geraldkowero1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 1,838
- 647
hata kama ni mimi ndugu wa erasto nisingekubali mali za ndugu yangu ziliwe na mwanaume mwingine....Hizo mali za erasto zirudi kwa ndugu zake pamoja na watoto wake ...mama saimoni aende akatunzwe na huyo mume wake mpya
Istoshe alishaenda kutangaza ndoa nyingine pindi tu mumewe alivyo fariki akili hana kaishia std 7 Mpare mpuuzi
uzinzi ni dhambi wewe? wewe kama unazini kimpango wako usipangie watu zinaaKwa kweli Marry kaeleza vizuri sana kiasi cha kuwaongoza hata wapelelezi wakajua pakuanzia au kuendeleza.Mke wa Erasto na kama walivyo wengi hakutumia busara hata kidogo.Hii inaonyesha hata marehemu Erasto akiwa hai huyu mkewe alikuwa anachepuka sana.Kwa kipindi kifupi hivi asingeweza kutafuta wa kumwoa kwani wazazi na ndugu bado walikuwa na machungu ya kumpoteza kijana alietegemewa na wote.Kama hamu zilimzidi angekutana na bwanake kwenye vyumba vya hoteli zake.Kwa vyovyote vile hasira za mawifi na wakweze ziliamshwa kwa kuona mali za ndugu yao Erasto zinaenda kumnufaisha mwanamme mwingine asiyezitolea jasho.Hili kibinadamu halivumiliki na ndicho kilichosababisha hata baba mkwe wake kuacha nadhiri yake na kutafuta ukweli wa kifo cha mwanae kwa waganga na kwa vyovyote vile ingawa siko akilini mwake alikuwa anataka kujua kama mkwewe alihusika na kifo hicho kwa kuona hakikumgusa sana na kutafuta mme mwingine.Huyu mke wa marehemu Erasto inaonyesha hayuko karibu na watu vinginevyo wangemshauri aache mpango huo kwani bado mapema na anao watoto wa kulea.
ID extra.naamini ukweli utajulikana kwa shida sana maana kuna hela inatembea hapo#ila kuplan tukio la mauaji huwa ni ngumu sana kwa hiyo sio jambo la kufanya
Hata ulaya penyewe huwa wauaji wanaishia kukamatwa sana tu hasa ukiangalia Chanel zao maana muuaji hata awe makini vipi huacha evidence hii ni kwa sababu tukio lenyewe huwa sio la kawaida labda police waache tu kufatilia kwa makusudi.
So inawezekana kuna watu wanamflame huyu mama ili afungwe,wao wafaidi mali,unajua kuna haja ya kuacha wosia kuwa wazazi wakifa mali ziwekwe trust fund kwa ajili ya watoto.
Bado huyu housegirl ndo analo jibu lote,kama mama kashiriki kuua wifi yake,ama kuna watu wanaplay smart
so interesting, Tanzanians we are talking bwana, then tunatumia mdomo akili ikiwa mbali, don't you see hii ni sensitive issue na maneno yako yanaweza kukuingiza pabaya, as long as hujui hata wanasoma ni nani. Kuna shida mahali
Huwezi jua labda huyo mume wake mpya kamroga mpaka kakubali, kwani watu wengi upenda mtelemkoKwa kweli Marry kaeleza vizuri sana kiasi cha kuwaongoza hata wapelelezi wakajua pakuanzia au kuendeleza.Mke wa Erasto na kama walivyo wengi hakutumia busara hata kidogo.Hii inaonyesha hata marehemu Erasto akiwa hai huyu mkewe alikuwa anachepuka sana.Kwa kipindi kifupi hivi asingeweza kutafuta wa kumwoa kwani wazazi na ndugu bado walikuwa na machungu ya kumpoteza kijana alietegemewa na wote.Kama hamu zilimzidi angekutana na bwanake kwenye vyumba vya hoteli zake.Kwa vyovyote vile hasira za mawifi na wakweze ziliamshwa kwa kuona mali za ndugu yao Erasto zinaenda kumnufaisha mwanamme mwingine asiyezitolea jasho.Hili kibinadamu halivumiliki na ndicho kilichosababisha hata baba mkwe wake kuacha nadhiri yake na kutafuta ukweli wa kifo cha mwanae kwa waganga na kwa vyovyote vile ingawa siko akilini mwake alikuwa anataka kujua kama mkwewe alihusika na kifo hicho kwa kuona hakikumgusa sana na kutafuta mme mwingine.Huyu mke wa marehemu Erasto inaonyesha hayuko karibu na watu vinginevyo wangemshauri aache mpango huo kwani bado mapema na anao watoto wa kulea.
