Mapenzi yamezaliwa usukumani, tuacheni ubishi

Mapenzi yamezaliwa usukumani, tuacheni ubishi

Sijakulewa unawazungumzia wasukuma wa kiume au wakike...?????
 
Hawa watu wanasifiwa sana lakini sioni kama wana soko sana...

Maharusi mengi huwa naona wazee wa Mungu Onesha Sehemu Hela Ilipo ndio wanaoolewa kwa sana...

hawa ndoa kwao sio lazima sana toa ng'ombe mkeo huyo
kuoana siku mkijiskia wenyewe
 
Jamani tuacheni ubishi wasukuma ndio kuliko zaliwa mapenzi tanga ni ngono.

Hawa jamaa wanajua sana kupenda na niwakarimu kwa watu wote wageni na wenyeji huwaga inafikia hadi wakati wanapoenda Dar es salaam kutokana na ukarimu wao wakusaidia watu wahuni wanawaiba.

Hawa jamaa ni wavumilivu sana kwenye ndoa ya hali yoyote(hii ni ishara tosha hawa watu wana mapenzi ya kweli)

Wasukuma ni wapenzi wa kila watu hata humu JamiiForums, kama wakina Shy land na wengine.
Hahaha Tanga nako kilizaliwa kitu gani, Wasukuma washamba wewe wawaita wakarimu
 
tafadhali kama hujaoa au kuolewa njoo kwangu
 
kwa ulimwengu wa sasa mapenzi au uvumilivu wa mtu ni mtu mwenyewe sio kabila
 
Watu wanabadilika sana mimi zamani nilikuwa nasena siwezi kuwa na mhaya na mchaga maana mhaya jamii inasema ni malaya sana yani ukioa umeolea na jirani zako especially kama kuna mhaya mwenzake pia kwa mchaga jamii ilikuwa inasema mkichuma mali wanakuua yeye anabaki na mali lakini nimekuwa na mahusiani na mhaya dah mtoto mwaminifu kuliko uaminifu wenyewe pia nikuwa na mchaga uyu yeye ndo alikuwa analeta pesa za mshahara tunatumia, so haya mambo ya mapenzi sio kabila ni tabia ya mtu tu mana kuna wasukuma yani hata kua girl friend tu hana sifa
 
Japo ndo watu wanawaponda kuwa wanatumia kifo cha mende only

kwii kwiii hiii hapo kweye kifo cha mende ni kweli. Nimeexperience two chaggas ni kfo cha mende kwa kwenda mbele. Hyu mmoja ukimwambia mbadilishe style anaanza kukupa visingizio
 
kwii kwiii hiii hapo kweye kifo cha mende ni kweli. Nimeexperience two chaggas ni kfo cha mende kwa kwenda mbele. Hyu mmoja ukimwambia mbadilishe style anaanza kukupa visingizio

hahaha...hatare kubadilisha tu style mpk kisingizio...kha
 
Hahaha Tanga nako kilizaliwa kitu gani, Wasukuma washamba wewe wawaita wakarimu

Tanga kulizaliwa ushoga. ....vijana wote wa mwanzo mwanzo hapa bongo kuwika Ktk mambo ya ushoga wametokea tanga
 
Jamani tuacheni ubishi wasukuma ndio kuliko zaliwa mapenzi tanga ni ngono.

Hawa jamaa wanajua sana kupenda na niwakarimu kwa watu wote wageni na wenyeji huwaga inafikia hadi wakati wanapoenda Dar es salaam kutokana na ukarimu wao wakusaidia watu wahuni wanawaiba.

Hawa jamaa ni wavumilivu sana kwenye ndoa ya hali yoyote(hii ni ishara tosha hawa watu wana mapenzi ya kweli)

Wasukuma ni wapenzi wa kila watu hata humu JamiiForums, kama wakina Shy land na wengine.

Whats the difference btn ngono na mapenzi?
Am sukumaby the way
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom