Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

General John Gideon Okello was the leader of the Zanzibar Revolution, he was supposed to be respected by the zanzibar majority rather than Mzee Karume. Okello was convinced he had orders in his dreams by God to break the powerful leadership of Arabs and to found the revolutionary state of Zanzibar and Pemba. On January 12 1964 Okello leaded his men and fought their way to Stone town, where the Sultan of Zanzibar lived and succeeded to overthrow the Arab domination in Zanzibar and Pemba. Okello created a Revolutionary council and APPOINTED Abeid Aman Karume as the President, and Abdulrahman Babu as the Vice President. (these two were not informed by Okello the coup, since they resided in Tanganyika until after the revolution, they returned to Zanzibar immediately after they were appointed to the new government by Okello. Zanzibar has to give full Salute to John Okello rather than Abeid Karume.
 
General John Gideon Okello was the leader of the Zanzibar Revolution, he was supposed to get respected by the zanzibar majority rather than Mzee Karume.

Okello was convinced he had orders in his dreams by God to break the powerful leadership of Arabs and to found the revolutionary state of Zanzibar and Pemba. On January 12 1964 Okello leaded his men and fought their way to Stone town, where the Sultan of Zanzibar lived and succeeded to overthrow the Arab domination in Zanzibar and Pemba.

Okello created a Revolutionary council and APPOINTED Abeid Aman Karume as the President, and Abdulrahman Babu as the Vice President. (these two were not informed by Okello of the coup, since they resided in Tanganyika until after the revolution, they returned to Zanzibar immediately after they were appointed to the new government by Okello.

Zanzibar has to give full Salute to John Okello rather than Abeid Karume.
 
only christianity element caused the fracas between Okello and Karume, since Okello was a christian believer.
 
  • Thanks
Reactions: Lsk
Inashangaza sana kwamba yule Mganda aliyekuwa anaishi Zanzibar na kisha kuongoza na hatimaye kufanikisha mapinduzi ya Zanzibar ya trh 12,Januari-1964 hazungumzwi na wala hatajwi kabisa katika maadhimisho ya sikukuu ya mapinduzi. Hivi kuna ubaya gani kuliweka wazi jina la kiongozi huyo wa mapinduzi? Kwanini Zanzibar isimpe heshima Mganda huyo kwa kuliweka jina lake katika japo kumbukumbu za majina ya mitaa,barabara,shule au hata vyuo?
 
Zanzibar has to give full Salute to John Okello rather than Abeid Karume.[/QUOTE]


Probably, because he was not a Zanzibarian.
 
Damu ya Okello itawatesa wazanzibari milele
Inashangaza sana kwamba yule Mganda aliyekuwa anaishi Zanzibar na kisha kuongoza na hatimaye kufanikisha mapinduzi ya Zanzibar ya trh 12,Januari-1964 hazungumzwi na wala hatajwi kabisa katika maadhimisho ya sikukuu ya mapinduzi. Hivi kuna ubaya gani kuliweka wazi jina la kiongozi huyo wa mapinduzi? Kwanini Zanzibar isimpe heshima Mganda huyo kwa kuliweka jina lake katika japo kumbukumbu za majina ya mitaa,barabara,shule au hata vyuo?
 
Of course he was not a Zanzibarian, but he was a Zanzibar revolutionalist. this was enough for the people of zanzibar to give their Salute this men
Zanzibar has to give full Salute to John Okello rather than Abeid Karume.


Probably, because he was not a Zanzibarian.[/QUOTE]
 
