Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

Siku wazanzibar wakilivua koti la muungano sijui mkoloni mweus kama atawauwa wazanzibar wote au atawaacha maisha yaendelee.
 
CR makini ambaye alivunja rekodi pale SUA katika course ya agribusiness Bwana E. V. Mapigano sina cha kuongeza.
 
Hili mbona hata wao wanalifahamu vizuri? Rais wa zanzibar mkoa wetu anachaguliwa Dodoma. Wao tunawapa nafasi wakapange folen kumpitisha. Lakini hawachagui Rais hata siku moja. Zanzibar siyo nchi.


Kwa hiyo unataka kusema raisi wa zanzibar anachaguliwa bara, wao wanapanga tu foleni kumthibitisha
 
38 Reactions
Reply
Back
Top Bottom