Sema mama!!Wasukuma mmmmmhhhh..
Mi kwa kweli vijana wakisukuma nawapenda bure.
Wamejaliwa section nyingi jamani uwiiiiiii.
Ngoja niondoke kabla sijasema mengi. 🙂 🙂
Sema mama!!Wasukuma mmmmmhhhh..
Mi kwa kweli vijana wakisukuma nawapenda bure.
Wamejaliwa section nyingi jamani uwiiiiiii.
Ngoja niondoke kabla sijasema mengi. 🙂 🙂
hawa jamaa mapenzi yao ni ya msimu bhana.. mungu awapitishe kando maana siwataki. kila wakiona binti mzuri wanaoa. kizee cha miaka 70 nacho kinaoa binti wa miaka 20's na mahari anatoa. kuhusu ukarimu wako vizuri ila kwenye hayo mapenzi ukiwakorofisha wanaua kabisaaa hawana utani. tena binti ukiolewa na wale wasukuma wa kijijini basi utazeeka kabla ya siku maana huwa wanaoa tractor na mashine ya kufyatua watoto... utalina mpaka uombe poo
Kama Reginald Mengi na Klynn
Wasukuma wamejaaliwa miili mikubwa lakini wamepunguziwa akili.....ndio maana wengi wao wanaendeshwa na wake zao......(JOKE)
ukilipata limsukuma lishamba lishamba halafu ukalidrive crazy........ ....... utaenjoy sana.
Kweli wasukuma tunajua kupenda
Hebu nifanyie mpango wa kaka yako basi tuunde undugu mrembo!
Oh yeah......? Ok, sawa.....
Lakini tanga ndo inajulikana tz yote ,sijui kwa nini
Wana wivu sana! Halafu wagawaji sana hasa wanawake, ni rahisi sana kudanganywa.