Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

issue ya kujitoa kwa mali na kusaidia sikuongea mimi wameongea wanaojua kua alitoa naye mchango na wafanyakazi wake walihudhuria, hicho ndio kiini cha hoja uliyoijibu awali
Nilikuelewa sana..Ila kumbuka Mumewe alipokufa hawakumkamata yy..why Leo..Police Wa Tanzania wasipoingiliwa Na amri toka juu wakaacha wenyewe..Trust Mimi Hata ujifiche wapi utakamatwa tu.They are so clever.
 
Point mkuu,km umeishawahi kuona move ya ctracker killer ndo wanatumia mfumo huu, na wanaangalia ni wapi kuna mwanya ya kupita na huo mwanya ukipatikana tu unatesitiwa na mchezo wa dumla kete ikiingia tu kwenye king basi, so kazi
inaanza kwakufata ule mfumo wa kete, hata mfumo wa mpira wanautumia saana hao makiller,kwamfano kosa la beki ni faida ya fowerd lazima goolikeeper aumie na hapo ndipo upande wa pili waumize akili na upande mwingine wafurahi,so hii sakata anaeicheza ni mtaalamu lkn aewashilikisha hawajui kinachoendelea na nilazima ivuje so la mhimu yule msichana wa kazi km yuko mahabusu asitumie chakula cha nje na akifa kwa sasa mchezo wote wanashinda maadui na asie na hatia anakaa huru,,mfano mafia kuna mfumo wanautumia ili usielewe mauwaji kafanya nani:::: mfano 1+1=6 na ndani ya sita nikwamba imetafutwa alafu unaongeza moja kwaajiri ya kutafutwa inakuwa 7 na saba ndio secret number ambayo ni ( huyo msichana wa ndani) kwasbbu mda wowote inaanguka na haina faida,yaaani mda wowote anakufa na adui anashinda by mchana mwema wanajf
 
Every crime leaves a trail of evidence!
Commiting a perfect murder.
Sina imani na polisi wetu. Ukiangalia IDx suspect halazimishwi kukiri hata kama polisi wanahisi kabisa huyu ndiye muuaji watamwachia huku wakiendelea kukusanya evidences.
Ni mara nyingi sana unakuta wanayemuhisi siye kabisa wakati dalili zote zilionyesha ndiye.
Sasa polisi wetu wakikuhisi kwa mateso na mikwara utakayopewa unaweza kukiri umeua.
 
Kama marehemu Erasto alioa mke wa mtu kama baadhi mnavyodai, hamuoni kuwa huenda sababu za kifo chake zilikuwa nyingi?
 
Hikiii NA hokoo NA do aliekulaa kona NA nguru ya kuchomaa kasema domsalale mwaaa
 
Commiting a perfect murder.
Sina imani na polisi wetu. Ukiangalia IDx suspect halazimishwi kukiri hata kama polisi wanahisi kabisa huyu ndiye muuaji watamwachia huku wakiendelea kukusanya evidences.
Ni mara nyingi sana unakuta wanayemuhisi siye kabisa wakati dalili zote zilionyesha ndiye.
Sasa polisi wetu wakikuhisi kwa mateso na mikwara utakayopewa unaweza kukiri umeua.
Mkuuu unawezakukiri polisi ukawageukaa mahakamani kama walikupiga AMA kukulazimshaa inaruhusiwa kusema kwelimahakani
 
Kwa upande wangu mie siamini kabisaaa... kama mke wa marehemu ndiye aliyepanga mauaji ya Aneth!

Hii tamthilia itakuwa ilianzia huko huko kwa wafanya biashara wenzie na Erastho, na sasa wanaendelea kutengeneza mazingira fulani hivii.. ili ionekane haya mauaji ni ugomvi wa mali na kumbe sivyo kabisa.

Hii michezo ipo sana 2 na haina tofauti na mmarekani anavyowatumia magaidi kujifanya wanatetea dini fulani, kumbe kuna biashara ya siri anafanya nao.
 
HUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................
Huna picha yake aisee.
Mwili umenisisimka
 
Istoshe alishaenda kutangaza ndoa nyingine pindi tu mumewe alivyo fariki akili hana kaishia std 7 Mpare mpuuzi
Hahahaha.
Kule kwa Mange insta, kuna mtu kakoment kuwa, wanawake wa Kipare sio kabisa kuhusuana na hii ishu, watu walimnawa, hadi akaomba poo.
 
Hahahaha.
Kule kwa Mange insta, kuna mtu kakoment kuwa, wanawake wa Kipare sio kabisa kuhusuana na hii ishu, watu walimnawa, hadi akaomba poo.
Erasto alikuwa anatembea Na dadake mke alijua alipoenda kushtaki familia ikamwambia atulie ndio lexus Na mapesa yanapotoka
Hii familia ina uchafu wa kutisha
 
Back
Top Bottom