Youth Little is known of Okello's youth although
he was baptized at age two and given the
baptismal name of Gideon. He was orphaned at age eleven and grew up with
other relatives. When he was fifteen, he
left and set out on his own and found
work in several places within East Africa. At various times, Okello was a clerk,
manservant, gardener, and in odd-jobs.
He later went through training to become
a bricklayer. He was arrested in Nairobi, (Kenya) for unclear reasons and was incarcerated for two years, during which
time he became interested in
revolutionary ideas. There is some speculation that, at some
point, Okello had a residence in Cuba and was taught Communism byFidel Castro. Police officer on Pemba In 1959 Okello left for the island of Pemba, where he tried to find work on one of the farms, but became a police
officer instead. Okello joined the Afro-
Shirazi Party of sheik Abeid Karume. This party opposed the domineering position
of the minority Arabs on the islands of Zanzibar and Pemba. Revolutionary Okello left for Zanzibar in 1963, where he
contacted the leaders of the Afro-Shirazi
Youth League, the youth organisation of
the Afro-Shirazi Party. The Youth League
strived for a revolution in order to break
the power of the Arabs. On Zanzibar, Okello was also a member of the Painters
Union, being a house painter. In his free
time he built up a small army of
determined African nationalists. This
army was required to hold themselves to
the strict rules of Okello: sexual abstinence, no raw meat and no alcohol. The highly religious Okello was convinced
he had been given orders in his dreams by
God to break the powerful position of the
Arabs and to found the revolutionary
state on Zanzibar and Pemba. On the
night before the “revolution”, Okello gave his men the order to kill all Arabs
between 18 and 25 years of age, to spare
pregnant and elderly women, and not to
rape virgins. Uprising On January 12, 1964, with popular support
from the island's oppressed native
African majority, Okello and his men
fought their way to the capital of
Zanzibar, Stone Town, where the sultan lived. Even though they were poorly
armed, Okello and his men surprised the
police force of Zanzibar and they took
power. During a speech on radio, Okello dubbed
himself the "field marshal of Zanzibar
and Pemba". He gave the sultan an order
to kill his family and to kill himself
afterwards; otherwise, Okello would do so
himself. However, the sultan had already brought himself to safety later to be
harboured in Britain. The prime minister
and other ministers also managed to
escape. The coup led to the poorly-known
massacre of between 5,000 and 20,000 Arabs, whose families had been living in Zanzibar for centuries, between January
18 and 20. Footage of the massacre can
be seen in Gualtiero Jacopetti's film Africa Addio , a 1966 exemplar of the Mondo film genre.[1] Shoved to the side Okello created a Revolutionary Council
and named the leader of the Afro-Shirazi
Party, Abeid Karume, as president and leader of the (Arabic) Umma-(Massa)
Party, sheik Abdulrahman Muhammad Babu as prime minister (later: vice- president). Both Karume and Babu had
not been informed of the coup. Both
residing in Tanganyika, but returned to Zanzibar, where they were welcomed by
Okello. However, neither Karume nor
Babu wanted anything to do with him.
Afterward, Okello appeared to be too
unstable to play any role in government of
the new country and was quietly sidelined from the political scene by Karume, who
allowed him to retain his title of Field Marshal.[2][3] By 3 February Zanzibar was finally
returning to normality and Karume had
been accepted, almost unquestionably, as its president.[4] Okello formed a paramilitary unit, known as the Freedom
Military Force (FMF), from his own
supporters which is known to have
patrolled the streets and become involved with looting.[5][6] In addition Okello's violent rhetoric, his thick and dialectic
English pronunciations and Acholi tribal
English accent- typical of Acholi from
Northern Uganda, and his Christian
beliefs alienated many in the largely moderate, Zanzibari and Muslim ASP.[7] By March many of his FMF had been
disarmed by Karume's supporters and an Umma Party militia.[6][7] Okello was denied access to the country when he
tried to return from a trip to the mainland
and deported to Tanganyika and then to Kenya before returning, destitute, to his native Uganda.[7] He was officially removed from his post as Field Marshal on 11 March.[8] The People's Liberation Army (PLA) was
formed by the government in April and
completed the disarmament of Okello's remaining FMF troops.[7] On 26 April Karume announced that he had
negotiated to enter into a union with
Tanganyika to form the new country of Tanzania.[9] Karume's reason for doing so may have been to prevent the radicals in
the Umma Party from taking over the
country or to reduce the possibility of
increasing communist influence in East Africa.[9][10] Despite this, many of the Umma Party's socialist policies on health,
education and social welfare were adopted by the government.[11] Speculations concerning his death Okello then stayed in Kenya, in Congo- Kinshasa and in Uganda. He was incarcerated multiple times and was last
seen with the Ugandan president Idi Amin in 1971 and vanished afterwards. In the book “Revolution on Zanzibar”,
written by Don Petterson, it is more or
less assumed that Idi Amin saw him as a
threat (after Amin promoted himself
Okello reportedly joked that "now Uganda has two field marshals"[citation needed]) and had arranged his assassination. This
remains speculative, however.
 
