Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Punguza jazba mkuu hapa huu ni umbeya tuu in fact hakuna rewards yeyote

Mimi na wewe hatujui inawezekana ni kweli na inawezekana pia ni uzushi.

Pia mke wake Erasto kuhusika kwenye mauaji inawezekana ni kweli au hausiki hata kidogo.

Tusihukumu kwa hisia bali tuhukumu kwa facts
hilo wanajua wenyewe ila kila mtu anasema jamaa alikuwa anamla dada yake
 
Inaonekana huyu jumayu anamchanganya mary na @mulhati mpunga.
Huyu mkuu mwenzetu Mulhat Mpunga inaonekana ndo alifanya SG hotel na akapewa nyumba huko sakina na erasto,
ha ha ha ha,kisha mke wa erasto akasikia maneno maneno ndo akawa anamchunguza huyu mulhat mpunga na hatimae kufikia kumtishia mguu wa kuku,
aisee,hiki kisa inatakiwa tukitungie riwaya
 
Acheni mfume dume, hivi mnamaana wanawake hawana power za mali katika familia? Kuna wanaume wangapi hawana Uwezo wake zao ndio wanaowafichia siri wakiwaweka Mbele na kuwanyanyua waume zao? Lazima tafakari ifanyike, alipoelewa kuna kilichokuwepo, hicho ndio haki ya kuzungumza tena labda, baadae ni mali ya Mke, baba na watoto, hauna right ya eti hasiolewe, so what, uamuzi ni wake. Mwanamme akifiwa na mke mbona sijasikia akioa lete mali upande wa mke ukaanze upya na mke mpya.
Acheni kuunderrate wanawake bwana, wako economically fit and sound
Amen amen amen. .nimeipenda hii....
 
Mr Isis kuna watu wanakuwa na roho ya kujisukuma yaani utafikiri roho zao zimekwama kwenye tope zito hadi wanashindwa wanashindwa kuzitoa zilipokwama,kwamfano km ulikuwa na kipato cha shi/100000 kwa mwezi lazima mapato yako ya asilimia 25 yatahalipika baada ya kupokea hilo laki,nahata ukiwa na milioni moja asilimia itapanda tu,na unakuta mtu anaanza kuwa na roho ya kutawaliwa na pesa sio kutawala pesa,sasa hapo unakuta mtu kwakuwa pesa iko km alikuwa anakula chakula cha nyumbani sasa anahamia hotelini na raund za hoteli nitafauti na za geto, na akirudi home lazima abague chakula kisa pesa,amezoea chakula chenye sahani sita,mfano .pirau ya mbuzi na kachumbali kwa mbali,na ukirudi geto pirau hiyo hiyo inapikwa na mwezako lkn unapewa na chai ya maziwa so unaanza kugomba kachumbali iko wapi,na hapo ndipo amni inaaza kutoeka kwa mbaaali! Lkn kwakuwa pesa iko km naona poa,tafautisha hoteli unakula kwanza ndipo ulipe na nyumbani unatoa kwanza ndo ule,lkn ukichanhanya tu hiyo pesa yako lzma iwe na ugomvi,je hapo hujatawaliwa na pesa?kwasbbu matumizi hujui unaiga! Lzma upate taabu na asie mwelewa atasema Shetani! Na km umepata 1000% ukatoa 10% fungu la kumi hiyo pesa yako huoni ina ulizi mkubwa na mipango dhabiti lazima uwe nayo!
Kuna maneno ya kwenye vitabu vitakatifu linasema 'TAFUTENI UFALME WA MWENYE ENZI MUNGU NA HAKI ZAKE NA MENGINEYO MTAZIDISHIWA ' na 'NITAFUTENI MIMI MAANA MKONO WA KULIA NINA UHAI NA MKONO WA KUSHOTO NINA UTAJIRI TELE' hapa inayo ongelewa ni HEKIMA. ...SHEKINAH. ....ukiipata hiyo hakika utastarehe milele hapa duniani
......have a nice day my friend
 
Sasa tutegemee nini km ni shangazi yako kuwa utakuja kumponda hapa,?! Erasto hakuwa analala. Na anat......?!
Huyu Ant yako hakuwa analalamika chumba namba 7 Na, antuj ambaye ni dd wa erasto baada ya kugundua mashart ya mganga wenu yanasema alale Na mama au ndugu zake?! Chaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
we mkuu unajua mengi sana,'lakini pia haimake sense huyu mke wa erasto amuue Aneth na si Atuj huyo aliekuwa akilala na kaka mtu,
pia kama aneth kalele na mke wa erasto yaani mama simon,logic tu ni kuwa kuna possibility aneth na huyo mama simon walikuwa karibu sana na hivyo family ya erasto wakaona amewasaliti na kumtumia housegal kumspy na pia kuwezesha mauaji,
hapa inatakiwa motive tu,kwanini huyu mama simon amuue Aneth na si atuj
 
Hiyo nisawa kbsa lkn mwanadamu amekuwa mgumu kuelewa jambo hilo
 
we mkuu unajua mengi sana,'lakini pia haimake sense huyu mke wa erasto amuue Aneth na si Atuj huyo aliekuwa akilala na kaka mtu,
pia kama aneth kalele na mke wa erasto yaani mama simon,logic tu ni kuwa kuna possibility aneth na huyo mama simon walikuwa karibu sana na hivyo family ya erasto wakaona amewasaliti na kumtumia housegal kumspy na pia kuwezesha mauaji,
hapa inatakiwa motive tu,kwanini huyu mama simon amuue Aneth na si atuj
yap najua anaweza hata asihisikue lakini pia anaweza kuwa ni muhusika inategemea tu............. mioyo yetu wanadamu ni vichaka kwa mfano kama mimi nina roho ya kisasi ukiniudhi leo naweza kukulipa miaka mitano ijayo ..........hatuwezi jua kabisa wala sijui
 
Oa, ila weka majina ya watoto katika mali zako. Hapa utakuwa mpiga stop mke ambaye ni golddigger.
Kwa nini asioe mwanamke mwenye nacho? Mbona wako wengi sana. ...lakini kama una inferiority complex ...hapo utapata matatizo
 
Mpaka mahakama ithibitishe.....
Ww ndovu....
anaweza akawa hana hatia,mpaka sasa procedure wanazikosea kwani haiwekani mtuhumiwa azuiriwe kuonana na mwanasheria wake,
hata wakati wa kumhoji kama lawyer anae,inabidi awepo,kwani vinginevyo mahakamani anaweza kudai alikuwa totured na kulazimishwa kukiri kuwa ana hatia
 
anaweza akawa hana hatia,mpaka sasa procedure wanazikosea kwani haiwekani mtuhumiwa azuiriwe kuonana na mwanasheria wake,
hata wakati wa kumhoji kama lawyer anae,inabidi awepo,kwani vinginevyo mahakamani anaweza kudai alikuwa totured na kulazimishwa kukiri kuwa ana hatia
whatever.............................
 
Ni kweli atoe utetezi atakavyo uwanja ni wake,
na maswali tumuulize
kama si @marrymvungi tungejuaje kuwa polisi walienda kukagua na kuchukua mikufu ya dhahabu ya mtuhumiwa pamoja na magari mawili?,
 
Wanawake wa kipare wakoje? Maana Nina mchumba mpare nategemea Mungu akipenda aje kuwa mama chande wangu...

Angalizo:
Nampenda sana Hutu tu manzi alafu ni bikra kwahiyo siko Tayar kumwacha hata nisikie nn kumuhusu.
Bikra???
 
Use your brain my dear. I wasnt asking him/her not to use English, I was simply asking him/her to use a language that he is fluent in. I am fluent in both languages although when i want to avoid grammatical errors or when am not sure... i stick to my mother tongue. Go back and read his original comment then come back here and comment.
Kwa kiswahili kidogo mkuu...
 
Yani binamu nimekuaje busy daah najitahid jujigawa wapi, ila nawamis sanaaa, warumi nipo, inabid tutengeneze group la whatsapp tuwe tunapiga umbea huko
Halafu wanamficha hajulikani kawekwa wapi maana hayupo kituo chochote cha police ndugu zake wameenda kumuona ila alikuwa ndani ya taxt kioo kikashushwa kidogo amejaa makovu akauliza watoto wake wanaendeleaje ile tu ndugu yake anamuuliza mbona unamakovu wakamwambia haruhusiwi kuongea tena wakawasha gari wakaondoka tangu ijumaa yupo na nguo zilezile walikataa asipewe hata nguo za kubadili
 
Uongo bana ni shida we umeanza kwa uongo na umemalizia na ukweli tukueleweje?
 
Back
Top Bottom