Mapadre waanza rasmi kumpigia Magufuli kampeni

Mapadre waanza rasmi kumpigia Magufuli kampeni

Waliosema wananchi wapige kura ya hapana kwa katiba pendekezwa mliona ni sawa tuu leo wamewaambia mmchague Magufuli imekuwa Nongwa tatizo lenu mnataka tu kusikia vitu vinavyowafurahisha na kwa taarifa leo Magufuli yuko chato na leo au kesho atafanyiwa misa Maalumu
 
Na padre wengine wainge mfana wa huyu padre maana anawasaidi wananchi kujua aina gani ya rais tunaemtaka kwa sasa, lakini pia Magufuli ni changuo la mungu kuanznia kwenye mchakato adi kupatikana kwake,
 
Mkuki kwa nguruwe! Mmesahau 2010 mapadri walivyompigia debe dk slaa? Hii nchi inaongozwa na kanisa na Kama kanisa limeamua magufuri awe rais hakuna wa kupinga nyie mnasikiliza viongozi wenu wanasema nini na kufata tu, kipindi cha nyuma mliwalaumu waislam kwa kuchanganya dini na siasa ila hata nyie mlikuwa mnachanganya tatizo waislam hawakua wanafiki walisema waziwazi Kama mnavyofanya nyie leo

Mbona unajichanganya ......... kama unavyosema ni kweli, mbona Slaa hakuupata Urais 2010!!!
 
kelao

Unajua mwisho wa siku ktk jamii za kiafrika hatutajua nani ana akili timamu kama Padre anayesemekana ni msomi ingawa mm huwa sina uhakika sana maana nijuavyo mm ELIMU ya mtu yeyote yule hupimwa kwa mawazo na matendo yake kama watu wanasema huyu mtu ni msomi halafu yeye anaongea ujinga na upumbavu waziwazi bila haya wala soni huyo moja kwa moja si msomi na lengo lake ni kutuangamiza ss waamini,kimsingi wenye kufanya shughuli za kiuchumi ni ss na wao mapadre na maaskofu wanasubiri pesa za maangaiko yetu.Ni wakati muafaka kwa waamini kujiongeza na kutokuwaamini mapadri na maaskofu kupindukia tukumbuke tukiwaachia wao kufikiri kwa ajili yetu mwisho wa siku wenye kuambulia mateso ni ss.Mapadri ni binadamu kama ss wanazaliwa kwetu na jukumu la kumjua MUNGU na kumtumikia ni letu sote.

Tuamke watanzania wa kabila na dini zote na tukumbuke historia ni mwalimu mzuri,Kikwete tulimshangilia na kumwita chaguo la MUNGU na kumkaribisha Madhabahuni leo hii kila MTU analia kwa maisha magumu,udini,kukithiri kwa ufisadi na utoshaji wa nyara za nchi huku mtu aliyeitwa chaguo la MUNGU na haohao mapadri na maaskofu akilinda uozo kwa gharama zote.Inawezekanaje Leo hii watu walewale waendelee kutuchagulia viongozi nadhani sasa tusemi imetosha na waache kila mwananchi achague alicho ona bila kupotoshwa na MTU awaye yote.Ninawasihi waamini kumwomba MUNGU na kuachana na ujinga wa kuchaguliwa viongozi na baadhi ya watu wasio na Roho Mtakatifu na kuishia kutudanganya.Huu ni mwaka wa kuachana na MAZOEA MABAYA ktk kuchagua viongozi ili tusonge mbele kimaendeleo na tukileta utani na mizaha tutabaki maskini pamoja na kuwa na rasilimali nyingi ktk Afrika.
 
Last edited by a moderator:
Kumkomesha padre kama huyo kama atatoa mahubiri kama hayo msuse kutoa sadaka ndo atajua mmekasirika, hatarudia tena.
 
Waliosema wananchi wapige kura ya hapana kwa katiba pendekezwa mliona ni sawa tuu leo wamewaambia mmchague Magufuli imekuwa Nongwa tatizo lenu mnataka tu kusikia vitu vinavyowafurahisha na kwa taarifa leo Magufuli yuko chato na leo au kesho atafanyiwa misa Maalumu

mkuu wengi ni wanafiki tu siasa za maji taka zinawafanya kupoteza hata weredi wa kujua yupi ni yupi anaetufaa kwa maslahi ya taifa badala yake wanaendekeza siasa za makundi, ukanda ukabila na unafiki,haiingi akili eti mtu leo anamponda Magufuli kwa aliyoyafanya katika taifa hili,hakuna mtu yeyote ambaye amewatumikia watanzania kila kona katika taifa hili kaka magufuli,sisi tunamuomba mungu asiwepo yeyote wa kuhujumu mipango ya mungu,
 
Inasemekana rais mkristo atatoka katoliki tu. Na rais muislamu atatoka ------------tu hivyo basi huyu ajaye ni rais wa katoliki ingawa katoliki ilimtaka Pinda sasa inabidi wamsapoti huyu. EL dhehebu pia limemponza tz ni katoliki na shia. Mi mkatoliki wa kufa na kuzikana ila huyu padri anapaswa kuvuliwa joho mambo ya udini sifagiliii issue inaishia kwenye ukawa vs ccm

Kwa hiyo JK alipokuwa anaongoza kumchinjia EL Lowassa baharini alikuwa amepewa maagizo na kanisa?
 
kama kawaida yao,ndio maana wanadharaulika,

wewe ndo unawazarau lakini kwa kumuona magufuli ni rais sahihi hiyo haina ubishi amewatumikia watanzania kila kona ya nchi hii ,anavuna kwa kile alichokifanya,kila mtu atavuna alichopanda wala haina ubishi kwa magufuli anatosha ,
 
Tangu Mapadre na maaskofu walipoonekana kwenye wapokea fedha za wizi za ESROW na benk yao ndo ikahusika ,siwaamini tena na ndo malipo yao sasa wanatumikia.
 
Waliosema wananchi wapige kura ya hapana kwa katiba pendekezwa mliona ni sawa tuu leo wamewaambia mmchague Magufuli imekuwa Nongwa tatizo lenu mnataka tu kusikia vitu vinavyowafurahisha na kwa taarifa leo Magufuli yuko chato na leo au kesho atafanyiwa misa Maalumu

Waliotoa tamko ni TEC kilaza Wewe na hiyo ni Padre binafsi tumia akili kidogo unapojenga hoja siyo mhemko
 
Tangu Mapadre na maaskofu walipoonekana kwenye wapokea fedha za wizi za ESROW na benk yao ndo ikahusika ,siwaamini tena na ndo malipo yao sasa wanatumikia.


sio wote wapo wengine kama huyu padre wenye jicho la pekee na kutusaidia sisi tunaoendekeza miemuko ya siasa chafu na kupoteza weredi wa kujua kiongozi bora,
 
Back
Top Bottom