Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,173
- 3,898
Jamaa walimtosa vibaya sana, nilisoma kitabu chake ndop maana hawa wanaosherekea leo nawaona wanafiki tuu
yaani tumejaa unafiki mpaka unakera. Kila kitu katika historia yetu kinaonekana kama hakiko sawasawa. Mbona juzi kati hapa tuliambiwa eti bila wazee sijui wangapi uhuru wa Tanganyika usingekuwepo halafu wameamua kumtosa huyo John Okello zenj? Kama karume hakupindua, hata tufanye nini, ukweli ni kuwa hakupindua. Imefika sehemu sasa tukubari ukweli ili mbele ya safari maisha yetu yawe wa uungwana na amani zaidi. Jasho la mtu haliliwi!!!