Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,274
Kuna waraka ulitoka jukwaa la wakristo kipindi cha mchakato wa Katiba mpya kuelekea kwenye upigaji wa kura ya maoni ingawa haukufanikiwa(upigaji kura) waraka ule uliwataka waumini wakristo kupiga kura ya hapana kwa katiba Pendekezwa wengi wenu humu mlishangilia sana.
Cardinal Pengo alijitokeza akasema yeye hakubaliani na ule waraka na hasa kwenye kuwaambia waumini wapige kura ya hapana yeye alitaka wananchi waachwe waamue kwa utashi wao wenyewe kama wanapiga kura ya ndio au hapana badala ya watu wengi kumuunga mkono wengi walionekana kumshambulia kwa kila aina ya matusi wakimhusisha na UCCM Sasa leo kaibuka tena Padri kasema kile kile alichokuwa anakikataa Cardinal Pengo na kwa sababu wengi wenu hakijawafurahisha mnaanza kumlushia matusi Padre wa watu mnasahau kwamba Pengo aliliona hili mapema na nyinyi mkampuuza kubalini tu yaishe kama mlifurahia kuambiwa mpige kura ya hapana kwenye katiba mpya kwa nini leo mkasirike kuambiwa mmpigie kura ya Ndio ndugu JPM