Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mi nawashauti Jf

Mkiwa NA Mali akikisheni mnaandikishawalaa aaitaji mkekujua.....

Nenden kwamwanasheria akikishen kuna ndugu mmoja mwenye akilitimamu zilizothibitishwa NA Hospt ya serikali andikishe. Origin peleken mahakaman.copy gaianeni easy..mjuze NA rafiki mwingine amandugu umefanya nn
 
ni mtu wawapi huyo mwanamke? nyie mnaoaa angalieni na wanawake wa kuoa sio mnaoaoa tu
Rekebisha sentensi yako isomeke wanaume wenye hela wasioeoe hovyo waangalie mwanamke wa kuoa.Kuna wanaume hela za kusababisha mtu amuue kwa tamaa hawana zaidi utapata hasara na dhambi ya bure
 
Story nzima inaonesha tangu afariki kaka wa marehemu familia imekuwa na mgogoro wa mali, na huyu mama alishinda kesi, kwa chuki ndani ya familia yawezekana kuna kitu kilisababisha, soma nyuma kuna taarifa mamamkwe alisema alimwaona atakufa na pressure, isingekuwa busara akaenda angekufa mama mtu mgekuja na mengine, ila pia wanadai alishikiriki kwa mali kufanikisha mazishi
Eti alifanikisha kwa Mali mazishi..ivi unaijuaa familia ile vizuri...Wala hawakuitsji Fedha zake.There will be no Stone left Unturned.
 
Eti alifanikisha kwa Mali mazishi..ivi unaijuaa familia ile vizuri...Wala hawakuitsji Fedha zake.There will be no Stone left Unturned.
nahisi u mmojawapo, mtegemea cha ndugu hufa maskini au ndio uishia hayo tunayoyaona kwenye hii familia, kila mtu ale kwa jasho lake
 
mh ziko nyingi sana mkuu familia za style hii huwezi jua ni hiyo yako au ya wenzako ni mpaka yakukute ndo utajua binadamu hawana jema hata siku moja.uwe una mali uwe huna watataka vitu hata vya ndani mpk glasi chezea shetan.
soma ramani wakati wa mahusiano, ukishaona familia yenye roho za chuki, visa visasa na utegemezi wa hali ya juu, au mumewe/mkewe ndio jicho lao lote hawafanyi kazi wanamwangalia yeye anza tu mapema, bora kuepusha shari kuliko shari kamili. Waweza kujikuta visa, kulogana nk nk
 
Unasapot post angu au upo negative Ni kama umejichanganya
issue ya kujitoa kwa mali na kusaidia sikuongea mimi wameongea wanaojua kua alitoa naye mchango na wafanyakazi wake walihudhuria, hicho ndio kiini cha hoja uliyoijibu awali
 
Rekebisha sentensi yako isomeke wanaume wenye hela wasioeoe hovyo waangalie mwanamke wa kuoa.Kuna wanaume hela za kusababisha mtu amuue kwa tamaa hawana zaidi utapata hasara na dhambi ya bure
kwani ukiuwa mwenye pesa hupati dhambi?

unaweza kuoa huna pesa ila ipo siku isiyokuwa na jina ukaangukia pesa za kufa mtu na ukute umeoa kimeo walah kinachukua roho yako
 
soma ramani wakati wa mahusiano, ukishaona familia yenye roho za chuki, visa visasa na utegemezi wa hali ya juu, au mumewe/mkewe ndio jicho lao lote hawafanyi kazi wanamwangalia yeye anza tu mapema, bora kuepusha shari kuliko shari kamili. Waweza kujikuta visa, kulogana nk nk
hahahah dah ni kweli lakini haya mambo hayana ukajura ni familia chache sana zilizostaarabika nakumbuka kuna jirani mmoja mmewe alifariki na walikua wameoana just like 7month mume akafariki na jamaa mwenyewe alikua hana hata wazazi wako wawil tu yeye na dada yake so alikua anaishi kwenye one bedroom house ana kitanda ,kochi na vitu vidogodogo ndo alikua anaanza maisha so alipofariki alimwacha yule mke mjamzito huez amini baada ya mazishi ndugu sijui walitoka wapi wanataka vile vitu kule ndani ya chumba wachukue yule mwanamke arudi kwao ilikua inahuzunisha sana kochi moja tena limechakaa na kitanda nayo ni njaa au ? du!.mke aliwaachia akasepa kwao.So haijalishi una mali ya aina gani ndugu ni shidaaaaa!!!!!!!!!
 
Kweli watu wamekomalia wanawake wa eneo Fulani wakatili, wanaume je? mbona baadhi yenu siku hizi mnaolea sababu pia, dunia imeshaenda kusiko imepinda hata kusudi la mme na mke katika familia limeshapindishwa, kwahiyo pindukieni huko mkitaka kujadili tabia mkijua hizi tabia ni individual personalities case
Haya makabila yenye inferiority complex ni tabu sanaa. Ikitokea tatizo kwa mmachame utasikia wamachame wanaua waume zao, ikatokea ni mchaga sio wa machame utasikia wachaga wanaua waume zao, ikatokea ni mtu wa kaskazini sio mchaga utasikia ndio zao watu wa kaskazini wanaua waume zao. Ila ikitokea ni kabila tofauti na kaskazini wala hutokaa usikie habari hizo. Yale ya flora mbasha haikusemwa kabila lake kwa aliyoyafanya. Watu wa makabila mtabaki kuwa masikini hadi mnakufa hii ni kutokana na limitation ya uwezo wa kufikiri kwenu, wanawake wachaga wenyewe hawapendi kuolewa na makabila tofauti sema tuu hutokea koz ya mipango ya Mungu.
 
