Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,410
- 82,323
Wenye akili kubwa ndio walionielewa mkuu.hujamwelewa huyu manzi
Kwamba nimeunganisha matukio na sijahukumu mtu.
Wenye akili kubwa ndio walionielewa mkuu.hujamwelewa huyu manzi
Kwa sababu mi mchaga na hatuna hayo mambo ya kuuwa ndugu zetu. .....huo mpango ni wa kilimbukeni sana. ..na in reality hiyo familia inakuwa imefunikwa na LAANA ZOTE. ..maana huyo miriam au mariam msuya ataishilia kuzika watoto wake wote na yeye mwenyewe dunia itampiga vibaya sana. Ni mambo mazito na yanahitaji HEKIMA ya MWENYE ENZI MUNGU kuyatambua. .... na haya yote yaliyojiinua katika familia ya Msuya mpaka kufikishana hapo ni LAANA kubwa iliyokuwa imejificha katika vizazi vilivyopita. Waombe toba sana. .... inatia uchungu kwa kweli!Mbona unasikitika?
Ni mpare. ....yeuwii. ..hamna kitu ya kijinga kama hii uchagani. ...duh. .jamaniBila Shaka huyo mwanamke atakuwa ni mmachame tuu!!
Kwa hekima na busara zakeMchaga utamjua tu
Nasi hatukutaki piaBora nioe mamba kuliko kuoa mwanamke wa kanda hiyo ya mlima mkubwa ulio Kenya!!!
Wewe usimwingize mwanangu katika ma issues kama haya..ushindwe na ulegee. ..kabisa WalahiHahaha yupo mmoja yuko anawakilisha Tz Olympics anaitwa somebody Mushi anafanya PhD hapo Univ of Adelaide
Wanawake wa kipare wakoje? Maana Nina mchumba mpare nategemea Mungu akipenda aje kuwa mama chande wangu...Hahahaha.
Kule kwa Mange insta, kuna mtu kakoment kuwa, wanawake wa Kipare sio kabisa kuhusuana na hii ishu, watu walimnawa, hadi akaomba poo.
Dada yake baba NA mama mmoja ama VP?Erasto alikuwa anatembea Na dadake mke alijua alipoenda kushtaki familia ikamwambia atulie ndio lexus Na mapesa yanapotoka
Hii familia ina uchafu wa kutisha
umejuaje ?Ni mpare sio mchaga. Jamani. .
huna sababu ya kuuliza tayari una msimamo wakoWanawake wa kipare wakoje? Maana Nina mchumba mpare nategemea Mungu akipenda aje kuwa mama chande wangu...
Angalizo:
Nampenda sana Hutu tu manzi alafu ni bikra kwahiyo siko Tayar kumwacha hata nisikie nn kumuhusu.
ni kweli kabisaNasikia hakuhudhuria maziko ya wifi yake (Marehemu Aneth).
Najiuliza...Aneth ndio alikuwa mstari wa mbele katika kesi ya mauji ya kaka yake.
Kama wifi yake huyo anahusika katika mauaji yake (Aneth) probably anahusika katika mauaji ya mumewe (Erasto)
Hatari sana.
Ngoja tusubiri mamlaka isibitishe, maana hii kesi ngumu sana. Akishapatika aliuehusika na mauji ya Aneth pia atapatikana aliyehusika na mauaji ya erasto.huyo siajabu hata mumewe alimuua yeye,
Duuuuh Ni Hatari Sanaaaaa.HUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................
Watanzania hatufanyi vizuri kwenye michezo, uchumi, elimu nk kama tunavyoweza kutunga uongo na kuufix kwa watu na ukakubalikaKwa marehemu sijui ila Kuna mwingine namfahamu Na ninajua alikuwa anatembea naye
Kwa sababu nina JUA! hallo?????umejuaje ?
nyani haoni makalio yake,mbona na wewe umeandika kimombo??🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁Please stick to Kiswahili, there is nothing wrong with using a language you are fluent in!
Use your brain my dear. I wasnt asking him/her not to use English, I was simply asking him/her to use a language that he is fluent in. I am fluent in both languages although when i want to avoid grammatical errors or when am not sure... i stick to my mother tongue. Go back and read his original comment then come back here and comment.nyani haoni makalio yake,mbona na wewe umeandika kimombo??🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
Hajaokoka ila ni mtu mwenye hofu NA Mungukaokoka?
Hongera japo wenye bikira huwa hawajitangazi.....ningekuwa Mrengo wa kushoto ningewao wote wawili sema nipo mrengo wa kulia ambapo natakiwa nioe m1 tu maana kwangu bikra ndio kigezo cha kwanza.Hata mie mwenyewe bikra japo sio mpare.
Karibu......