Mapenzi yamezaliwa usukumani, tuacheni ubishi

Mapenzi yamezaliwa usukumani, tuacheni ubishi

kati ya watu niliowakuta loose balls kuliko watz wote, wa kwanza ni wasukuma. nimeishi shinyanga na mwanza, Mungu ni shahidi, hakuna wanawake warahisi kama wasukuma, na wanapenda sana ngono wakati hawajui mapenzi. hadi kabila hili nimelichukia kwasababu ndio mwanamke wa kwanza kwangu mimi kunifanya niisaliti ndoa yangu na mtu ambaye nilikuta shimo la takataka. ni story ndefu. wasukuma hata tunaofanya nao kazi, ni takataka.

Hahahaaa, hii sasa chuki binafsi, watakuwa walikutenda wewe si bure......
 
Basi nithibitishie wewe mwenyewe kwa vitendo kama ni kweli au ndo porojo

Ukiitaka nikuthibitishie naweza .wasukuma upendo ni nature ya kuzaliwa nayo ingawa sijawai kufika usukuman Lakin damu ya kisukuma ninayo
 
jamani kwa wasukuma kwakweli usemayo ni kweli kabisaa, mie huby wangu ni msukuma na sijawahi kujuta kuwa naye.
 
Ninachotaka mm nikuthibitishiwa tu ndo nasubiria

sasa ndugu yangu kwenu hata kwenda kukaa hujakaa
halaf unasema wewe ni msukuma au ni msukuma wa pande mbili
yaani baba kabila lingine na mama ni huko ukusumani?
ukiitaka nikuthibitishie naweza .wasukuma upendo ni nature ya kuzaliwa nayo ingawa sijawai kufika usukuman lakin damu ya kisukuma ninayo
 
Jamani tuacheni ubishi wasukuma ndio kuliko zaliwa mapenzi tanga ni ngono.

Hawa jamaa wanajua sana kupenda na niwakarimu kwa watu wote wageni na wenyeji huwaga inafikia hadi wakati wanapoenda Dar es salaam kutokana na ukarimu wao wakusaidia watu wahuni wanawaiba.

Hawa jamaa ni wavumilivu sana kwenye ndoa ya hali yoyote(hii ni ishara tosha hawa watu wana mapenzi ya kweli)

Wasukuma ni wapenzi wa kila watu hata humu JamiiForums, kama wakina Shy land na wengine.



haha mkuu sijui nimeelewa vibay hapo angalia kwenye maandishi mekundu pia kichwa cha habari, sitaki kukupinga mkuu lakini

mim najua ukisema swala la kujua mambo ya kitandani ni tanga ndo wanaongoza ila kwa swala la kuoa na misukosuko ya hapa na pale wasukuma wako vizuri kwenye hilo sio kwa wanawake tu mpk wanawake lakin usije lakin sio wote ukipata wa mjini anayejielewa, ukasema eti namtoa msichana usukumani kwao namleta arusha akijua mji utajuta ya usukumani kama sio kulio hii mambo bhana inategemea na mtu ukisema kabila lol nina wasiwasi aise vishawishi ni mingi mpk unaogopa -------------------
 
Hawa watu wanasifiwa sana lakini sioni kama wana soko sana...

Maharusi mengi huwa naona wazee wa Mungu Onesha Sehemu Hela Ilipo ndio wanaoolewa kwa sana...

Wachaga wanaolewa sana, nimekuja ku notice hiki kitu!
 
we nitafute utajua kama mi dalali au mnunuzi hahahahaaa
 
hahaaahahaahaaa zote zinapatikana mkuu usihofu
 
Vere true, ukipata danga la kisukuma afu likakupenda oooh yani unalipelekesha kinoma afu wanahonga sana hawa kaka zangu...
upo tayari kuwa wifi angu?nkukonekti just nao?

teheee! kaka yako sio msukuma wa dom kweli!? hebu niconnectie wifi yangu chap chap tena awe mshambamshamba.
 
teheee! kaka yako sio msukuma wa dom kweli!? hebu niconnectie wifi yangu chap chap tena awe mshambamshamba.
ni msukuma wa nsangamwalugesha na huo weupe duuh kaka angu atauza hadi eneo la kaburi ili akuhonge kudadadeki
 
Asilimia 70% ya ndoa zinazofungwa jijini Dar es Salaam zinahusisha wachagga.
 
Watu wanabadilika sana mimi zamani nilikuwa nasena siwezi kuwa na mhaya na mchaga maana mhaya jamii inasema ni malaya sana yani ukioa umeolea na jirani zako especially kama kuna mhaya mwenzake pia kwa mchaga jamii ilikuwa inasema mkichuma mali wanakuua yeye anabaki na mali lakini nimekuwa na mahusiani na mhaya dah mtoto mwaminifu kuliko uaminifu wenyewe pia nikuwa na mchaga uyu yeye ndo alikuwa analeta pesa za mshahara tunatumia, so haya mambo ya mapenzi sio kabila ni tabia ya mtu tu mana kuna wasukuma yani hata kua girl friend tu hana sifa

Umewaowa hao? Wanakufuta tu weka ndani uone mchaga kabisa hasa mmachame????? Weeee!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom