KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Nipo kamanda.Nzuri aisee, director mzima?
Nipo kamanda.Nzuri aisee, director mzima?
Mimi nakuelewa Mary mvungi,hata kama una uhusiano na mke wa marehem,lakin kwa maelezo yako nimejenga picha fulani.Halafu wanamficha hajulikani kawekwa wapi maana hayupo kituo chochote cha police ndugu zake wameenda kumuona ila alikuwa ndani ya taxt kioo kikashushwa kidogo amejaa makovu akauliza watoto wake wanaendeleaje ile tu ndugu yake anamuuliza mbona unamakovu wakamwambia haruhusiwi kuongea tena wakawasha gari wakaondoka tangu ijumaa yupo na nguo zilezile walikataa asipewe hata nguo za kubadili
Kama huyo Erasto ndo alikuwa hivi.. iweje sasa mnamtupia lawama mkewe kuhusika na mauwaji ya mumewe na nduguze pia?Weee Erasto mtu wa wafu wapi? Alimkana mwanae wa kuzaa mwenye kufanana nae mpaka matege na hakuwahi kumtunza licha ya DNA kuprove ni wake? Alikua maarufu kwa kutembea na wake za rafiki zake, na alikua ni mgeukaji mkubwa sana katika biashara. Hizi ndo sifa halali za Erasto
KukusaidiaaaaaHakuna nilijualo mama.
Ni mawazo tu.
Wahusika siwajui zaidi ya kuwasikia tu kupitia mitandao ya kijamii.
Soma posts humu,utawaona wa kusaidia police.
Ftah atatusaidia sana KWENYE huu uchunguziKusaidia polisi si tatizo, si unawapa tu mawazo yako katika kuboresha utendaji na kupanua wigo wa ufikiri tu.
Nukuuu maelezoo yamwanzo yalisema mtoto alienda kumwambia mama kuna wageni n shidaYeah hayo ndio Maelezo ya mtoto ambayo yamenukuliwa alipokuwa akielezea tukio zima.
Niftah usihofu tunaitaji mwanga tu NA kusaidia mawazoyako KWENYE HII kesi...nimejaribu kuangalia watoa hoja we n mtumuhimusana kama awajuiacha hizo mkuu.
USa. BybbbbbExactly my sentiments!
Although I'm not privy to all the details of the case, I just can't shake off the hunch that the police will charge someone or some people falsely.
I can see trumped-up charges coming down the pike very soon!
Mpwaaaaaa kesiii inavisaaa hiii achatuu wataishiaaa kuuana kwa wagangaaa NA walinzi wa anga zakatiUSA baby![]()
![]()
![]()
Khatar saana mpwa.Mpwaaaaaa kesiii inavisaaa hiii achatuu wataishiaaa kuuana kwa wagangaaa NA walinzi wa anga zakati

Hahaaaaaa ya las Vegas AMA ile ya Washington Mpwa..ngoja nikacheki ppt kama.zimetoka wanawiki.at I maganda ya ppt ayajawasiliii.kilakonaa Maria rosaaa Maria rosaaaa