Dar, je, tangu lini a tinted taxi ikatumika kama chumba cha Polisi kwa ajili ya mahojiano, is this normal?

IGP anapashwa kuingilia sakata hili fasta kabla ya watu wabaya hawajapoteza ushahidi baada ya kumtesa/kumdhulu/jeruhi/potezamaisha ya mama wa watu bila sababu, na kuwa acha free wahusika wakuu wa ukatiri huu husio na kifani wakiponda raha kwa mali zilizo chumwa na marehemu Msuya na mkewe.
ndo uone sasa hawa polisi wenye hii kesi wanatia shaka maana wanafanya kazi kama mamluki,hapo tuhesabu hiyo mikufu ya dhahabu ndo imetoka hivyo,
bado usalama wa huyo mama uko mashakani kama ndugu zake wakitaka kumwona anapelekwa kwa taxi yenye tinted,badala ijulikane yuko kituo kipi cha polisi.
Huyo mama sio mhaini wa kuhatarisha usalama wa nchi mpaka wamweke secret detention ,
something fish is cooking and it stink a yard..
 
Angalizo: nyie wenye usajili wa Muda humu ndani, kuna uwezekano mkaisaidia polisi uchunguzi. Naona mmeingia JF kichwa na miguu.
ni kweli kama kuna jeshi la polisi humu likamate hawa watu watatu watasaidia kukusanya ushahidi wana mengi wanayajua.
 
Back
Top Bottom