Someni hii:


The Zanzibar Revolution
On the night of January 12, 1964 a band of some 300 people violently seized the Island of Unguja.
They were led by a little known man named John Okello, who had lived on Pemba, having come to
the Islands some years earlier from Uganda. In Zanzibar he developed a popular following among
a core of young, tough men, many of whom were the Stevedores and Porters who worked the ships coming
in and out of Zanzibar Harbor. His group met in secret. He promised changes to these men, fellows
long used to working together, in sometimes dangerous settings, and ready to follow orders of any
"captain" who could pay their fee. Theirs became a rebellion looking for a home.
Pemba since the death of Sultan Khalifa in 1960. He had reigned in Zanzibar for almost 50 years,
since 1911. After much jockeying for constituencies and coalitions the main political parties had
narrowly split the two general elections of 1961 to the satisfaction of none. The British were
leaving, their troops, including a contingent of Irish Guards,stationed near the golf course at
the edge of Stone Town, pulled out in early 1963. When the new Sultan, Jamshid, hoisted The flag of the independent
nation of Zanzibar, on December 12,1963, he marked the departure of the last British Resident,
(Governor)of Zanzibar and the end of the Colonial period.Another election in late 1963 had given
a slim majority to a coalition of two political parties, the ZNP (the Zanzibar Nationalist Party)
and the ZPPP ( the Zanzibar and Pemba Peoples Party). The ASP (the Afro-Shirazi Party) was to be
in the minority in a British style parliamentary system with the Sultan serving as the reigning but not ruling "monarch".

This Nation, a full member of the British Commonwealth and a newly enrolled sovereign member
of the United Nations was destined to last only 33 days.Political debates raged and street
demonstrations were not uncommon in those days. I remember bicycling to school through crowds
chanting the names of political leaders and traveling in the country past road- blocks manned
by British soldiers.The various factions debated everything; rights versus privileges, new-comers
versus old established families, Capitalism vs Socialism, merchants vslandowners, Zanzibari's vs
Pemban's, Asians vs Arabs, Swahili's vs Mainlanders, and all this against the backdrop of the Cold
War and the other nationalistic and de-colonial movements abounding in Africa at that time.

John Okello didn't have answers to these thorny issues, but he did have the insight to realize
that all of these competing interests presented an opportunity for a man of action like
himself. After all,a few hundred determined men might be able to seize the few local centers of
communication and the three police barracks. Once he had those under his control and possessed
the weapons stored there, who on the islands could throw him out? Would the politicians join
together to denounce and oppose his illegal actions? Or as he hoped,would they continue to distrust
each other, to suspect that one or another of themselves must have put him up to it? Would not
they want to make a deal with him, quick, before someone else did?

On that January night he rolled the dice.The ASP Party leaders, though surprised by Okellos' actions, (many were not even on the Island at the time) moved quickly to embrace the rebels. Hundreds of party followers were wiped into a frenzy by those eager to seize this
opportunity to cut the Gordian knot of democratic debate and go straight to the prize of Ruling.
They sought to gain the chance to remake society in accordance with their own ideals.Ideals were
a dime a dozen in those days. Humanity was to become a much more costly item.

Having seen just how vulnerable a government could be, and not trusting their own mixed
record in open elections,it was clear to some ASP leaders that drastic measures were warranted
to secure the survival of what was now being called "The Revolution". The mobs were unleashed.
Law and order disappeared from the streets of Zanzibar.Landowners and merchants were dragged
from their houses and shops,looting and killing spread throughout Stone Town.The City literally
Sacked itself.Arabs and Asians, who had supported the other Parties in large numbers, were killed
indiscriminately. In a single night uncounted lives were lost and over the next few days thousands
more fled the Islands with only what they could carry.

John Okello established for himself the rank of "Field Marshall" and,with his mob-battalions,
established a reign of terror on the Islands. He broadcast bizarre threats and promises of death
to all who might oppose him.He believed he was touched by God and demonstrated an eccentric
attachment to symbolic numbers. For example on January 13, 1964, he broadcast the following
messages: "The government is now run by us....should you be stubborn and disobey orders I will
take measures 88 times stronger than at present." and, "If anyone fails to comply... and locks
himself in a house, as others have done...I have no alternative but to use heavy weapons. We,
the army have the strength of 99,099,000."His threats and his ability to act on them, panicked
citizens,especially minority groups of all types.

