Mapenzi yamezaliwa usukumani, tuacheni ubishi

Mapenzi yamezaliwa usukumani, tuacheni ubishi

hawajuagi kutongoza akimpata mmoja anakuwaga kama ndio jicho lazima ulilinde
 
Hahaaha! Nimecheka hapa ila hi thread safi sana, of coz mi najikita kwa wakaka kuhusu wakaka wa kisukuma wengi wanajua kupenda, ni watu wanaojali wanawake zao, na ni wachapakazi sana. Wanaweza kuhimili au kuvumilia matatizo kwa kiasi kikubwa sana hasa akikupenda, huwa hasa wanapenda mabinti weupe wapo tayar kwa lolote. Nina jamaa zangu wasukuma daa wanapenda wake zao. Ingawaje wapo wengine wana tabia tofauti ila kwa kiasi kikubwa kama unahitaji mwanaume mwajibikaji kifamilia chukua hawa watu. Wanawake pia wapo ila sijafanya obsarvation sana juu yao. By the way nafkirr ndio kabila linalopendwa na kuongoza kwenye kupendwa na wanawake
True.
P.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom