Kwani Pengo si ndie alieanza kumkata lowasa ili kutengeneza njia kwa rais mkatoliki. Hata Nyerere alipomkata lowasa ni kwa maelekezo hayohayo kutoka kanisa katoliki ili achaguliwe mkatoliki. Hawa jamaa wako tayari kuleta mauaji ya kimbari kwa jina la bwana kama yaliyotokea Rwanda na Burundi. Mungu atunusuru tuvuke salama kwenye kipindi hiki cha uchaguzi kwani dalili zinajionyesha kwamba mauaji ya kimbari yanainyemelea Tanzania kwa msukumo wa kanisa katoliki.
Usizungumzie hisia zako mbele ya watu kwenye uwezo wa kufikiria, tushawishi kwa facts wapi Pengo alianza kumkata Lowassa, je Pen go ana accsess ya kamati ya maadili? Je Pengo ana ushawishi kwa sheikh Kikwete mwenyekiti wa CCM? otherwise naona unapoteza hadhi ya jukwaa