Source:ugandanet


Poleni kwa kusoma andiko refu!
Huyu mtu alikuwa nani?
Kibaya zaidi kwenye historia amefunikwa kabisa.Hutamsikia akitajwa hata pahala pamoja.
Mimi nilikuja kuelewa kuhusu Okelo baada ya kusoma Kitabu chake - Field Marshal Okelllo - Revolution in Zanzibar.Nilishangaa maana hatukuwahi kufundishwa kwenye historia kuhusu mchango wa huyu mtu kwenye mapinduzi ya Zanzibar.

Wale magwiji na wachambuzi wa maswala ya siasa na historia naomba busara na hekima zenu, mtumegee elimu.
 
How did it end up with John Okelo? Huyu ndiye aliyestahili kuimbiwa mapinduzi daima, inavyoaminika. Ila sijui mambo yamekuwaje tena hasomeki kabisaaa
 
Someni hii:



Poleni kwa kusoma andiko refu!
Huyu mtu alikuwa nani?
Kibaya zaidi kwenye historia amefunikwa kabisa.Hutamsikia akitajwa hata pahala pamoja.
Mimi nilikuja kuelewa kuhusu Okelo baada ya kusoma Kitabu chake - Field Marshal Okelllo - Revolution in Zanzibar.Nilishangaa maana hatukuwahi kufundishwa kwenye historia kuhusu mchango wa huyu mtu kwenye mapinduzi ya Zanzibar.

Wale magwiji na wachambuzi wa maswala ya siasa na historia naomba busara na hekima zenu, mtumegee elimu.

Nilikuwa nasikiliza kipindi kimoja leo hii kinachoongelea map-induzi ya Zanzibar, mmoja katika walioulizwa, alijitambulisha kuwa yeye alikuwa ni mmoja katika watu waliopanga na kufanikisha mapinduzi na alipoulizwa kuhusu Okelo aksema, huyo kapata umaarufu kwa sababu alipewa kazi ya kwenda kutangaza (na staili yake) ya kutangaza ndio ikampatia umaarufu lakini hakuwa na lolote zaidi katika hayo mapinduzi, alishiriki kama wengine. Na wala hakuwa katika viongozi wa mapinduzi.

Sasa sijui ukweli ni upi, wa hao waganda au wa huyu Mzanzibari aliyeshiriki na kuanzia mipango mpaka utekelezaji na mpaka TBC wamemrusha mahojiano yake leo hii.
 
Nilikuwa nasikiliza kipindi kimoja leo hii kinachoongelea map-induzi ya Zanzibar, mmoja katika walioulizwa, alijitambulisha kuwa yeye alikuwa ni mmoja katika watu waliopanga na kufanikisha mapinduzi na alipoulizwa kuhusu Okelo aksema, huyo kapata umaarufu kwa sababu alipewa kazi ya kwenda kutangaza (na staili yake) ya kutangaza ndio ikampatia umaarufu lakini hakuwa na lolote zaidi katika hayo mapinduzi, alishiriki kama wengine. Na wala hakuwa katika viongozi wa mapinduzi.

Sasa sijui ukweli ni upi, wa hao waganda au wa huyu Mzanzibari aliyeshiriki na kuanzia mipango mpaka utekelezaji na mpaka TBC wamemrusha mahojiano yake leo hii.
Wazanzibar wapende wasipende, hawawezi kuzima ukweli kuhusu mchango wa Okello.
Ukisoma hicho kitabu utaona Wazanzibar walihisi hatari kuendelea kumuweka mbele Okelo maana alijipatia umaarufu mkubwa siyo ZNZ tu bali Afrika Mashariki yote.Lakini wajue kuwa hatari iliyokuwepo wakati ule, haipo tena na hivyo watende haki kumtambua kama mshiriki mkuu wa mapinduzi yale.
 
Wazanzibar wapende wasipende, hawawezi kuzima ukweli kuhusu mchango wa Okello.
Ukisoma hicho kitabu utaona Wazanzibar walihisi hatari kuendelea kumuweka mbele Okelo maana alijipatia umaarufu mkubwa siyo ZNZ tu bali Afrika Mashariki yote.Lakini wajue kuwa hatari iliyokuwepo wakati ule, haipo tena na hivyo watende haki kumtambua kama mshiriki mkuu wa mapinduzi yale.

Kazi kwao, mie naona kama hadithi tu zilizopitwa na wakati siioni significance yoyote ya Okelo au Karume wala sijakiona cha maana walichokifanya baada ya mapinduzi zaidi ya kuzidisha umaskini tu. Watajijuu.
 
