Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Nasikia hakuhudhuria maziko ya wifi yake (Marehemu Aneth).
Najiuliza...Aneth ndio alikuwa mstari wa mbele katika kesi ya mauji ya kaka yake.
Kama wifi yake huyo anahusika katika mauaji yake (Aneth) probably anahusika katika mauaji ya mumewe (Erasto)
Hatari sana.
Mwili unanisisimka!!!🙁
 
Jitahidi kujieleza vizuri. Mbona hata sentensi zako hazieleweki Ndugu yangu?.
 
Nasikia hakuhudhuria maziko ya wifi yake (Marehemu Aneth).
Najiuliza...Aneth ndio alikuwa mstari wa mbele katika kesi ya mauji ya kaka yake.
Kama wifi yake huyo anahusika katika mauaji yake (Aneth) probably anahusika katika mauaji ya mumewe (Erasto)
Hatari sana.

Istoshe alishaenda kutangaza ndoa nyingine pindi tu mumewe alivyo fariki akili hana kaishia std 7 Mpare mpuuzi
 
Nasikia hakuhudhuria maziko ya wifi yake (Marehemu Aneth).
Najiuliza...Aneth ndio alikuwa mstari wa mbele katika kesi ya mauji ya kaka yake.
Kama wifi yake huyo anahusika katika mauaji yake (Aneth) probably anahusika katika mauaji ya mumewe (Erasto)
Hatari sana.

Huu ni uropokaji na lazima tujirekebisha, kutokuja msibani tayari umeshabwabwaja hivi?
 
HUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................
Hahaha mlikuwa mnagombea nini?
 
Mkuu vipi umejitwika Safari ngapi

M nawashauriii HII familiaaa msaliii Sana'a mwombeee Munguu

Kwa wasiokuwepo msiba wa erasto yaliamka mengi sana sana ikiwemo Mali za marehemu NA mahusiano ya ndugu NA maliza marehemu

Nawambiaaa olee kaeni mbali NA wajane ..aijalishi Huyodadaa kaambiwa nn ilii mpambane NA huyu mjane kama duniaa isshiivyooo......

Ndugu anapotoka NA kwenda kuoaa lazima mhrshimu kwamba ameachana NA familia yenu ameanzisha yake MPYA..anapoondoka dunian maisha yanabaki Mali nk yanabaki kwa familia yakeee...

Sidhan mnaitaji kuendeleaa kumsumbua mjane kiasi hikii pesa NA Mali n maliza MUNGU wetu...

Jambo la kujiuliza huyu WiFi aangaikr NA marehemu kwa Shidaa ipiii???kwaa njaa ipiii???alionayooo

Hakunaaa sehemu imeandikwa WiFi AMA shemeji anauwezo wa kudai Mali za nduguye anapokufa...nirekebishe web moja hakuna sehemu huyu marehemu alieuwawa aliwahi kungangania walakudai pesa za kakayake....

((KUTOHUDHURIA MSIBA WA WIFI YAKE))

Wapooo wengi wasiojuaaa kilichotokeaa NA kwann WiFi akwenda kumzika wifiyake Sikh ya msiba.......sidhan kama mnaweza kumlazimisha MTU kwenda kuzika...kwanyaliotokea baada ya msiba wa mumewe hats ningekuwa mm nisingrkanyaga hukoo

Huyuu mamaa aliangalia security yakeekwanzaa la pili AMA kws makusudi AMA kwakutotakaa asiwepo alipigiwa NA mmoja wa waafamiliaa hatakiwi kabisa kuonekana KWENYE msiba

Labda tuheshimu maamuzi yakeee nahaata kama alikuwa NA niaa kama unapigiwa usiende ukienda kitakachotokea sidhan unaweza sema n shetani....

So uamuzi wake eakutohudhuria usihushwe NA mauwaji .kama kuna sababu AMA ushahidi mwingine sio Basi ukweli udhiirike
 
Back
Top Bottom