Mapadre waanza rasmi kumpigia Magufuli kampeni

Mapadre waanza rasmi kumpigia Magufuli kampeni

Kila mtu ana haki na uhuru wa kutoa maoni yake-hayo ni maoni ya Padre Mbando amesema Magufuli anatosha Urais 2015-2025.
Na wewe kama una maoni yako useme hadhalani,usisubiri kupinga maoni ya mtu mwingine
 
Chonde chonde viongozi Wa dini wananchi kwa maana ya waumini tunamjua sana magufuli kuliko nyinyi kwani tuko nae mitaani hivyo tuacheni wenyewe tuamue Na nyie amueni kivyenu msitupangie
 
evn i....mm ni mkatoliki lakin kwa hili hapana.

Hakika.....na ndo maana hata waumini walinong'ona....waliona kabisa mchunga kondoo anapotoka....baadhi ya waumini wana chama wanachoshabikia au kukipenda na wengine hawana kabisa...iweje badala ya kufanya kile waumini wake walichofuata aanze ishu za siasa...hakuwatendea haki kondoo wake inabidi ajirekebishe kwa kweli...
 
Ukawa wangekuwa tayari wameshamtangaza mgombea wao tayari alf baba padri akatoa kauli hii ningeshawishika kukubali kauli yake lkn hapa naona analeta ushabiki tu.
 
Wakatoliki hawana padre mwanamke mkuu!
 
hii habari imekaa kimbea mbea.maana kichwa kinasema MAPADRE.lkn ukisoma ndani utakuta ni mahubiri ya PADRE mmoja ya siku moja.mi nnadhani ungesema padre asema au aamua kumpigia magufuli uraisi na wapinzani ubunge.

Sio mmoja ndg fatilia mada tangu mwanzo utaelewa
 
Kila mtu ana haki na uhuru wa kutoa maoni yake-hayo ni maoni ya Padre Mbando amesema Magufuli anatosha Urais 2015-2025.
Na wewe kama una maoni yako useme hadhalani,usisubiri kupinga maoni ya mtu mwingine

Elewa mada inahusu nini Issue mahari gani amezungumzia au nawee nikama Wema Sepetu asiejua Tofauti ya Serikali na Bunge
 
Inasemekana rais mkristo atatoka katoliki tu. Na rais muislamu atatoka ------------tu hivyo basi huyu ajaye ni rais wa katoliki ingawa katoliki ilimtaka Pinda sasa inabidi wamsapoti huyu. EL dhehebu pia limemponza tz ni katoliki na shia. Mi mkatoliki wa kufa na kuzikana ila huyu padri anapaswa kuvuliwa joho mambo ya udini sifagiliii issue inaishia kwenye ukawa vs ccm

Kilichomtesa EL ndo hicho tu. KKKT watasubiri sana bongo Uraisi ni Katoliki na Islam tyuuuu.:A S angry::A S angry:
 
j'2 hii niliwasikia watu wakipanga kwenda kanisani kwa lengo tu la kusikia kauli ya viongozi wa dini khs uteuzi wa dom
 
Huo ndo muongozo kwahiyo usitegemee Kama pengo atakanusha kuwa so msimamo wa kanisa

Kwani Pengo si ndie alieanza kumkata lowasa ili kutengeneza njia kwa rais mkatoliki. Hata Nyerere alipomkata lowasa ni kwa maelekezo hayohayo kutoka kanisa katoliki ili achaguliwe mkatoliki. Hawa jamaa wako tayari kuleta mauaji ya kimbari kwa jina la bwana kama yaliyotokea Rwanda na Burundi. Mungu atunusuru tuvuke salama kwenye kipindi hiki cha uchaguzi kwani dalili zinajionyesha kwamba mauaji ya kimbari yanainyemelea Tanzania kwa msukumo wa kanisa katoliki.
 
Tangu Mapadre na maaskofu walipoonekana kwenye wapokea fedha za wizi za ESROW na benk yao ndo ikahusika ,siwaamini tena na ndo malipo yao sasa wanatumikia.

Wezi hupigia debe wezi wenzao. Bila hata woga wanatumia taasisi ya dini kama kitega uchumi chao dhidi ya waumini wao. Sidhani kama waumini wao ni mataahira kiasi hicho kushindwa kuona usanii wa mapadre matapeli hawa.
 
Wangesema Masheikh wangetukanwa sana na kuambiwa kuwa hawana elimu.
 
Wezi hupigia debe wezi wenzao. Bila hata woga wanatumia taasisi ya dini kama kitega uchumi chao dhidi ya waumini wao. Sidhani kama waumini wao ni mataahira kiasi hicho kushindwa kuona usanii wa mapadre matapeli hawa.

Ni mtaaamo tu ukila ban kwa kuendekeza udini ndo utajua hili sio jukwaa lako!
 
Kwani Pengo si ndie alieanza kumkata lowasa ili kutengeneza njia kwa rais mkatoliki. Hata Nyerere alipomkata lowasa ni kwa maelekezo hayohayo kutoka kanisa katoliki ili achaguliwe mkatoliki. Hawa jamaa wako tayari kuleta mauaji ya kimbari kwa jina la bwana kama yaliyotokea Rwanda na Burundi. Mungu atunusuru tuvuke salama kwenye kipindi hiki cha uchaguzi kwani dalili zinajionyesha kwamba mauaji ya kimbari yanainyemelea Tanzania kwa msukumo wa kanisa katoliki.

vita ilikua ngumu gwanyima na protestant wake EL wakati Pengo Katoliki wake Pinda ikabidi Pengo alegeze kwa ile habari ya kadhi mambo yaende tatizo pinda hakubaliki huku chini . Mkapa ni katoliki akasaidia kumchinja EL na kumsimika katoliki pombe
 
Hawa mapadri njaa tu ndizo zinawasumbua .... Hatujasahau walivyomtumia Lowassa kujenga makanisa yao na sasa wanakimbilia kwa Makufuli
 
Back
Top Bottom