JANUARI 12 ni siku ya kukumbuka Mapinduzi ya Zanzibar yapata miaka 48 iliyopita. Lakini jambo moja ambalo katika historia ya mapinduzi hayo ni kukosekana kwa mtu muhimu aliyeyashiriki.

Jambo hili linaweza kuwa na mwangwi wa kibaguzi au wa kuwatenga katika kumbukumbu za tukio hilo muhimu lililoondoa utumwa na utwana uliokubuhu visiwani Unguja na Pemba. Mtu huyo ni Field Marshal John Okello.

Mapinduzi

Kumbukumbu za historia zinaonyesha kuwa Okello aliingia Zanzibar mwaka 1963 na kuwasiliana na viongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Afro-Shirazi (ASP). Kundi hilo lilikuwa linajipanga kuangalia namna ya kuondoa utawala wa Waarabu.

Akiwa Zanzibar, Okello alikuwa mwanachama wa chama cha wapiga rangi – akiwa anapaka rangi majumba mbalimbali. Wakati wa muda wake wa ziada alikuwa akiunda kikundi kidogo cha askari wa Kiafrika.

Kikundi hiki cha kijeshi kilishika na kufuata amri zilizokuwa zinatolewa Okello kama kiongozi ambazo ni pamoja na kutojihusisha na masuala ya ngono, kutokula nyama mbichi na kutokunywa pombe.

Inaelezwa kuwa Okello alikuwa muumini mzuri wa dini. Aliamini kuwa alipewa amri hizo na Mungu akiwa kwenye ndoto kuuondoa utawala wa mabavu wa Waarabu na kuanzisha serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na Pemba.

Usiku mmoja kabla ya mapinduzi hayo, Okello aliwaamuru watu wake kuua vijana wote wa Kiarabu waliokuwa na umri kati ya miaka 18 na 25, lakini wasiwadhuru kina mama wajawazito na wazee na pia wasifanye ubakaji.

Uasi

Januari 12, 1964 akiwa anaungwa mkono na asilimia kubwa ya watu waliokuwa wanakandamizwa – wengi wao wakiwa Waafrika – Okello na kikosi chake waliweza kuingia katika mji wa Stone Town, Zanzibar, kulikokuwa maskani ya Sultan.

Inaelezwa kuwa takriban watu 10,000 waliuawa, licha ya kwamba kikosi cha Okello kilikuwa na silaha duni. Okello na kikosi chake walilishangaza Jeshi la Polisi Zanzibar na kuchukua ofisi zao.

Kwenye hotuba yake iliyotangazwa kwa njia ya redio, Okello alitangaza kuwa yeye ni ‘Field Marshal wa Zanzibar na Pemba’ na alimwamuru Sultan aue familia yake na kisha ajiue mwenyewe, la sivyo Okello ataifanya kazi hiyo mwenyewe.

Hata hivyo, Sultani mwenyewe alikuwa tayari ameshajipatia maficho ya usalama nchini Uingereza, na waziri mkuu pamoja na mawaziri wengine pia waliwahi kutoroka.

Kuwekwa pembezoni

Kutokana na kufanikiwa kwa mapinduzi hayo, Okello alitangaza Baraza la Mapinduzi na Sheikh Abeid Amani Karume kuwa Rais. Kiongozi wa Chama cha Umma, Abdulrahman Mohamed Babu, akawa waziri mkuu. Baadaye alikuja kuwa Makamu wa Rais.

Sheikh Karume na Babu hawakuwa wamejulishwa kuhusu mapinduzi hayo ya kijeshi kwani wote walikuwa Tanganyika, lakini walirudi Zanzibar walikokaribishwa na Okello.

Lakini pamoja na shughuli yote aliyoifanya si Karume wala Babu waliomhitaji tena. Okello aliondoka kuelekea Tanganyika na kuanzia wakati huo alizuiwa kurudi Zanzibar na alipigwa marufuku pia asionekane Tanganyika na Kenya.

Utata kuhusu kifo chake

Baada ya Okello kupigwa marufuku Zanzibar na Tanganyika, aliishi maisha ya kuhamahama kutoka nchi moja hadi nyingine. Aliishi Kenya na baadaye Congo Kinshasa na Uganda. Aliwahi kufungwa mara kadhaa na mara ya mwisho alionekana akiwa na kiongozi wa Uganda mwaka 1971 na baadaye alipotea.