Hao mafiwi si watafute mali za kwao, kwani hata wao wakizipata hizo mali si watatumia na wanaume wao,sasa wao watakazitumia hizo mali za erasto ambayo nao si ndugu yao,Baada ya kupitia maelezo ya baadhi ya wachangiaji inaonekana mke wa Msuya hausiki na mauuaji ya Aneth - mke wa Msuya hana sababu ya msingi ya kula njama za kumuua wifi yake na if anything ndio maana alihamua kuolewa na bwana mwingine baada ya kuchoshwa na gubu la mawifi wake na mama mkwe - watu wa kuhojiwa kwa kina ni wifi zake na mama mkwe, hata baba mkwe ahojiwe mikono yake uliungua kwa sababu zipi, si alisema kila kitu amenwachia Mungu sasa kwa nini alikuwa anakwenda kwa waganga wa kienyeji je kulikuwa na ugomvi wa kifamilia/ukoo wa kimya kimya wa kugombania urithi/mgao wa mali za Msuya hasa hasa mawifi/mamamkwe - wanatafuta njia ya kuwadhulumu mke wa Msuya na watoto, oh yes mawifi na mamamkwe ndio walionekana kushupalia sana mali za maheremu Msuya
Hao wanatake advantage tu ya situationndo uone sasa hawa polisi wenye hii kesi wanatia shaka maana wanafanya kazi kama mamluki,hapo tuhesabu hiyo mikufu ya dhahabu ndo imetoka hivyo,
bado usalama wa huyo mama uko mashakani kama ndugu zake wakitaka kumwona anapelekwa kwa taxi yenye tinted,badala ijulikane yuko kituo kipi cha polisi.
Huyo mama sio mhaini wa kuhatarisha usalama wa nchi mpaka wamweke secret detention ,
something fish is cooking and it stink a yard..
Kwani imeandikwa wapi mtu ukifiwa huruhusiwi kuolewa aliyekufa kafa na wala hawezi kurudi na maisha yanaendelea na sio kwamba mume akifa anakufa na feelings zake na za mkewe bado ni mdogo umri wake unaruhusuu hata kama angeamua kuolewa na si ni bora yule ambaye mume kafa ndio anaolewa kuliko hao wengine ambao wanaolewa hata zaidi ya mara 3uzinzi ni dhambi wewe? wewe kama unazini kimpango wako usipangie watu zinaa
eti akazini hotelini ? halafu wakristo sijui huwa mkoje nakumbuka mke wa sedekia nae aliolewa watu wakachonga sana
sasa mbona huyu mama kafa mnachonga na mke wa sedekia aliolewa mkachonga huko makanisani ? mnadhani zinaa kitu kidogo sio?Kwani imeandikwa wapi mtu ukifiwa huruhusiwi kuolewa aliyekufa kafa na wala hawezi kurudi na maisha yanaendelea na sio kwamba mume akifa anakufa na feelings zake na za mkewe bado ni mdogo umri wake unaruhusuu hata kama angeamua kuolewa na si ni bora yule ambaye mume kafa ndio anaolewa kuliko hao wengine ambao wanaolewa hata zaidi ya mara 3
ndo uone sasa hawa polisi wenye hii kesi wanatia shaka maana wanafanya kazi kama mamluki,hapo tuhesabu hiyo mikufu ya dhahabu ndo imetoka hivyo,
bado usalama wa huyo mama uko mashakani kama ndugu zake wakitaka kumwona anapelekwa kwa taxi yenye tinted,badala ijulikane yuko kituo kipi cha polisi.
Huyo mama sio mhaini wa kuhatarisha usalama wa nchi mpaka wamweke secret detention ,
something fish is cooking and it stink a yard..
Well said Elungata, namshauri Mary Msuya atafute namba ya simu awasiliane na IGP moja kwa moja aeleze wasi wasi wake kuhusu mwenendo mzima wa kukamatwa mke wa Msuya - wakichelewa huyu mama anaweza kupata matatizo makubwa kwa kusingiziwa au kulazimishwa kukili mashtaka kutokana na vitisho vya Polisi, kumbuka wamemkatalia asiwe na wakili wake wakati wa mahonjiano, sasa katika mazingira kama hayo anaweza kusingiziwa chochote.
Elungata wewe ni mwelewa wa mambo mengi - kisa hiki kinanikumbusha novels za mzaliwa wa Uingereza one Agatha Christie.
Si mambo ya ngoma baby?Nimemuua nani?
ramJina zuri lakini ni muuaji lol!
Uchunguzi ufanyike na sheria ichukue mkondo wake, kwenda kuzimisha ndoto za binti kama yule jamani....
Nani baby wako?hebu usinichosheSi mambo ya ngoma baby?
Basi mamito,umechukia kusifiwa?Nani baby wako?hebu usinichoshe
Yaani unazusha tu au?Kuna sehemu niliwahi kusoma kuwa "Pesa ndio shetani namba moja" sasa naanza kuamiani!!!
Mzusho hakika hahaha!Yaani unazusha tu au?