Mapenzi yamezaliwa usukumani, tuacheni ubishi

Mapenzi yamezaliwa usukumani, tuacheni ubishi

Hawa watu wanasifiwa sana lakini sioni kama wana soko sana...

Maharusi mengi huwa naona wazee wa Mungu Onesha Sehemu Hela Ilipo ndio wanaoolewa kwa sana...

Sio kweli, hata mi nawakubali sana wasukuma.
 
Ntafurahi mno nikitajiwa na baadhi ya changamoto zao katik mapenzi ili nijinyakulie wasukuma wangu kama wa tatu hivi

Evelyn Salt kuja huku wamekupenda wanataka kukunyakua g'wana wane. Bhatoji bhenabha.
 
Last edited by a moderator:
MO11 acha roho mbaya wewe kwa dada na wadogo zetu, mbona huku mjini mnahonga magari na majumba hatusemi. Na mkiunganishiwa na huo mtandao wa simu pendwa (tiGo) ndo mnasahau na ndoa zenu kabisa. Kila mtu ni limbukeni na mshamba kwenye mapenzi na inategemea ameguswa na nini. Sasa kama msukuma kuhonga ng'ombe ambayo ndio miliki yake ni ulimbukeni basi na anayehonga gari na nafasi ya kazi nae ni limbukeni. Vipi hela, wewe haujawahi kuhonga kwa yule demu wako mwenye mimatako mikubwa.......................?

wasukuma ni malimbukeni na washamba wao wanapenda wanawake weupe akiwa na mwanya ndio kabisaa anaweza akahonga ng'ombe wote
 
Jamani tuacheni ubishi wasukuma ndio kuliko zaliwa mapenzi tanga ni ngono.

Hawa jamaa wanajua sana kupenda na niwakarimu kwa watu wote wageni na wenyeji huwaga inafikia hadi wakati wanapoenda Dar es salaam kutokana na ukarimu wao wakusaidia watu wahuni wanawaiba.

Hawa jamaa ni wavumilivu sana kwenye ndoa ya hali yoyote(hii ni ishara tosha hawa watu wana mapenzi ya kweli)

Wasukuma ni wapenzi wa kila watu hata humu JamiiForums, kama wakina Shy land na wengine.

kumbe sikukosea kuoa usukumani

cc.pasco
 
Hawa watu wanasifiwa sana lakini sioni kama wana soko sana...

Maharusi mengi huwa naona wazee wa Mungu Onesha Sehemu Hela Ilipo ndio wanaoolewa kwa sana...

Mabinti wa hilo eneo ni wazuri sana katika marriage lobbying lakini wakiwa ndani ya ndoa ni wavurugaji mno. Fanya tafiti kidogo kama ndoa zao zinadumu! Ukiona ndoa zao imedumu ujue mume amekubali yaishe! Ndoa zao nyingi zinachechemea.
 
ukilipata limsukuma lishamba lishamba halafu ukalidrive crazy........ ....... utaenjoy sana.
 
Jamani tuacheni ubishi wasukuma ndio kuliko zaliwa mapenzi tanga ni ngono.

Hawa jamaa wanajua sana kupenda na niwakarimu kwa watu wote wageni na wenyeji huwaga inafikia hadi wakati wanapoenda Dar es salaam kutokana na ukarimu wao wakusaidia watu wahuni wanawaiba.

Hawa jamaa ni wavumilivu sana kwenye ndoa ya hali yoyote(hii ni ishara tosha hawa watu wana mapenzi ya kweli)

Wasukuma ni wapenzi wa kila watu hata humu JamiiForums, kama wakina Shy land na wengine.
kati ya watu niliowakuta loose balls kuliko watz wote, wa kwanza ni wasukuma. nimeishi shinyanga na mwanza, Mungu ni shahidi, hakuna wanawake warahisi kama wasukuma, na wanapenda sana ngono wakati hawajui mapenzi. hadi kabila hili nimelichukia kwasababu ndio mwanamke wa kwanza kwangu mimi kunifanya niisaliti ndoa yangu na mtu ambaye nilikuta shimo la takataka. ni story ndefu. wasukuma hata tunaofanya nao kazi, ni takataka.
 
wasukuma nawakubali sana kwa ukarimu kama ukipata nafasi ya kuwatembelea wakati wa mavuno utafurahia, nimewahi kufanya kazi vijiji vya sapiwi,igegu,lamadi,mwamwenge,jisesa,imalamate,malili na sehem nyingine nyingi ilikuwa poa sana papuchi buree
 
Wasukuma mmmmmhhhh..
Mi kwa kweli vijana wakisukuma nawapenda bure.
Wamejaliwa section nyingi jamani uwiiiiiii.

Ngoja niondoke kabla sijasema mengi. 🙂 🙂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom