Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

HUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................
huyo mwanamke shetani kabisa
 
Inawezekana ni kweli Miriam anahusika kushiriki kula njama za mauaji ya Aneth au hausiki kabisa.

Labda vyombo vya dola vinatafuta ushahidi tu katika hali ya kawaida ikizingatiwa kama hakukuwa na mahusiano mazuri baina ya Miriam na wakwe zake.

Hivyo wakalazimika kwenda kumchukua kwa ajili ya mahojiano.

Maybe wanamhoji tu na kama wakijiridhisha kuwa hausiki ataachiliwa na kama anahusika basi safari yake ya gerezani itakuwa imeanza.


Pia inawezekana watuhumiwa waliamua kumsingizia {kwa lengo la kumtumia kama lift}kuwa walishirikiana nae wakiamini kwavile Miriam anauwezo wa kiuchumi, labda atatumia uwezo wake wa fedha kufight kumaliza kesi na automatically hatochomoka peke yake bali watajikuta nao wamechomoka.

Hii mbinu hutumika mara nyingi tu, wakati mwingine kibaka anaweza akakusingizia jambo ukauliwa kumbe hata ulikuwa innocent
 
Msilolijua ni usiku wa kiza!
Hii kesi haiko ki wepesi hivyo kama inavyoonekana.......
inayotakiwa ni mali ila na visasi vipo tena vibichi!
Kuna watu ni zaidi ya wanyama.......
... Cain aliambiwa... dhambi inakuotea mlangoni pako!
Za gizani zile.... masharti penzi mpaka na dada unadhani ndugu watakosa zitaka wakati na "wao"
kawezesha?
Na mwisho ni kupukutika watu na mali...
kumaanisha...
mke alichangia dhahiri ila na dada alichangia kwa siri!
Vita haitakwisha... mpaka koo na koo...
Habari kubwa hii.....!
 
Nchi za bara giza zisizokuwa na haki za binadamu.

Amekamatwa na kushitakiwa na lipi?

Huwezi kukamata tu hivi hivi kusaidia polisi kama wakati ule wa Nyerere.
 
Aiseeeee huwezi kujua wanawake wanataka au hawataki nini sasa hg kamtaja mke wa msuya kama mshiriki wa mauaji na fukuto linasema walianza kugombea Mali na kuna tetesi nyingine sitoiweka hapa
Ukitaka kujua watanzania wanajua kila kitu mpe tu kichwa cha habari content atajaza mwenyewe tena atakupa habari zote zaidi ya riwaya utadhani alikuwepo kwenye tukio...ona kama huyu
 
Hiyo Kali shikamoo pesa kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia kwanza huyu mama mke wa erasto msuya kwenye hili jambo kuna mshale unaotengenezwa ambao haujui kabsa lkn utamgalimu saana
 
uwiii kati ya matukio ya mauaji ya kijinga niliyowahi kushuhudia ni hili...walishindwaje ata ,kumzimisha beki taraa na kumfunga vikamba vya uongo na ukweli....elimu elimu elimu!!! wacha anyee debe kubwa jinga shenzi kabisaaa
Kumbe wewe ni stadi wa kuua?

Kuua ni haramu hata ukificha (siri itafichuka tu, kama haiwezi kufichuka hapa duniani basi huko Akhera siri itafichuka tu na utahukumiwa tu, hilo ni lazima, ALLAH anasikia na anaona kila kitu, hauwezi kumficha kitu).
 
Wanawake wanaweza kufanya ukatiri mpaka ukashangaa...
 
Kweli aisee.. hivi mtu unawezaje kufanya mchongo mkubwa kiasi hicho,halafu ukaruhusu beki 3 atambue kabisa kama wewe ndiye mchora ramani...!!!?
Kuua ni haramu hata ukificha (siri itafichuka tu, kama haiwezi kufichuka hapa duniani basi huko Akhera siri itafichuka tu na utahukumiwa tu, hilo ni lazima, ALLAH anasikia na anaona kila kitu, hauwezi kumficha kitu).
 
ID extra.naamini ukweli utajulikana kwa shida sana maana kuna hela inatembea hapo#ila kuplan tukio la mauaji huwa ni ngumu sana kwa hiyo sio jambo la kufanya
Hata ulaya penyewe huwa wauaji wanaishia kukamatwa sana tu hasa ukiangalia Chanel zao maana muuaji hata awe makini vipi huacha evidence hii ni kwa sababu tukio lenyewe huwa sio la kawaida labda police waache tu kufatilia kwa makusudi.
Mhhh
 
Back
Top Bottom