Kwanza mm kama hilo zoezi la mariamu kuumua wifi yake sio kweli kabsa kwangu nakataa hadi siku ya kiaama,,kwanza ebu kila mtu ajiulize baada ya mazishi mamake aneth alitoka mererani kwenda dar na hadi leo hajarudi pili yule mfanyakazi wa ndani kukamatwa nikwanini mama aneth na dadazake aneth waliomba wamhoji faraga? Je hayo maongezi yalilekodiwa na kujua walizungumza nini? Je polisi inajua hiyo faraga walizungumza nini na huyo mfanyakazi wa ndani?kwasbbu huyo msuchana kutoka kwao hadi nyumbani kwa mamake aneth kuna umbali wa 149mt nikama jurani na usitoshe yy mamaaneth ndie waliomtafuta huyo housegiry kwenda kufanya kazi kwa aneth,na lingine ukiangalia mkewa wa erasito anakaa arusha na kutoka arusha hadi nyumbani kwao mererani ni 64km,je mwenye ukaribu wa kushawishi ubaya kwa house girl ni nani kati ya mama erasto na mke wa erasto? Jamni yaani usilolijua ni usiku wa giza!! Mbona swala liko wazi jamni ebu vyombo vya dola nawaomba tumieni akili saana kwenye hii pointi kuna tagerti iko hapo!! Chazo cha hayo yote nikwamba kwanza babake marehemu aliapa mahakamani kwamba baada ya erasto kufa amemwachia mungu! Na mkewa erasto akawambia mawifi km mnataka gari kwaajiri ya ushahidi mahakamni mbona baba mkwe amekataa na amesema amemwachia mungu basi na Mimi pia nimesema naachana na hiyo kesi,ss hapo ndipo mawifi wakachachamaa!! Na mkewamarehemu akaona aolewe na mwaume mwingine,na waliposikia kwamba mke wa marehemu ameolewa na mtu mwingine sasa ikawa ni kero hadi kwa mama aneth, hasra zikapanda kwa ndugu hususani mawifi, na ndio maana walimpiga marufuku kuja kuzika wifi yake siokwamba yy ndo aliktaa apana,mamakemarehemu alisema kabla ya aneth hajafikwa na mauti akimuona mke wa marehemu anatamni hata ampigie ukunga kisa ana bwana mwingine ambae anakula Mali ya mwanae erasto,ndo chazo cha kutohudhulia msiba wa aneth sio vingunevyo,na baba yake baada ya kusema amemwachia mungu kwa ajiri ya mauaji ya erasto na akakiuka na kuanza kwenda tena kwa waganga sasa kilichompata tena mzee wa watu nimungu anajua,sijui kafanyeje mikono yote imeungua na moto hata wiki haijaisha,je na hiyo ni mkewa erasto ndo alimuunguza???? Jambi kumi ni kumi lkn ukitoa sufuri inabaki moja sio kumi tena!!!! hausegirl amesomeshwa na mama aneth na dadazake aneth wa sio vinginevyo wadau,mamaaneth arudi tu mererani aje ampeleke bwanake hospitl kaungua mikono