Katika kitabu cha ‘Revolution on Zanzibar’ kilichoandikwa na Don Petterson inadhaniwa kuwa Idi Amin alimwona Okello kuwa ni tishio kwake na mara nyingine inaelezwa kuwa baada ya Amin kujipandisha cheo na kuwa Filed Marshal, inaelezwa kuwa Okello alisema kwa dhihaka, “Uganda hivi sasa ina Field Marshal wawili.

Hata hivyo inaelezwa kuwa Idd Amini alipanga mipango ya mauaji dhidi ya Okello, lakini pamoja na hali hiyo kifo chake kimebakia kuwa ni cha utata.

Alikotoka

John Gideon Okello alizaliwa mwaka 1937 wilayani Lango, Uganda. Ni mwanamapinduzi asiye na kifani barani Afrika.

Lakini licha ya kuongoza Mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 yaliyouondoa utawala wa Sultan Jamshid bin Abdullah na kuwezesha kuanzishwa kwa Jamhuri ya Zanzibar, pia amekuwa hafahamiki sana.

Alianza kuishi maisha ya uyatima akiwa na miaka 11. Alipofikisha umri wa miaka 15 aliondoka nyumbani kwao na kwenda kutafuta ajira katika maeneo mbalimbali ya Afrika Mashariki.

Kuanzia mwaka 1944 alikuwa amefanya kazi nyingi ikiwa ni pamoja na ukarani, mtunza bustani na mfanyakazi katika idara na shughuli mbalimbali. Hata hivyo, alijifunza kufanya biashara ya kuuza matofali na baadaye alimudu kufanya kazi ya uashi, lakini alikamatwa mjini Nairobi, kutokana na sababu ambazo hazikuelezwa; hata hivyo yeye mwenyewe aliwahi kuelezwa kuwa alikamatwa kutokana na makosa yaliyohusiana na hali ya jinsia. Alifungwa miaka miwili gerezani. Kifungoni ndiko kulikomfanya awe na fikra za kimapindizi.

Mara nyingi umekuwapo uvumi kuwa huenda Okello alikuwa amepata mafunzo yake nchini Cuba, lakini jambo hili halikuwahi kuthibitishwa na Okello mwenyewe.

Mwaka 1959 aliingia kisiwani Pemba katika harakati zake za kutafuta ajira kwenye mashamba ya karafuu, lakini badala yake alijiunga na jeshi la polisi.

Hata hivyo, baadaye alijiunga na Chama cha Afro-Shirazi kilichokuwa kinapinga jamii ya watu wachache kuhodhi uchumi wa Zanzibar na Pemba.

Kuna wengi walifanya mambo yanayofanana na Okello. Miongoni mwao ni Ernesto Guevara de la Serna maarufu kama Che Guevara, aliyeshiriki kikamilifu kwenye mapinduzi ya Cuba licha ya kwamba alikuwa ni mzaliwa wa Argentina.

Leo hii Che Guevara ni jina linalosifika na kuheshimika nchini Cuba kutokana na mchango wake. Haiyumkiniki jina la Okello nalo lingekuwa ni jina la kuheshimika kwenye na kukumbukwa kwenye Mapinduzi ya Zanzibar lakini ndivyo imekuwa sivyo.
 
Black Rose, achana na porojo za watu kama FaizaFoxy, hizi picha hata bila maneno zinajieleza. Huyo ndiye Field Marshall John Okello, kiongozi aliyeongoza mapinduzi yaliyomng'oa Sultani hapa Zanzibar. Watabana weeeeee ! lakini mwisho wa siku watamtambua tu !


Okello+Revolution+in+Zanzibar+-+small.jpg




okello_1.jpg




Okello.jpg




thumbnail.aspx





REVOLUTION+PIX.jpg



OKELLO+3.jpg



Okello+by+Mo+Amin.jpg

 
Ndugu wana jamii kumbukeni Historia ya Mbwa Mwindaji...............anaenda mawindoni na akisha kamata mnyama na kuwa kitoweo haruhusiwi kuwa karibu na bwana wake anapokula anampa kichefuchefu............anafukuzwa mbali na mbaya zaidi anapewa mifupa na utumbo...............au hata kutopewa hata kidogo...............
 
Back
Top Bottom