Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Bora nioe mamba kuliko kuoa mwanamke wa kanda hiyo ya mlima mkubwa ulio Kenya!!!
 
Hujui, pengine ni kwasababu ulichosema ni uongo au ni fununu tuu ambazo hazina ukweli wowote. Watu wengine muwe mnaongea vitu mlivyo na uhakika navyo au kama ni fununu sema ni fununu. Duh!
Nina uhakika dada mmoja alitembea Na erasto huyu aliyeuwawa sijui...wacha kujizongondoa
 
.....toka mwanzo wa huu uzi umekuwa una comment kwa mihemko sana; hata km unaifahamu hiyo familia sio lazima ujue kila kitu kinachowahusu!, naona sasa umeanza kuleta story za vijiweni!, km umeishiwa maneno kaa kimya, utazame comment za wengine!
Hahaha OK
 
ID extra.naamini ukweli utajulikana kwa shida sana maana kuna hela inatembea hapo#ila kuplan tukio la mauaji huwa ni ngumu sana kwa hiyo sio jambo la kufanya
Hata ulaya penyewe huwa wauaji wanaishia kukamatwa sana tu hasa ukiangalia Chanel zao maana muuaji hata awe makini vipi huacha evidence hii ni kwa sababu tukio lenyewe huwa sio la kawaida labda police waache tu kufatilia kwa makusudi.
Mbona muuaji wa Kennedy (rais wa marekani) hakupatinakana??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
yeah name nimehisi hilo, yawezekana aliona huyo ndio kikwazo cha kuipata mali kama alivyokusudia. Let wait maana yaweza kuwa katajwa tu kwa chuki binafsi
Bila Shaka huyo mwanamke atakuwa ni mmachame tuu!!
 
Umenifurahisha imebidi nikanywe dompolight

Unakumbukaaa alietangazwa NA Kamanda wetu kuhusu alirtaka kumuua Dk ulimboka sijuikama utakuwa ulisharudi bongo enzihizo
Walitutangazia MTU mkenya badae wakatuambia amekwenda kukiri kanisa la uffuufuo NA uzima kwa GWAJIMA hahaaa sijui niendeleee

Gwajima akakanaa ajawahikumsikia huyokijana ..akafikishwa mahakamaani..hahaaa.mahakama ikamwachiaa huru hahusiki hatakidogo

Tafuta mwishoo wahiikesi uelewe nao n binadamu

Polisi wakiamua kufanya kazi hakuna kinachoshindikana
 
yeah name nimehisi hilo, yawezekana aliona huyo ndio kikwazo cha kuipata mali kama alivyokusudia. Let wait maana yaweza kuwa katajwa tu kwa chuki binafsi
hapo hakuna chuki wala nn , huyo kuna huwezekano mkubwa amehusika ,
 
So inawezekana kuna watu wanamflame huyu mama ili afungwe,wao wafaidi mali,unajua kuna haja ya kuacha wosia kuwa wazazi wakifa mali ziwekwe trust fund kwa ajili ya watoto.
Bado huyu housegirl ndo analo jibu lote,kama mama kashiriki kuua wifi yake,ama kuna watu wanaplay smart
pia ua muuaji hatakuwa ndani ya hiyo familia, huyo Miriam akiojiwa ataweka wazi
 
Wajinga wengi humu eti alikuwa anatembea na dada yake ndio auwawe kikatili
 
Nasikia hakuhudhuria maziko ya wifi yake (Marehemu Aneth).
Najiuliza...Aneth ndio alikuwa mstari wa mbele katika kesi ya mauji ya kaka yake.
Kama wifi yake huyo anahusika katika mauaji yake (Aneth) probably anahusika katika mauaji ya mumewe (Erasto)
Hatari sana.

nilikua sijaelewa ila umeelezea vzr sana, nahisi ulikua bingwa wa kufupisha habari form 2
 
Back
Top Bottom