Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Mlifundisha kupika mliishia kumcheka tu?
Hawakumfundisha.... Waliogopa kumuumiza mgeni... Kwanza unaanzaje kumwambia mdada kua hajui kupika, si ndo kutaka kumfukuza jamani!!! Angekua anakaa mda mrefu mama angemrekebisha.
 
Huyu bidada aliolewa na mkaka ambae bado anaishi kwao. Familia mzima inaishi pamoja. na kula pamoja ndani kuna mawifi watatu ambao hawajaolewa na wake wa kaka wakubwa wawili.

Baada ya harusi na honey moon bibie amerudi nyumbani kuanza maisha ya ndoa. Amekuta I utaratibu wa nyumba ni kuwa break fast ni saa nne asubuhi na inakuwa maandazi mbaazi za nazi mchuzi wa kuku na chapati pamoja na matunda.

Wale Mabint watatu na mawifi wana zamu za kupika. Basi bibi aliomba awe wa mwisho kwenye rosta. Ukifika zamu yake amefika jikoni jogoo amshachinjwa ni kazi ya kunyonyoa na kupika mchuzi.

Binti kumweka kuku kwenye maji aliiva unga ameshindwa kukanda na kila kitu kiko juu ya meza na jiko zima linejaa unga.
Kuona kaka ameoa mwanamke anaepika kinadharia.
Mawifi wamekuja jikoni
Hii story yako iliishia ya maana kila nikichungulia sioni mwisho wake. naona story bado inaelea
 
Hawakumfundisha.... Waliogopa kumuumiza mgeni... Kwanza unaanzaje kumwambia mdada kua hajui kupika, si ndo kutaka kumfukuza jamani!!! Angekua anakaa mda mrefu mama angemrekebisha.
Wewe vipi ukweni huwezi kuaibika?
 
Hahaha!, nyanya kama za Daby! 😀

Yea mboga inaatoka chicha ile mbaya tena.
Eeeh bwana! Daby katuchamba hapo eti nyanya sijui kama nini, mweeeeh kaka tu ninae!!!

Basi kama maisha yamerahisishwa hivyo hamna tabu tena,ni kununua tu vifaa alafu taabu kwishney. Sema sasa huwa tunavinunua majumbani mwetu tu ila wazazi wetu hatuwanunuliii.
Kwako wapikia gesi, mzazi wako anapikia kuni, haki Mungu anatuona!!!
 
Hawakumfundisha.... Waliogopa kumuumiza mgeni... Kwanza unaanzaje kumwambia mdada kua hajui kupika, si ndo kutaka kumfukuza jamani!!! Angekua anakaa mda mrefu mama angemrekebisha.
Sasa akija kusikia kuwa mpaka leo bado mwamcheka ndio hatoumia?
 
Hawa mabinti wa kishua wengi wao hawajui kupika. Mtoto tokea primary anapelekwa shule ya bweni,sekondari bweni,chuo anaishi hostel.
Wazazi tuhakikishe mabinti zetu wanapika ata kwa fimbo kuliko kuja kupata fedheha uko kwenye ndoa.
Tena atakaeaibika ni mama yake.
 
Sasa akija kusikia kuwa mpaka leo bado mwamcheka ndio hatoumia?
Hawezi sikia
Yaani situatio ilivyokaa ilikua ni ngumu kumrekebisha... Anaishi kwao na wazazi wote wawiliakaja kwetu kusalimia siku tatu tu... Kulikua na baba, mama na mdogo wangu wa kiume... Mama hakuweza mwambia kwa kuhofia kumkwaza... Ni ngumu kuanza kumwambia mdada mtu mzima kua hajui kupika... Angalau angekua anakaa mda mrefu mama angeanza mfundisha polepole bila kukosoa mapishi yake...
 
Nakumbuka wifi yangu mimi ndio nilimfundisha kupika ugali, alivyokuja tukiwa jikoni akaniambia kabisaaa, "wifi mie ugali sijui kupika", nikamfundisha taratibu hadi akaweza, bora mtu aseme tu kuwa hawezi kuliko aharibu hivyo awe gumzo la ukoo!!!
Super chef nije lini kuchukua darsa mahsusi? Ntakuja na Khantwe maana mapishi yake mmh
 
Nakumbuka wifi yangu mimi ndio nilimfundisha kupika ugali, alivyokuja tukiwa jikoni akaniambia kabisaaa, "wifi mie ugali sijui kupika", nikamfundisha taratibu hadi akaweza, bora mtu aseme tu kuwa hawezi kuliko aharibu hivyo awe gumzo la ukoo!!!
Heri huyo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hilo gumegume Khantwe lishashindikana muache tu.

Dota nimekufunza hadi ukawa mtaalamu kuliko mwalimu wako khaaah!!
Mmh nimefuzu kwa hizi nyanya zenye masikio?
 
Back
Top Bottom