Mapenzi yamezaliwa usukumani, tuacheni ubishi

Mapenzi yamezaliwa usukumani, tuacheni ubishi

Watu ambao bado wanaona mwanamke mweupe ni dili hao wanajua mapenzi??wale ni washamba kwenye hii sector,ukarimu wao ni uboya kwa sababu hawajui haya mambo...wasukuma kila SIKU wanaloea tanga hapo,wakipewa hawarudi kwao ila huwez kuta mtu wa tanga kaloea usukumani....Dunia nzima inajua mapenzi yamezaliwa tanga ndo asili yake...
Mkuu umelewa tanga nn??
 
Kaka mapenzi hapo tanga ndugu watoto nyororo lainii .na ukija kweny Yale mambo yetu ya faragha .use na pumzi ya kutosha shekhee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom