Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Aaah kabisa, unaaga kabla haujawa mwenyeji ukaalikwa jikoni. Maana wakwe kwa kujua kuchambua wenzao utadhani wao wapishi wa kimataifa!!!
Sana.... usikute wenyewe wanachemsha chemsha tu

Akhuu

Kabla ya kupewa mjungu bora kusepa mapeeeemaaa
 
Duuh! Na awamu hii waume wengi watalishwa madudu!!! Mabinti wengi kupika zero kabisa!!!

Kuna ndugu yangu mmoja alikuja salimia, akakaa siku tatu... Mama akaona isiwe shida, nimkabidhi binti jiko... Looo! Yaani mpaka Leo wanaongelea madudu waliokua wanalishwa... Nyama inaogelea kwenye mchuzi mweupeee nilihadithiwa nikabaki kuchekaaa.... Ni binti mrembo Ila kupika zero
 
Mlifundisha kupika mliishia kumcheka tu?
 
Back
Top Bottom