Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,364
- 11,520
Kumbe nawe umeliona hili? Ni laaana ya kumtupa aliyewaletea Uhuru na kumwona hafai baada ya kuwapatia Uhuru. Jamaa anapaswa awekewe siku ya kumshukuru.
Zanzibar haiwezi kupata maendeleo kamwe iwapo Baba wa mapinduzi matukufu Okello hatoenziwa na kutengwa siku maalum ya kumbukuzi Mohamed Said