Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,368
OK. Tuko pamoja mkuuMkuu kuna mtu amesema hiyo mali ni ya baba yke ndio nami nkamwambia ukweli kua jamaa kaanza mbali na mawe alipata kwa flani ndio yakamuweka kwenye ramani
OK. Tuko pamoja mkuuMkuu kuna mtu amesema hiyo mali ni ya baba yke ndio nami nkamwambia ukweli kua jamaa kaanza mbali na mawe alipata kwa flani ndio yakamuweka kwenye ramani
Siyo lazima tutaoana wenyewe pita hiviWanawake wa Kaskazini ni hatari saana! Mie ni mmeru natambua ndugu zangu walivyo... wachaga ni hatari sana ila wapare ni zaidi ya hatari.
Naapa sitokuja kuowa kaskazini milele.
Hapo ndy role ya Bwana YESU inaonekana mtafanya uovu lkn kuna kitu mtajisahau hili mjedakwa,damu ya mtu wa Mungu haiwezi potezwa na Binadamu...lazima itakulilia tu!Kumbe wewe ni stadi wa kuua?
Kuua ni haramu hata ukificha (siri itafichuka tu, kama haiwezi kufichuka hapa duniani basi huko Akhera siri itafichuka tu na utahukumiwa tu, hilo ni lazima, ALLAH anasikia na anaona kila kitu, hauwezi kumficha kitu).
We ndo unakurupuka mada ni nyingine umeleta ukabila inahusu acha chuki wanawake katili wako dunia mzima siyo wapare na wachaga tuu we ndo km huna cha kuchangia kistaarabu tuliaUsikurupuke,soma mada fuatilia michango ya watu,huu ni mjadala,kama huna la kuandika pita kimya
vp ulimpata mmoja hapo Melbourne akakufanyia mamboHaya majina ya kichaga chaga, wanaweza kuwa watu wa machame hawa..hatari sana
Mi nashaurii mkionaa mmeolewaa kwenyee familiaaa kama hizi zapesaa zitaletaa shidaaa mumeooo akifaatu wahiimahakamani omba talaka kablaa ajazikwa inaruhusiwa yaani unajitoa AMA kukatakitovu kabsa NA familia hio baada ya mwezi unaoana NA chendedee wakosaafii wakuguse waoneukisoma vema huu uzi utagundua kuna asilimia Zaidi ya 90 huyo Mariam (mke wa marehemu) sio muhisika. Familia za design hii ni shida sana ukiolewa. Kuna issue ya visa chuki na kugombea mali. Mtakuja kugundua baadae.
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa chukua dompolight nakujalipa mpwaUkitaka kumuoa mwanamke wa kaskazini hakikisha ameokoka kwelikweli la sivyo yatakukuta makubwa etii..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Watakeradhii plssWatu hatari sana, northern women...![]()
Kweli watu wamekomalia wanawake wa eneo Fulani wakatili, wanaume je? mbona baadhi yenu siku hizi mnaolea sababu pia, dunia imeshaenda kusiko imepinda hata kusudi la mme na mke katika familia limeshapindishwa, kwahiyo pindukieni huko mkitaka kujadili tabia mkijua hizi tabia ni individual personalities caseWe ndo unakurupuka mada ni nyingine umeleta ukabila inahusu acha chuki wanawake katili wako dunia mzima siyo wapare na wachaga tuu we ndo km huna cha kuchangia kistaarabu tulia
Shidaaa kubwa siioni halo nashauri waanzie hapa haoo wachunguzi
1))mahusiano ya erasto NA wafanyabiashara wenzie wamadini
2))waangalie mahusiano yaliokuwepo kati ya dadamtu NA marehemu erasto vs mamasaimon
3))waangalie ugomvi uliozukakwa familia katiya dadamtu NA mke wa erasto
4))waangaliee zile kesi walizopelekana hukonyuma polisi erasto akiwa hai kati ya WiFi NA Dada MTU
5))Waangalie vile vitisho vya Mali wakati wa msiba wa marehemu erasto vs familia ya msuya
6))waangalie kelelee za familiaya msuya kwanini kaka alizikwa kule mererani NA sio Kyle kwao walipotoka....
7))wakaangalie mahusiano yaliokuwepo kati ya mama saimon NA wifizake....
8))waendee wakaangaliee zilemali za erasto alizotoa huyumama kwa familia ya msuya zote huku ana watoto ....
9))wambane vizuriii huyoo dadaaa atasema yoote aliemwambiaaa amtaje mama simon...
10))wakae vizuri NA mume wa marehemu awaeleze mahusiano yaliopo katiya mke wa erasto+maliza rerasto+mkewake(rip Anne)+familia ya msuya in general vs Familia ya huyo mamaa
Watapataukweli
Umemsikia tena Dr.Ulimbokaa..umeona tena Madokta wakugomaa.jiongezee Mkuu.Wekaaa uthibitishoo ilikuwa planned hapa
mh ziko nyingi sana mkuu familia za style hii huwezi jua ni hiyo yako au ya wenzako ni mpaka yakukute ndo utajua binadamu hawana jema hata siku moja.uwe una mali uwe huna watataka vitu hata vya ndani mpk glasi chezea shetan.ukisoma vema huu uzi utagundua kuna asilimia Zaidi ya 90 huyo Mariam (mke wa marehemu) sio muhisika. Familia za design hii ni shida sana ukiolewa. Kuna issue ya visa chuki na kugombea mali. Mtakuja kugundua baadae.
vp ulimpata mmoja hapo Melbourne akakufanyia mambo