Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

So inawezekana kuna watu wanamflame huyu mama ili afungwe,wao wafaidi mali,unajua kuna haja ya kuacha wosia kuwa wazazi wakifa mali ziwekwe trust fund kwa ajili ya watoto.
Bado huyu housegirl ndo analo jibu lote,kama mama kashiriki kuua wifi yake,ama kuna watu wanaplay smart
Aisee apo yote mawili yanawezekana. Labda upande wa mume wanataka izo Mali so wanamkandamiza mke ili afungwe wakombe Mali or kuna uwezekano uyo mke kacheza dili amuuwe uyo Wifi mtu n.a. mumewe. But ukweli utajulikana tu.
 
so interesting, Tanzanians we are talking bwana, then tunatumia mdomo akili ikiwa mbali, don't you see hii ni sensitive issue na maneno yako yanaweza kukuingiza pabaya, as long as hujui hata wanasoma ni nani. Kuna shida mahali
Wacha iwe ivyoo..huyo Dada alionewaa sana Najuaa unahusikaa ndo mana unakuja kututisha hapa...Lala bwana.
 
Hapana hapa Arusha kuna vijimaneno sijui kama vinabeba ukweli lakini ndio habari ya mjini.Kuna madai kwamba Erasto alikuwa karibu zaidi na Dada yake kuliko mke wake hadi watu wa karibu wakawa wanahoji kulikoni.

Bibie Nifah nimetumia lugha ya kistaarabu zaidi nadhani umenielewa.
Ana Dada Wengi Atunja au Anet!??...
 
Wanawake wengi wa KILIMANJARO na ARUSHA ni hatari sana kwa mali.
Ukienda pale arusha utakuta nyumba nyingi ni za vibibi na kina mama ambazo ni za kurithi kutoka kwa waume zao,baada ya kuhangaika sana wanakusogeza ili watafune fedha na watu wa "kununua".
 
Wakuu tunapaswa kufahamu pesa inahitaji maarifa makubwa kuitawala, la sivyo, italeta madhara makubwa sana

Katika harakati zetu za utafutaji, maarifa na nidhamu ya hali ya juu inahitajika sana. Si katika kutafuta tu, bali kutawala fedha nyingi ulizotafuta

Watu wanaokuzunguka wanapaswa kuwa na maarifa na nidhamu hiyo pia la sivyo utawatia matatizoni

Marehemu Erasto hakujua wale kuzingatia haya, ndio sababu kubwa ya huu msururu wa matukio

Unafikiri alikua bilionea zaidi ya Mo, Mengi na Bakhresa? La hasha! Alikosa maarifa na nidhamu inayopaswa kuitawala pesa
duh inafaa iwe conclusion baada ya kesi kuisha
 
Wapepelezi wa Case hii na Ile ya Msuya hawatasumbuka Sana katika upelelezi wao, huu uzi umewapa clues nyingi Sana.

Wale wenye taarifa za ziada sio mbaya mkaendelea kuzimimina humu.
 
Uwiii mali ndio zinapelekea hadi kumuua mwenzio kinyama vile?
Kugawana mali inawezekana,kwanini mtu asizungumzie kugawana mpaka aue?mwishowe wote hawatazila hizo mali,wamachame wameacha wapare ndiyo hatari.
Inakuwa hadithi ya"MTAKA YOTE KWA PUPA,HUKOSA YOTE"
 
HUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................
Duuuh, kama ni kweli basi kazi ipo...
 
HUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................
Muosha nae kaoshwa
 
Umenifurahisha imebidi nikanywe dompolight

Unakumbukaaa alietangazwa NA Kamanda wetu kuhusu alirtaka kumuua Dk ulimboka sijuikama utakuwa ulisharudi bongo enzihizo
Walitutangazia MTU mkenya badae wakatuambia amekwenda kukiri kanisa la uffuufuo NA uzima kwa GWAJIMA hahaaa sijui niendeleee

Gwajima akakanaa ajawahikumsikia huyokijana ..akafikishwa mahakamaani..hahaaa.mahakama ikamwachiaa huru hahusiki hatakidogo

Tafuta mwishoo wahiikesi uelewe nao n binadamu
Usipotoshee ile Ni mambo ya serikali ilikuwa planned..hii Ni Private..wapo makini
 
Mana kwenye Pesa na Mali ata nduguyo wa damu anaweza kukufanyia unyama sio mke peke yake. So tusimkandamize uyo mama sana ukweli utajulikana tu.
 
Wanawake wa kipare ni nouma, si hata yule mpare mke wa Mbereselo wa Ngorika kaachika, sasa kakamata kichwa kingine anakinyolea huko Singida, kichwa kimeacha mke na watoto wawili, ni sheeder chezea mmea wa Rundugai
 
Wanawake wengi wa KILIMANJARO na ARUSHA ni hatari sana kwa mali.
Ukienda pale arusha utakuta nyuma nyingi ni za vibibi na kina mama ambazo ni za kurithi kutoka kwa waume zao,baada ya kuhangaika sana wanakusogeza ili watafune fedha na watu wa "kununua".
Hahaaaaa usiwaogopee mpwaanhutowooowaaa
 
Back
Top Bottom