Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

KARANJA. ..avatar yangu ni GODESS ISIS. ...mimi ni mwanamke. ..asante sana
Sorry ISIS,lakini ujue nimekupenda pia,naomba tuwe pamoja kwenye mambo ya kunyegeshana hata kama hatujuani ,si unajua mwanaume na mwanamke tukichati tutapeana maraha au vipi?,yaani uwe free kuja pm na mimi niwe free kuja pm au vipi?,halafu tunajiachia kwa raha zetu au vipi? yaani hakuna siri ni mswano tuu au?
 
Karibu KARANJA 007
 
Najua zote Kaka namjua sana..... Kuna vilaz.a humu nikimsema wanamtetea yeye Na mkewe ni mamafya by the way arv zilizagaa nyumba nzima ya huyu baba..... n way kifo chake kinaweza kutokana Na mambo mengi sana dhulma Na kuwaambukiza watu hiv of coz sasa naunga dotz Na alitembea Na wanawake hata 7 daily shkamoo pesa.
ARVs zilitapakaaje nyumba nzima wewe? wewe ulikuwa mfanyakazi wa ndani? Hospitali kuu ya Taifa Mhimbili kwenyewe hakuna dawa zilizotapakaa sembuse nyumbani kwa mtu! Kadri muda unavyo kwenda naona chumvi inazidi kukolea.

Eti wanawake 7 kwa siku, kama ni hivyo hela alitafuta muda gani? Hao wanawake 7 alikuwa anawala mbele yako.

Kila mtu ana ubaya wake na hata Erasto alikuwa na madhaifu yake ila cyo kwa kiwango mnachompimia. Wanawake 7 kwa siku x week ni 49 x mwaka = 49x365=17, 885 yaani kwa mwaka mmoja ni wanawake 17,885 according to you. Hapo labda kama alitembea nao ndani ya miaka kumi ni wanawake 178,850. Wewe mtu ni kiboko hakika,
 
ARVs zilitapakaaje nyumba nzima wewe usiye ******? Wewe ulikuwa mfanyakazi wa ndani? Hospitali kuu ya Taifa Mhimbili kwenyewe hakuna dawa zilizotapakaa sembuse nyumbani kwa mtu! Kadri muda unavyo kwenda naona chumvi inazidi kukolea.

Eti wanawake 7 kwa siku, kama ni hivyo hela alitafuta muda gani? Hao wanawake 7 alikuwa anawala mbele yako.

Kila mtu ana ubaya wake na hata Erasto alikuwa na madhaifu yake ila cyo kwa kiwango mnachompimia. Wanawake 7 kwa siku x week ni 49 x mwaka = 49x365=17, 885 yaani kwa mwaka mmoja ni wanawake 17,885 according to you. Hapo labda kama alitembea nao ndani ya miaka kumi ni wanawake 178,850. Wewe mtu ni kiboko hakika,
Hahaha I was zea inside out........ Kulikuwa Na mawe I mean madini kila mahali.... Bastola bunduki pesa.. Arv Rip erasto msuya my big boss....

And I was there young And innocent ...

. Na ni kweli alikuwa Na wanawake kwa kiwango cha kutisha
u remind me of him
laiti kama ingekuwa saa hii nadhani Na mm ningekuwa Na mm nagombea mali saa hizi

Sasa ww tukana weee udhani inakusaidia huo ndo ukweli....... Wenyewe, Kuna Hawa watu wanasema ni sijui shangazi zake Na wake zake humu ni wapuuzi Na wanabisha ujinga I dare....... Kusema haya yoote sababu I was there kama alikukula au alikuwa mkeo jipange ukitukana hapa haikusaidii......huyu baba sai angefufuka hapa asingebisha ninayo sema zaidi angenambia nikuashe na pesa angenipa dah
 
Sorry ISIS,lakini ujue nimekupenda pia,naomba tuwe pamoja kwenye mambo ya kunyegeshana hata kama hatujuani ,si unajua mwanaume na mwanamke tukichati tutapeana maraha au vipi?,yaani uwe free kuja pm na mimi niwe free kuja pm au vipi?,halafu tunajiachia kwa raha zetu au vipi? yaani hakuna siri ni mswano tuu au?
Ahahhaa....KARANJA....hii bonge moja ya taktiki....unataka kumnyegesha ISIS...ahahaa....maeneo yake ya PM! lol
 
wee karanja 007 mbona imekuwa issue?
ISIS mwache asogee afu unfyatulie kombora matata aina ya Katyusha!
....ila Karanja nimemkubali anarusha chambo zake barazani kweupeeee...Pm anaona mbali sana
 
ISIS mwache asogee afu unfyatulie kombora matata aina ya Katyusha!
....ila Karanja nimemkubali anarusha chambo zake barazani kweupeeee...Pm anaona mbali sana[/

Shiit! Tuko kwenye thread ya mauaji nyie mnaotongozana hapa hebu nendeni huko mmu au pm.. Mnatuharibia thread hapa kwa umalaya wenu!!
 
Mambo ya watz bhana mkuu vipi unaundugu na msuya?
Mnakomalia utafikir alikokuwa anatafuta Mlikuweko..

Yanini kushupalia mambo ya watu na kujifanya ww ndio mchambuzi Wa utajiri wake?
Mnatia aibu
Watanzania wanajua umepata wapi mali , watanzania wanajua huwa unapendelea kufikia hotel au guest gani ukiwa safarini kikazi , watanzania wanajua umekula nin leo , watanzania wanajua gari unalotumia la mkopo umeazima au umenunua kwa mtu na hela hujamalizia, watanzania wanajua una sh ngapi bank ................ yaaani

Watanzania ni shida

Ya mwisho

Watanzania wepesi wa kusikia jambo bila hata kulifanyia uchunguzi na kulisambaza kwa watu huku wa kiapa kuwa ni kweli na wenyewe walikuwepo kwenye tukio. Hao ndoo watanzania
Mtu yuko bussy kufatilia mambo yasiyo yake anayasahau yake, mtu ana mcheka mtu fulani kuwa hana pesa wakati yeye mwenyewe hafiki kiwango cha huyo anaye mcheka.

Mtanzania ana furahia matatizo ya mwenzake.

Asante

Angalizo

Hii coment haihusiani na mada inayoendelea ila nimemjibu mgirik
 
Umesomeka vzr sana..
Ujumbe umetufikia vzr kabisa
 
Back
Top Bottom