Msilolijua ni usiku wa kiza!
Hii kesi haiko ki wepesi hivyo kama inavyoonekana.......
inayotakiwa ni mali ila na visasi vipo tena vibichi!
Kuna watu ni zaidi ya wanyama.......
... Cain aliambiwa... dhambi inakuotea mlangoni pako!
Za gizani zile.... masharti penzi mpaka na dada unadhani ndugu watakosa zitaka wakati na "wao"
kawezesha?
Na mwisho ni kupukutika watu na mali...
kumaanisha...
mke alichangia dhahiri ila na dada alichangia kwa siri!
Vita haitakwisha... mpaka koo na koo...
Habari kubwa hii.....!
Umeongea vema kabisa... Wasipoangalia wataisha wote au mali yote ndiyo itapotea..
 
ukisoma vema huu uzi utagundua kuna asilimia Zaidi ya 90 huyo Mariam (mke wa marehemu) sio muhisika. Familia za design hii ni shida sana ukiolewa. Kuna issue ya visa chuki na kugombea mali. Mtakuja kugundua baadae.
Mimi binafsi nashangaa ni kwanini hawa wanaojiita JF ni home of great thinkers wana akili ndogo kiasi hiki?? Huyo mke wa Msuya ile mali ni yake na watoto wake kwa 100%. Kisheria iko hivo, Biashara ya Msuya ni ya Erasto Msuya si ya Familia yote ya Msuya. Kuliko huyo mama kutumia njia ya kuuwa na kupiga risasi ndugu wa Erasto ni mahakama tu ndio njia rahisi kwake ambayo itatoa hizo mali kwa yeye pamoja na wanawe. Nashangaa hapa watu wanatoka povu bila hata ya kujiuliza maswali madogo..

Je, Ile mali aliyoacha Erasto Msuya ni ya Erasto Msuya au ni ya Familia ya Msuya?? Kama ni ya Familia mgawanyo ukoje?? Kama ni yake pekee kwanini Familia yote kwa ujumla inaingilia hizo mali wakati inasemekana yule mke wa Msuya alitoa 20% ya mali (Zaidi ya 1 Billion) kwa Mama wa Msuya na Familia kwa Ujumla...

Je, ile kesi ya Mauaji ya Msuya iliisha?? Kama bado haijaisha kwanini tusijiulize kuna watuhumiwa nyuma ya pazia wanapandikiza mauaji ndani ya hii familia ili wao baadae waachiwe huru na tuhuma ziamie kwa wengine?? Waliomuua Msuya ni watu wakubwa wenye pesa, Je hawa watu hawawezi kutumia pesa na akili kujinasua na kuwaingiza wengine kwenye mauaji yale hasa ukizingatia wamechukulia advantage migogoro iliyoko kwenye Familia ya Msuya?

Je, Mke wa Msuya alikuwa na sababu gani ya kumuua Annate? Msuya aliacha wosia unaoonyesha Annate apewe kiasi fulani cha mali zake?? Kama hakuacha, kwanini sasa Mke wa Msuya amuue Annate?

Mimi binafsi nahisi kuna watu wako nje ya hizi familia ndio wanawaendesha hawa watu kwa kuchukulia advantage hilo suala la ugomvi wa familia. Yawezekana ni walewale wauaji wa Msuya ama watu wengine tu ambao nao wanazitaka hizo mali. Hii familia isipokuwa smart na kumrudia Mungu watamalizana..
 
Eti alifanikisha kwa Mali mazishi..ivi unaijuaa familia ile vizuri...Wala hawakuitsji Fedha zake.There will be no Stone left Unturned.
Kwani kufanikisha Msiba ni mpaka utoe fedha?? Wewe nimesoma michango yako kwenye huu uzi either wewe ni ndugu wa Msuya ambaye unazitolea macho hizo mali kwa kumuonea wivu Mama Msuya ama ni mpambe umetumwa humu kuja kuchafua tu..
 
Story nzima inaonesha tangu afariki kaka wa marehemu familia imekuwa na mgogoro wa mali, na huyu mama alishinda kesi, kwa chuki ndani ya familia yawezekana kuna kitu kilisababisha, soma nyuma kuna taarifa mamamkwe alisema alimwaona atakufa na pressure, isingekuwa busara akaenda angekufa mama mtu mgekuja na mengine, ila pia wanadai alishikiriki kwa mali kufanikisha mazishi
Kwakweli kwa hili yote yanawezekana.. ipo siku ukweli utakua wazi.
 
Who on earth did I merry ????????????????????????????
 
Hapo umeongea ukweli na ukiangalia km huyo Dada wa kazi kweli ameshauliwa na akajidanganya sasa kule kunakoelekea hao waliomshauli huyo mtoto itakula kwao,pili aliempeleka huyo msichana wa kazi kwa aneti ni nani? Je ni mamake aneth? Au ni mkewa wa erasto, au ni mawifi zake mke wa erasto, au ni nani baada ya kupata jibu ilikuwa waanze nae,alfu kati ya hao wote nani ana ukaribu mkubwa na yule mfanyakazi wa ndani na aneth mbona jibu litatoka km jipu la kwapa
 
Back
Top Bottom