Mary mvungi
Member
- Aug 11, 2016
- 28
- 17
Yes nina ukaribu naye ni aunt yangu na namjua kuliko hao wanaoongea vitu wasivyovijua kwa kutaka tu kushabikia kwa sababu wameona imetangazwa au kusikia
Hana tabia ya kunyanyasa mtu ila ni mwanamke au boss ambaye hapendi longolongo na wala hapendi mtu anayefanya vitu kinyume na yeye ukiona kakufanyia unayosema ujue wewe una matatizo na ndio maana mkashindwana na wewe nahisi utakuwa mfanyakazi wa kwanza kulalamika anakaaga na wafanyakazi mpaka wakiondoka wanamkumbuka nenda kwenye hotels zake SG RESORT HOTEL na MEZALUNA hotel kawaulize wafanyakazi wake utaona jinsi wanavyohuzunika hawamuoni boss wao coz wanaishi naye vizuri so acha unafkiOf course mm simuhusishi moja kwa moja kwa Na mauaji ila naunga dots tu tabia zake mimi nilipewa nyumba ya kuishi Na erasto wakati nasimamia kazi zake yaani nilikuwa naishi hovyo huyu mama alikuwa ananivizia madirisha anachungulia anatuma watu Yani alinibugudhi sana acha alipe alichopanda......![]()
![]()
![]()
sitaki kukumbuka kabisaa. Kama ni yeye aumbuke maana Wafanyakazi wake alikuwa anatuletea umafya wa kimaandazi
Ndio nina ukaribu naye ni aunt yangu na namjua kuliko hao wanaoongea vitu wasivyovijua kwa kutaka tu kushabikia kwa sababu wameona imetangazwa au kusikiaMary unaukaribu wowote na mama saimon?? n kama unao jitahidi kuwaleza watu unachokijua kuhusu mama saimon mana yawezekana wanayoongea watu wengine humu ndani ni upotoshaji,labda utusaidie wewe
Nawasilisha kwako!!
Ndio nina ukaribu naye ni aunt yangu na namjua kuliko hao wanaoongea vitu wasivyovijua kwa kutaka tu kushabikia kwa sababu wameona imetangazwa au kusikia
Well, keep your thoughts to yourself then, and stop replying to me.
Duuuh kumbe ulifanya sg ile ya kitambo...wewe utakua unajua mengiOf course mm simuhusishi moja kwa moja kwa Na mauaji ila naunga dots tu tabia zake mimi nilipewa nyumba ya kuishi Na erasto wakati nasimamia kazi zake yaani nilikuwa naishi hovyo huyu mama alikuwa ananivizia madirisha anachungulia anatuma watu Yani alinibugudhi sana acha alipe alichopanda......![]()
![]()
![]()
sitaki kukumbuka kabisaa. Kama ni yeye aumbuke maana Wafanyakazi wake alikuwa anatuletea umafya wa kimaandazi
Dada unaweza kua unamjua sana ila yaliyo moyoni mwake huyajui....yeye ndio msimamizi wa mirathi ila hii case ya mauaji police huwa hawakurupuki hata.wamefanya uchunguzi kuna viashiria ambavyo vimemhusisha ndio mana kakamatwaNdio nina ukaribu naye ni aunt yangu na namjua kuliko hao wanaoongea vitu wasivyovijua kwa kutaka tu kushabikia kwa sababu wameona imetangazwa au kusikia
Hakuna viashiria vyovyote alivyokutwa navyo mpaka hao police hawasemi chochote na wamechukua magari yake 2 sasa magari yake na mauwaji yanahusiana na nnDada unaweza kua unamjua sana ila yaliyo moyoni mwake huyajui....yeye ndio msimamizi wa mirathi ila hii case ya mauaji police huwa hawakurupuki hata.wamefanya uchunguzi kuna viashiria ambavyo vimemhusisha ndio mana kakamatwa
Ni kweli ya moyoni mwake siyajui ila angetaka kuua angeanza na mama mkwe wake au wifi zake wengine ila sio anathe, anathe alikuwa kama mtoto wake maana alimlea yeye mpaka anaolewa mama saimon ndio alisimama kama mama alipewa heshima hiyo coz yeye ndio aliyemleaDada unaweza kua unamjua sana ila yaliyo moyoni mwake huyajui....yeye ndio msimamizi wa mirathi ila hii case ya mauaji police huwa hawakurupuki hata.wamefanya uchunguzi kuna viashiria ambavyo vimemhusisha ndio mana kakamatwa