Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

Niliwaonyesha watazamaji baadhi ya vitabu muhimu vya historia ya Zanzibar pamoja na kitabu, ''Masimulizi ya Sheikh Thabit Kombo Jecha,'' kitabu ambacho nilisema mwandishi Minael- Hosanna O. Mdundo amepotosha mambo mengi.
hicho kitabu cha Masimulizi ya Sheikh Thabit Kombo Jecha kwa kweli ni pumba tupu, kina faa kabisa kuchomwa moto hadharani.
 
Wanapoteza pesa na wakati wa kuchapisha upupu, bora wangalichapisha vitabu vya kusomeshea mashuleni kama hesabu nk
 
hicho kitabu cha Masimulizi ya Sheikh Thabit Kombo Jecha kwa kweli ni pumba tupu, kina faa kabisa kuchomwa moto hadharani.
Dos,
Hapana haja kuchoma moto vitabu.

Njia nzuri ya kukabiliana na historia ambayo haikuandikwa kwa ukweli ni kuandika ile ya ukweli.

Mtu akikutolea bakora au fimbo iliyopinda njia nzuri ya kumwonyesha kuwa fimbo yake imepinda ni kwako wewe kuweka pembeni yake fimbo iliyonyooka
 
Katika muktadha huu niliwarejesha tena watazamaji kwenya kumbukumbu za Aman Thani aliposema kuwa hayakuwa ''mapinduzi,'' bali mavamizi.
Kinachosangaza sana ni kule kuona watanganyika wakikasirika sana pale nchi za magharibi zinapoingilia mambo ya ndani ya nchi. Wakati huo huo Tanganyika ikiwa kinara cha kuingilia masuala ya siasa za Zanzibar bila ya hata aibu.

Hadi leo bado Tanganyika inaendelea kushikilia na kueka watu inaowaona ndio wanafaa kuongoza visiwa vya Zanzibar. Binafsi sipendelei kusikia masuala ya Mapinduzi wala muungano, naamini vyote ni haramu na havina tija wala maslahi yoyote.

Sina tatizo lolote na mtanganyika au mtu yoyote binafsi, nasimama kwenye haki na maslahi ya watu tuu. Mahusiano kati ya Tanganyika na Zanzibar hayawezi kuepukika, ni nchi jirani na watu wake wana mahusiano ya kifamilia, kirafiki nk.. Bado sioni hili kuwa ni sababu ya Tanganyika kujivisha kilemba cha ukoloni dhidi ya Zanzibar.

Maasalaam.
 
Mwaka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar

Video ikimwonesha Okello,Karume na Babu masaa machache baada ya Mapinduzi

Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kuwatumia salaam zangu za kuadhimisha kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, tutayalinda kwa gharama yoyote.

Nawatakia maadhimisho mema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Kazi Iendelee!.

Paskali
 
Ni Mapinduzi Matukufu ya Tanzania Visiwani maana naona mnachanganya sana kule Tanganyika mnaweka Tanzania Bara, sasa kwanini sio Mapinduzi Matukufu ya Tanzania ya Viwanda!
 
Pascal , matukufu kwani utukufu Si wa Mungu Tu Peke yake au katika Ukristo chochote kinaweza kuwa kitukufu?
 
Ni Mapinduzi Matukufu ya Tanzania Visiwani maana naona mnachanganya sana kule Tanganyika mnaweka Tanzania Bara, sasa kwanini sio Mapinduzi Matukufu ya Tanzania ya Viwanda!
Jina la Tanganyika ndio lilikufa likageuka, Tanzania Bara, lakini jina la Zanzibar lilibaki, hivyo Tanzania Visiwani ni Tanzania Zanzibar.
P
 
Pascal , matukufu kwani utukufu Si wa Mungu Tu Pelé yake au katika Ukristo chochote kinaweza kuwa kitukufu?
Kuna utukufu wa aina nyingi, kuna utukufu wa Mungu, na utukufu wa dunia hii. Mfano Ikulu ni mahali patakatifu, hivyo mkaaji wa mahali patakatifu ni mtakatifu hadi kuitwa Mtukufu Rais, Bunge Tukufu, etc.

Heby tupe maana ya utakatifu
 
Basi usitumie neno usilolijua maana yake
Hilo ni jina, waandishi tunatumia majina kama yalivyo bila kuhitajika kujua maana yake, hivyo ukijitambulisha unaitwa Jagina, tunakuita Jagina, bila kujali maana ya Jagina. Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964, yanaitwa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Hata hivyo niliwahi kuuliza humu,

Ndiyo mkatawaliwa Na wanawake 😝😝😝😝
 
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kuwatumia salaam zangu za kuadhimisha kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, tutayalinda kwa gharama yoyote.

Nawatakia maadhimisho mema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Kazi Iendelee!.

Paskali

Hizo salamu peleka Lumumba, hizo sherehe ni zenu CCM, sisi wengine hatuna mpango nazo
 
Hilo ni jina, waandishi tunatumia majina kama yalivyo bila kuhitajika kujua maana yake, hivyo ukijitambulisha unaitwa Jagina, tunakuita Jagina, bila kujali maana ya Jagina. Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964, yanaitwa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Hata hivyo niliwahi kuuliza humu,
P
 
Attachments

  • VID-20220112-WA0041.mp4
    2.2 MB
Hilo ni jina, waandishi tunatumia majina kama yalivyo bila kuhitajika kujua maana yake, hivyo ukijitambulisha unaitwa Jagina, tunakuita Jagina, bila kujali maana ya Jagina. Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964, yanaitwa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Hata hivyo niliwahi kuuliza humu,
P

Hilmi Hilal is inviting you to a scheduled Zoom meeting.

Topic: Tusiyoyajua kuhusu historia ya Mapinduzi ya Zanzibar

Wachambuzi wa mada: Tundu Lissu, Mohamed Said, Sheikh Ibrahim Hussen, Hamza Rijal na Awadh Ali.

Time: Jan 12, 2022 08:30 PM EAT Zanzibar

Join Zoom Meeting

Meeting ID: 841 3626 6608
Passcode: 587900
One tap mobile
+16465588656,,84136266608#,,,,*587900# US (New York)
+16699009128,,84136266608#,,,,*587900# US (San Jose)

Dial by your location
+1 646 558 8656 US (New York)
+1 669 900 9128 US (San Jose)
+1 253 215 8782 US (Tacoma)
+1 301 715 8592 US (Washington DC)
+1 312 626 6799 US (Chicago)
+1 346 248 7799 US (Houston)
Meeting ID: 841 3626 6608
Passcode: 587900
Find your local number: Video Conferencing, Web Conferencing, Webinars, Screen Sharing
 
Hilo ni jina, waandishi tunatumia majina kama yalivyo bila kuhitajika kujua maana yake, hivyo ukijitambulisha unaitwa Jagina, tunakuita Jagina, bila kujali maana ya Jagina. Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964, yanaitwa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Hata hivyo niliwahi kuuliza humu,
P

Utukufu wa Mapinduzi ndiyo huu

IMG-20220112-WA0064.jpg

IMG-20220113-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom